Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,654
Sawa Game Changer' umesomeka
yani nahisi mim peke yangu ndio nimeelewa maudhui yako.Mkuu kwani na Wewe kwa hayo ' maudhui ' niliyoyaorodhesha hapo huungani nami katika kumwelewa na kumkubali?
Duuu Tanzania tuna safari kubwa mnooo. Nampa pole Mange KimambiHahahaha "eti IQ" una IQ gani wewe "mende" mlalwa hovyo??
Kazi kumsifia huyo ***** aitwaye bashite??
Watu wa Arusha wana kamsemo flaniKweli nimeamini kumuelewa GENTAMYCINE kama una IQ za punje ya mchele itakuwa ni ngumu. Akhsante sana Mwenyezi Mungu kwa kunipa uwezo huu hatari wa IQ huku nikijua vizuri sana kucheza na ' akili ' za Watu hadi wengine nikiwa nimewagusa wao moja kwa moja lakini bado tena wananipongeza huku wakiniona mshindi na kwamba nimebadilika. Ama hakika nyimwa vyote ila usiombee ukanyiwa IQ utadharaulika na kusanifiwa sana bila kujijua.
Mtani nimeanza kugundua kuwa una nuru lkn huwa unajifyatua tuuUkiishia tu kusoma ' Heading ' ukafurahi na kuona GENTAMYCINE amekukosha halafu ukaacha kutiririka na kuserereka na ' Content ' ukidharaulika na ' Great Thinkers ' usilaumu wala kununa. Safi sana na heko pia Kwako Mkuu kwa kunielewa vyema kabisa ' maudhui ' yangu. Leo kupitia huu huu ' Uzi ' ndiyo nitawajua waliobarikiwa ' Fikra ' kubwa na waliolaaniwa na wakanyimwa ' Upeo ' na Muumba / Maulana.
I like the article.Sarcastic and poetic.Two thumbs up.Sarcasm at its best!
Haya nenda kaolewe naye Sasa.Jinga jinga tu.
Matanzania bana!!!
Hebu subiri kidogo,maana tumechafukwa ni balaa.Hapa tunakosa Ak47 tuMkuu ungesoma na kuelewa utamwomba msamaha, najua umesoma heading tu.
Kwa ufupi jamaa kamponda Bashit..e mwanzo mwisho
Hilo liko wazi mkuu, nami nilijikaza nikasoma maana hilo jina ukakasi sana kwanguHebu subiri kidogo,maana tumechafukwa ni balaa.Hapa tunakosa Ak47 tu
Ahaaa kumbe! Very sorry Gent.Ni vile nafsi zetu zimechafuka an hatutaki hata kuona majina haya ya kishetani.Hilo liko wazi mkuu, nami nilijikaza nikasoma maana hilo jina ukakasi sana kwangu
Wewe ni muungwana sana. BarikiwaAhaaa kumbe! Very sorry Gent.Ni vile nafsi zetu zimechafuka an hatutaki hata kuona majina haya ya kishetani.
Samahani mleta mada, asante mkuu Kwa kunishtua.
It is about sarcasm.