DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 24,021
- 30,904
Tabia ya kumsema sema mkuu wetu wa kila mnapojisikia haikubaliki.
Hahahahahah hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiibritanicca
Bwana mkubwa yuko tayari kumtosa yeyote kwa ajili ya Bashite, sijui wanapendeana nini hawa watu!
Acha Wafu wawazike Wafu WaoMkuu wa mkoa mchapa kazi kuliko wote Mh. Paul Makonda, amefika hatua anajiona naye ni Rais wa sehemu husika kana kwamba anaweza ongea lolote,
Nakupa sifa moja kuu ya Rais Magufuli,
Hapendagi kukosolewa au kuonekana amekosea katika mambo yake, mbaya zaidi ukimkosoa katika tuezi anazofanya, tunayo mifano mingi juu ya hilo.
Kuna kipindi watu walishinikiza utoke katika ukuu wa mkoa wa Dar es Salaam kwasababu wanazojua wao, lakini aliyekuteua kwa jeuri akasema hawa hawanijui sikutoi na sipangiwi.
Likaja suala la Mnyeti akasema hupangiwi na ukampa kabisa cheo, suala lako Makonda na Nape, Nape alitaka kuonekana anajua sana mpaka kuingilia kuchunguza mtu ambaye kateuliwa na Rais, hakubaki salama.
Sasa naona wewe umeanza kuteleza juu ya Juliana Shonza na kupost post mambo ya kumponda Shonza na kumtetea Diamond, so suala la kuingilia kichwa kichwa ili utamkera mkuu sasa hivi na kufanya aonekane hana busara katika teuzi zake.
Mbaya zaidi haumtukuzi vizuri kama zamani, japo Rais hayupo ili atukuzwe, lakini wewe ndo uliyaanzisha yaendeleze, hata mkipeana mkono, hunyenyekei kama zamani, unampa mkono mmoja, huoni kina Gambo, na Mongella,?
Ndo muone madhara ya kutukuza tukuza watu, Mungu tu ndo hutukuzwa
Ni hayo tu
Mkuu wa mkoa mchapa kazi kuliko wote Mh. Paul Makonda, amefika hatua anajiona naye ni Rais wa sehemu husika kana kwamba anaweza ongea lolote,
Nakupa sifa moja kuu ya Rais Magufuli,
Hapendagi kukosolewa au kuonekana amekosea katika mambo yake, mbaya zaidi ukimkosoa katika tuezi anazofanya, tunayo mifano mingi juu ya hilo.
Kuna kipindi watu walishinikiza utoke katika ukuu wa mkoa wa Dar es Salaam kwasababu wanazojua wao, lakini aliyekuteua kwa jeuri akasema hawa hawanijui sikutoi na sipangiwi.
Likaja suala la Mnyeti akasema hupangiwi na ukampa kabisa cheo, suala lako Makonda na Nape, Nape alitaka kuonekana anajua sana mpaka kuingilia kuchunguza mtu ambaye kateuliwa na Rais, hakubaki salama.
Sasa naona wewe umeanza kuteleza juu ya Juliana Shonza na kupost post mambo ya kumponda Shonza na kumtetea Diamond, so suala la kuingilia kichwa kichwa ili utamkera mkuu sasa hivi na kufanya aonekane hana busara katika teuzi zake.
Mbaya zaidi haumtukuzi vizuri kama zamani, japo Rais hayupo ili atukuzwe, lakini wewe ndo uliyaanzisha yaendeleze, hata mkipeana mkono, hunyenyekei kama zamani, unampa mkono mmoja, huoni kina Gambo, na Mongella,?
Ndo muone madhara ya kutukuza tukuza watu, Mungu tu ndo hutukuzwa
Ni hayo tu
Ha ha ha, masikio yanaanza kuvuka kichwa.Jamaa anajiona kwa sababu Mkulu amekuwa akimtumia kwenye mission za kishenzi kama hizi za kuteka na kupiga risasi Lissu basi anaona yeye hawezi kuguswa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sikio linataka kuzidi kichwa, pia ungeweka tupicha twa kunyenyekea vs kutokunyenyekea ingependeza sana mkuuMbaya zaidi haumtukuzi vizuri kama zamani, japo Rais hayupo ili atukuzwe, lakini wewe ndo uliyaanzisha yaendeleze, hata mkipeana mkono, hunyenyekei kama zamani, unampa mkono mmoja, huoni kina Gambo, na Mongela
Naibu rahisi[emoji85] [emoji196]Mkuu wa mkoa mchapa kazi kuliko wote Mh. Paul Makonda, amefika hatua anajiona naye ni Rais wa sehemu husika kana kwamba anaweza ongea lolote,
Nakupa sifa moja kuu ya Rais Magufuli,
Hapendagi kukosolewa au kuonekana amekosea katika mambo yake, mbaya zaidi ukimkosoa katika tuezi anazofanya, tunayo mifano mingi juu ya hilo.
Kuna kipindi watu walishinikiza utoke katika ukuu wa mkoa wa Dar es Salaam kwasababu wanazojua wao, lakini aliyekuteua kwa jeuri akasema hawa hawanijui sikutoi na sipangiwi.
