Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Hata wewe ni mtanzania changia sio uishie kulalamika tu.
MITANZANIA MINGINE SIJUI IMEZALIWA WAPI?
Yaani wewe unaona raha kuweka picha watt wamekaa chini eti unakosoa,huko sio kukosoa huko ni kujivua nguo,bado hatujajua matumizi ya mtandao.nenda kwenye forum za wenzetu ulaya na marekani huwezi kukuta picha za ombaomba au za masikini na vilema mitandaoni na si kama hawapo,wapo lakini wao wanajipenda na wanajithamini.sasa ulivyopiga picha watoto wetu unatusaidiaje?? au unataka tukusaidie nini?
 
Hata wewe ni mtanzania changia sio uishie kulalamika tu.
MITANZANIA MINGINE SIJUI IMEZALIWA WAPI?
Yaani wewe unaona raha kuweka picha watt wamekaa chini eti unakosoa,huko sio kukosoa huko ni kujivua nguo,bado hatujajua matumizi ya mtandao.nenda kwenye forum za wenzetu ulaya na marekani huwezi kukuta picha za ombaomba au za masikini na vilema mitandaoni na si kama hawapo,wapo lakini wao wanajipenda na wanajithamini.sasa ulivyopiga picha watoto wetu unatusaidiaje?? au unataka tukusaidie nini?
Sasa umefuata nini kwenye mitandao ya kijinga ya kibongo? Si uende huko ulaya
 
Amefanikisha kujitajirisha zaidi na kuogopewa. Mpaka amefanikisha kuvamia ndege ya emirates na kuvunja kanuni zote za usalama na taratibu zake. Madogo hayooo?
 
Hii tabia ya kila kitu kuingiza lawama kwa serikali haina tija kwa taifa, itakuwa vyema kama swali lingeelekezwa kwa wazazi wao wamefanya nini kuhakikisha watoto wao hawakai chini then pale waliposhindwa ndio serikali iwasaidie, serikali haitaweza kukusaidia kila kitu.

Mtu hataki hata kuzibua mtaro uliojaza maji taka pembeni ya nyumba yake, anasubiri serikali ije kuzibua.....utaumwa na mbu mpaka utashangaa dunia ilivyo chungu......jiongeze
 
Usifananishe makonda na vitu vya kijinga. Huyu jamaa ana kipaji cha uongozi. Na ni kijana mdogo sana anafanya mambo makubwa vijana sisi wa umri wake hatuwezifanya
Weweee umelizwa amefanikisha lipi? Makonda amefanya lipi la ziada? Na.aliyotekeleza yote ni jukumu lake kama.kiongozi sio sifa hana la.kusifiwa hapo ni wajibu mtupu alioufanya . waafrika wacheni kusifia wajibu kama amefanya hisani. Hakunaaa
 
Wewe unayeshinda Jamii Forums 24/7, 30% ya threads unaanzisha wewe unaisaidiaje jamii iliyokuzunguka zaidi ya kuongelea wanaume wenzio hapa?,nyie ndo mkija kuzeeka na hamna mafanikio yoyote mnageukaga kuwa wachawi.
 

Hali hii hadi lini? Wanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Mikumi iliyopo jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, wakiwa wamekaa chini kutokana na uhaba wa madawati katika darasa hilo, wakati wa masomo. Tupe mtazamo wako kuhusu miundombinu ya elimu nchini mwako. Picha na Eric Boniphace.

kwa akili zako, taja kiongozi gani ambaye aliwahi kufanya kampeni akafanikisha dunia hii

kiongozi ni initiator bana
 
Mkuu wa mkoa mchapa kazi kuliko wote Mh. Paul Makonda, amefika hatua anajiona naye ni Rais wa sehemu husika kana kwamba anaweza ongea lolote,

Nakupa sifa moja kuu ya Rais Magufuli,

Hapendagi kukosolewa au kuonekana amekosea katika mambo yake, mbaya zaidi ukimkosoa katika tuezi anazofanya, tunayo mifano mingi juu ya hilo.

Kuna kipindi watu walishinikiza utoke katika ukuu wa mkoa wa Dar es Salaam kwasababu wanazojua wao, lakini aliyekuteua kwa jeuri akasema hawa hawanijui sikutoi na sipangiwi.

Likaja suala la Mnyeti akasema hupangiwi na ukampa kabisa cheo, suala lako Makonda na Nape, Nape alitaka kuonekana anajua sana mpaka kuingilia kuchunguza mtu ambaye kateuliwa na Rais, hakubaki salama.

Sasa naona wewe umeanza kuteleza juu ya Juliana Shonza na kupost post mambo ya kumponda Shonza na kumtetea Diamond, so suala la kuingilia kichwa kichwa ili utamkera mkuu sasa hivi na kufanya aonekane hana busara katika teuzi zake.

Mbaya zaidi haumtukuzi vizuri kama zamani, japo Rais hayupo ili atukuzwe, lakini wewe ndo uliyaanzisha yaendeleze, hata mkipeana mkono, hunyenyekei kama zamani, unampa mkono mmoja, huoni kina Gambo, na Mongella,?

Ndo muone madhara ya kutukuza tukuza watu, Mungu tu ndo hutukuzwa

Ni hayo tu

picha ya Kabla unyenyekevu 100%

O4A0618-1.jpg


Picha ya baada hakuna unyenyekevu
images (9).jpeg


Hata kwa waziri mkuu
IMG-20180325-WA0015.jpg

 
Operesheni ya uzafi. mikoa mingine imeiga...wanafanya kila mwezi. Lakini Dar kila wiki.
Hivi zile fedha za usafi kwanini ziendelee kuchangwa na wananchi ilhali wanafanya usafi wenyewe na kulipa kodi.
Kuna tatizo mahala... huwa najiuliza ule muda shughuli zinapofungwa mpaka saa nne kukiwa hakuna uzalishaji tunajisifuje kukuza uchumi na uchapakazi? Najiuliza tena kwanini hakukutengenezwa utaratibu uchafu usionekane mbele ya eneo la mtu. Kwanini hakutolewi mafunzo ya madhara ya uchafu ili watu wauepuke?
Sishangai zinapoitwa "kampeni" za kadhaa wa kadhaa na ndio maana malengo hayatimii maana Watu wanapewa samaki badala ya ndoano
 
Back
Top Bottom