GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Huyo mvivu wa kufikiri hawezi kukuelewa.
Uko vizuri sana.. Kwa uwasilisha wa hoja kwa namna hii hata makonda atajikuta anakupigia makofi ila akipatikana wa kumtafsria.. Tunakupoteza mkuu
Mkuu umeandika kama vimekaa vichwa kadhaa vikaumiza vichwa vikazimia kuja na andiko la pamoja harafu vikakutuma wewe uliwasirisheNa wapo wengi sana Mkuu na usishangae kuna wengine tena watakuja Kichwa Kichwa. Nafurahi tu kuwaoneni ' Geniuses ' wachache mliouelewa vyema na kiufasaha kabisa huu ' Uzi ' wangu ambao kama ukiufungua na kuusoma kimazoea unaweza ukadhani ndivyo sivyo. Leo nataka niwatese Watu na IQ's zao ili nione zipo thabiti kiasi gani katika kufikiri na kutambua mambo makubwa na mazito.
Katika kuelewa watz ni wagumu kama yale mawe ya mtoni, mbona ukisoma uzi huu ni kebehi ya wazi kwa huyo mtajwa??Hongera kwa kiwango cha utendaji wake, ila huwezi kusema tangu adamu na hawa...kuna viongozi wametumia pesa toka mfukoni kwao kuwahudumia wananchi, wengine wamefia kazini ktk kulitumikia taifa...sasa Makonda anayetumia pesa ya serikali huku akitimiza mipango iliyoandaliwa na watangulizi wake.
Unachoshindwa kuelewa ni kwamba Makonda ni mtoto pendwa kati ya watoto wote wa Baba, anasikilizwa na kupewa kipaumbele, mji wake ni strategic na miradi imelengwa kuwekezwa ktk jiji analolisimamia.
Naomba ufute kauli kuwa ni Mkuu wa mkoa bora tangu Adamu na Hawa.
Je, tukisema Chema chajiuza, kibaya chajitembeza ni sawa?
Akisoma peke yake atashangilia ila sema kuna viherehere watajidai kumsomea na kumwekewesha tofauti na alivyoelewa.. Hapo ndiyo vumbi lake utakapoliona.. Hivi ile inshu ya kurudisha kwenye mikoa yao wale wote wanaofanya jiji letu liwe overpopulated ilishia wapi.. Acha kiongozi wetu kipenzi cha watanzania apige kazi (RC P. MakondaHa ha ha ha ha Mkuu bhana......kwani huoni jinsi nilivyomsifia hapo? Hakika huyu ndiye Mkuu wa Mkoa bora tokea nchi ipate Uhuru wake kwani amethubutu hata kuingilia mambo ya ndani kabisa ya Wanandoa na Wapenzi yaliyowashinda hata Wajumbe wa Nyumba Kumi Kumi na Viongozi wa Kidini ambao pengine ndiyo walizibariki hizo Ndoa. Namkubali sana Mkuu wa Mkoa wangu Ndugu Paul C. Makonda.
Kila mtu ambaye hajaelewa unamaanisha nini na kukutupia vijembe basi jua hajasoma makala yako....ni uvivu wake tuuu..Mkuu kwani na Wewe kwa hayo ' maudhui ' niliyoyaorodhesha hapo huungani nami katika kumwelewa na kumkubali?
2/18, nami nimekuelewa mkuuMkuu kwani na Wewe kwa hayo ' maudhui ' niliyoyaorodhesha hapo huungani nami katika kumwelewa na kumkubali?
Mkuu umeandika kama vimekaa vichwa kadhaa vikaumiza vichwa vikazimia kuja na andiko la pamoja harafu vikakutuma wewe uliwasirishe
Vizuri umezidi kubadilika maana mwaka jana miezi kama hii uliongoza pia kumshambulia na bila kukosa kwa maneno machafu mliyomrushia.
Watu wanasoma tittle mengine wanamwachia mwandishi
[emoji57] alafu wanajiona maGT
Fumbo mfumbie mjinga
Nmekusoma....hata mm namuelewa.....Usiishie kusoma Heading Tu