Likaja suala la Mnyeti akasema hupangiwi na ukampa kabisa cheo, suala lako Makonda na Nape, Nape alitaka kuonekana anajua sana mpaka kuingilia kuchunguza mtu ambaye kateuliwa na Rais, hakubaki salama.
Sasa naona wewe umeanza kuteleza juu ya Juliana Shonza na kupost post mambo ya kumponda Shonza na kumtetea Diamond, so suala la kuingilia kichwa kichwa ili utamkera mkuu sasa hivi na kufanya aonekane hana busara katika teuzi zake.
Mbaya zaidi haumtukuzi vizuri kama zamani, japo Rais hayupo ili atukuzwe, lakini wewe ndo uliyaanzisha yaendeleze, hata mkipeana mkono, hunyenyekei kama zamani, unampa mkono mmoja, huoni kina Gambo, na Mongella,?
Ndo muone madhara ya kutukuza tukuza watu, Mungu tu ndo hutukuzwa
Ni hayo tu
Haya Majungu haya!,du!,hakika mna uzoefu wa kutosha,hongereni sana,Mkuu wa mkoa mchapa kazi kuliko wote Mh. Paul Makonda, amefika hatua anajiona naye ni Rais wa sehemu husika kana kwamba anaweza ongea lolote,
Nakupa sifa moja kuu ya Rais Magufuli,
Hapendagi kukosolewa au kuonekana amekosea katika mambo yake, mbaya zaidi ukimkosoa katika tuezi anazofanya, tunayo mifano mingi juu ya hilo.
Kuna kipindi watu walishinikiza utoke katika ukuu wa mkoa wa Dar es Salaam kwasababu wanazojua wao, lakini aliyekuteua kwa jeuri akasema hawa hawanijui sikutoi na sipangiwi.
Likaja suala la Mnyeti akasema hupangiwi na ukampa kabisa cheo, suala lako Makonda na Nape, Nape alitaka kuonekana anajua sana mpaka kuingilia kuchunguza mtu ambaye kateuliwa na Rais, hakubaki salama.
Sasa naona wewe umeanza kuteleza juu ya Juliana Shonza na kupost post mambo ya kumponda Shonza na kumtetea Diamond, so suala la kuingilia kichwa kichwa ili utamkera mkuu sasa hivi na kufanya aonekane hana busara katika teuzi zake.
Mbaya zaidi haumtukuzi vizuri kama zamani, japo Rais hayupo ili atukuzwe, lakini wewe ndo uliyaanzisha yaendeleze, hata mkipeana mkono, hunyenyekei kama zamani, unampa mkono mmoja, huoni kina Gambo, na Mongella,?
Ndo muone madhara ya kutukuza tukuza watu, Mungu tu ndo hutukuzwa
Ni hayo tu
Hapo naona umeelewa ujinga wa wabongo kwahio mimi nikienda mtakosolewa na nani?Sasa umefuata nini kwenye mitandao ya kijinga ya kibongo? Si uende huko ulaya
Nimeweka zipo[emoji23] [emoji23] [emoji23] sikio linataka kuzidi kichwa, pia ungeweka tupicha twa kunyenyekea vs kutokunyenyekea ingependeza sana mkuu
Naibu raisiMkuu wa mkoa mchapa kazi kuliko wote Mh. Paul Makonda, amefika hatua anajiona naye ni Rais wa sehemu husika kana kwamba anaweza ongea lolote,
Nakupa sifa moja kuu ya Rais Magufuli,
Hapendagi kukosolewa au kuonekana amekosea katika mambo yake, mbaya zaidi ukimkosoa katika tuezi anazofanya, tunayo mifano mingi juu ya hilo.
Kuna kipindi watu walishinikiza utoke katika ukuu wa mkoa wa Dar es Salaam kwasababu wanazojua wao, lakini aliyekuteua kwa jeuri akasema hawa hawanijui sikutoi na sipangiwi.
Likaja suala la Mnyeti akasema hupangiwi na ukampa kabisa cheo, suala lako Makonda na Nape, Nape alitaka kuonekana anajua sana mpaka kuingilia kuchunguza mtu ambaye kateuliwa na Rais, hakubaki salama.
Sasa naona wewe umeanza kuteleza juu ya Juliana Shonza na kupost post mambo ya kumponda Shonza na kumtetea Diamond, so suala la kuingilia kichwa kichwa ili utamkera mkuu sasa hivi na kufanya aonekane hana busara katika teuzi zake.
Mbaya zaidi haumtukuzi vizuri kama zamani, japo Rais hayupo ili atukuzwe, lakini wewe ndo uliyaanzisha yaendeleze, hata mkipeana mkono, hunyenyekei kama zamani, unampa mkono mmoja, huoni kina Gambo, na Mongella,?
Ndo muone madhara ya kutukuza tukuza watu, Mungu tu ndo hutukuzwa
Ni hayo tu
picha ya Kabla unyenyekevu 100%
View attachment 722594
Picha ya baada hakuna unyenyekevu
View attachment 722595