Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Sasa brother hapo kwenye kuingia Malta hapo, maana nimetafuta kila possible way napaona kugumu. Mpaka najihisi sina swali kwakweli.
Ok kwani ugumu huko wapi? kuna aina 18 za visa kuingia Malta mpaka kuna visa ya uchumba kuingia Malta so cjaelewa tatizo lako ni nini?

Pia unajua Watu wanaweza kudharau nchi ya Malta mm nimechagulia malta coz naijua vizuri pia Passport ya Malta ni ya 9 duniani kwa Passport zenye nguvu unaingia nchi 168 bila ya visa ukiwa na PS ya Malta ww nambie tatizo ni nini tatzo Visa, Host, au nini?
 
Mkuu US ilikataa free visa kwa baadhi ya nchi tu za EU ikiwemo Romania na Poland.... Sababu kuu ni hali ya uchumi kwa nchi hizo....
Mkuu una taarifa za hv karibuni ktk utawala huu ya Trump? juu ya Free visa kwa EU
 
Visa na Host bro.
 
Sipadharau kabisa bro, yaani issue ni kupata huo mchongo Wa visa ya uchumba na host.
 
Hahaha bro, naamini taweza na likiwa gumu tajitahidi kuweza
Nyinyi Watanganyika ni wajanja janja sana mtu anaweza kukutafutia mchumba fresh then ww baada ya kufika huko unaanza mizinguo ya kujifanya sehemu zako za chini zinafanya kazi kwa kiwango cha 4G so ukasababisha lawama tena ukizingatia wengine tunaheshimika na kuheshimiana na watu na pia tunajiheshimu ndio maana mm narudi nyuma sana kuwasaidia hko coz wengi mnazingua sana na kumbuka Mzungu akisema I LOVE U kasema kweli tofauti na weusi anasema i love u kumbe ajakupenda ww kuna kitu amekipenda kutoka kwako

lusungo
 
Bro tunapokosea watanganyika ni kutumia kosa la wachache kuhukumu wengi. Kifupi watanganyika mizinguo sometimes, nimewakaribisha sana Uganda wakishajua mitaa wanakua maadui. Ila leo nami nalilia kukaribishwa mkuu, Fanya uwezalo tupate njia ndugu zako. Km ni manzi niunganishe brother
 
Pesa ya visa si kubwa kihivyo.... Mfano kwa schengen visa last year ilikua euro 60 tuu.... Na kwa nchi za SADC ni visa free mfano south!!

Nina swali hapo,ni visa free kama SA kwa siku 90,je baada ya hapo ukitaka kuongeza unafanyaje?
 
Mkuu mm nataka host japo na taman nisome ila nikipata host atlest nijajifunza mambo mengi pamoja na kupata papers ili nisonge mbele. Afu pia passport ninayo na last time 2014 nilienda Sweden nikaa kama 3 weeks kwa kiasi najua mazingira ya kule ndio maana nataka nirudi kule.
 
Nina swali hapo,ni visa free kama SA kwa siku 90,je baada ya hapo ukitaka kuongeza unafanyaje?
Na ikiwa visa free unaingia tu km tunavyoingia Uganda na Kenya? Na ukifika huko unajiripua vipi
 
Denmark ni nchi ya scandinavia... Ni nchi yenye maisha ya raha na amani sana japo ni nchi ndogo... Njia rahisi kwenda huko unaweza kwenda as tourist then ukifika huko unapambana upate wa kumwoa hata kwa makaratasi tu ili upate kibali cha ukaazi.

NGELI yenyewe haipandi!!ntamwoa mdenmark kweli?haya yatakuwa mapenz ya mpenz bubu!
 
Mkuu hongera kwa nondo, hebu nipe fununu za Netherlands hali ikoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…