Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Watu wa Arusha wana kamsemo flani
"Bora unyimwe MAKALIO unaweza kuweka kata ukakalia KULIKO kunyimwa AKILI"
mkuu naomba unisitiri...lkn kwako heko
 
Mmmh, nimeshtuka kuona watu wengi haoa JF ama wanauelewa mdogo au hawasomi thread mpaka mwisho. Mbona umemkosoa kwa uwazi kabisa bila mafumbo katika hayo uliyoorodhesha? Sema sentensi za utangulizi ndio kidogo zilikuwa za kufumba. Hatari sana. Someni thread mpaka mwisho jamani!
 
Mtani nimeanza kugundua kuwa una nuru lkn huwa unajifyatua tuu
 
Mkuu ungesoma na kuelewa utamwomba msamaha, najua umesoma heading tu.
Kwa ufupi jamaa kamponda Bashit..e mwanzo mwisho
Hebu subiri kidogo,maana tumechafukwa ni balaa.Hapa tunakosa Ak47 tu
 
Hilo liko wazi mkuu, nami nilijikaza nikasoma maana hilo jina ukakasi sana kwangu
Ahaaa kumbe! Very sorry Gent.Ni vile nafsi zetu zimechafuka an hatutaki hata kuona majina haya ya kishetani.
Samahani mleta mada, asante mkuu Kwa kunishtua.
It is about sarcasm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…