Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Mkuu labda chuo gani Hicho
Hawa nyingi wanatoa sponsorship kwenye masomo mengine unatakiwa ujigharamie kwa hizi walizotoa.
Japo kuna nyingine hutoa full scholarship, tuendelee kujaribu kwanza
Unakuwa busy na kuwa competent kwenye English sababu utakuwa busy kuandika na kuandika.
 
Utanikuta Francistown
 
mkuu ukitaka usifike mahali angalia wenzako ,,ww nenda kinyako
 
Hongera sana kaka, mwajiri wako unadhani atakubali kukuandikia hapo panapohitajika? Bila shaka unamfahamu vyema jihakikishie kwanza, ukiona hatapendezewa na hatua yako hiyo, jiandikie mwenyewe, chonga muhuri wa ofisi yako au uibe gonga endelea na mambo mengine.

Mabosi wengine wachuro, hawapendi maendeleo ya watu
 
Kwanini usiende huko kisha ufunge hiyo ndoa? Kama yeye ana uraia kule hutosumbuka kupata hiyo visa
 
Kujilipua Israel is the worst idea ever. Wale watu ni wabaguzi na wabinafsi sana. Labda kama una asili ya kiEthiopia ukakomae uende jeshini au kiFilipino ukawe mfanyakazi wa ndani.
 
Nimekuelewa blaza[emoji106]
 
Nimejuelewa blaza[emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…