Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ulitùmia njia ipi iliyo rahisi zaidi mkuu?
Na gharama ulitumia kama kiasi gani?
 
British Council bado wanafanya hizo mishe iseee, mwaka jaña mwanzoni walitutembelea chuoni kutupa baadhi tu ya hizo mambo+scholarships za petroleum engineering. Kuna jamaa ninayo mawasiliano yake yuko pale anaitwa Mpoki.
 
Hivi hata kwenda kwaajili ya kufanya kazi inabidi pia uwe umefanya huo English Proficiency Test?
 
Naombeni ushauri kuhusu SWEDEN ndugu zangu, mimi natarajia kwenda huko soon,vipi maisha ya Sweden na mazingira kwa ujumla?,nataka kwenda kuishi Stockholm
 
Naombeni ushauri kuhusu SWEDEN ndugu zangu, mimi natarajia kwenda huko soon,vipi maisha ya Sweden na mazingira kwa ujumla?,nataka kwenda kuishi Stockholm
Sweden kuzuri sana, maisha yako poa. Karibu Scandinavia.
 
Naomben kujua waungwana ivi kujaza fomu ya paspot pale kwenye taarifa za safar ni lazima kujaza maana mm sina mualiko wowte kwa sasa ila nahitaji paspot
 
Kaka Izzo shida yangu kubwa kupata mtu wa kunipa mwaliko kwenda usa kwani huko nina mwenyeji ambae awezi kunialika yeye mwenyewe kaniambia nitafute mtu wa kunipa mwaliko kisha nitafikia kwa mtu wangu msaada wa mwaliko kaka
 
Lusungo Siyo Danga Nakufanya baby dady kabisa
nani asiyetaka kuitwa mama ghorofa hapa mjini
 
Kaka Izzo mimi nilikuwa naomba msaada nipate mtu wa kunipa barua ya mwaliko kwenda usa,kule nina mtu wangu ambae awezi kunipa mwaliko kwa sababu tofauti so kanipa nafasi nipate mtu wa kunipa mwaliko kisha nikienda nitafika kwa mtu wangu msaada wako plz
 
Daah sasa kama huna kwa kipindi hiki unafnyaje mkuu maana nahitaji kua nayo..safr inakuja muda wowote mbeleni
Unaweza kutafuta/kutumia sababu nyingine tu Mkuu, kama utalii,biashara,michezo,dini nk,ilimradi ukidhi vigezo katika category husika,ilimradi umepata tu!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…