GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Huyo mvivu wa kufikiri hawezi kukuelewa.
Na wapo wengi sana Mkuu na usishangae kuna wengine tena watakuja Kichwa Kichwa. Nafurahi tu kuwaoneni ' Geniuses ' wachache mliouelewa vyema na kiufasaha kabisa huu ' Uzi ' wangu ambao kama ukiufungua na kuusoma kimazoea unaweza ukadhani ndivyo sivyo. Leo nataka niwatese Watu na IQ's zao ili nione zipo thabiti kiasi gani katika kufikiri na kutambua mambo makubwa na mazito.