Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo ni binadamu wa ajabu sana mkuu.Haha ni kupambana tu mkuu.... Wabongo hatupendi mafanikio ya wenzetu hiyo ndiyo shida kubwa!!
Curtain University AustraliaMkuu labda chuo gani Hicho
Hawa nyingi wanatoa sponsorship kwenye masomo mengine unatakiwa ujigharamie kwa hizi walizotoa.Mkuu labda chuo gani Hicho
Muda umeisha mkuu,wamefunga Feb.Naomba Link hiyo na Mimi niombe
Utanikuta FrancistownNataka niende botswana nikaanzishe biashara huko je nifaate utaratibu upi?
Je itanibidi niaandae mtaji kama wa shilingi ngapi za tanzania?
Ni mitaa ipi nitatoboa kwa jiji la gaborone na biashara ipi italipa zaidi?
Je vitu gani niandae kabla ya kwenda?
Nina mchumba ni mtanzania ila ana uraia wa UK tumepanga tufunge ndoa mwaka huu,nipo TZ yeye yupo UK,tatizo nimepitia spouse/fiance visa za UK nimeona watu wengi wanalalamika kunyimwa visa hadi napata mashaka naweza kukosa.Nahitaji maoni yenu kama yupo ambae alishapitia huu mchakato
mkuu ukitaka usifike mahali angalia wenzako ,,ww nenda kinyakoNina mchumba ni mtanzania ila ana uraia wa UK tumepanga tufunge ndoa mwaka huu,nipo TZ yeye yupo UK,tatizo nimepitia spouse/fiance visa za UK nimeona watu wengi wanalalamika kunyimwa visa hadi napata mashaka naweza kukosa.Nahitaji maoni yenu kama yupo ambae alishapitia huu mchakato
Hongera sana kaka, mwajiri wako unadhani atakubali kukuandikia hapo panapohitajika? Bila shaka unamfahamu vyema jihakikishie kwanza, ukiona hatapendezewa na hatua yako hiyo, jiandikie mwenyewe, chonga muhuri wa ofisi yako au uibe gonga endelea na mambo mengine.Hizi exams naona inategemea na chuo
Mimi nimeapply scholarship vizuri wakawa wanataka hiyo mitihani nikawa tumia barua ya UDSM,wakagoma.
Ikabidi niwaulize nifanyeje wakasema nitafute agent wa chuo chao hapa TZ,nika search hakuna agent, ni karudi kuwaambia hakuna agent wao tz
Wakasema watanitumia online English test ya lisaa na nusu,kweli walituma nikafanya hiyo test nika submit,wakarudisha majibu mana test walinitumia wengine kabisaa so matokea wakayapeleka chuo nilichoomba,hicho chuo wamenitumia admission form nizijaze zikiwa zinahitaji referee na mwajili aseme kitu kuhusu mimi
Fomu ya mwajiri nimejaza mwenyewe nampelekea J3 assign,kuna fomu ya kujieleza kuhusiana na kozi unayoomba that's all.
Kwahyo tusikate tamaa tuendelee kujaribu kuomba na kuomba siku moja Mungu atasikia.
ulipoona zimekosewa lekebisha....
hongera mkuu safari moja uanzisha nyingne..,hvi kikubwa huko si passport tu inatosha maana ni SADC?.,hopeful mtakuwa wenyeji wetu huko soon..Ndo napanga niingie mwezi wa nne nimeshakamilisha mipango yote
[HASHTAG]#lusungo[/HASHTAG]
Kwanini usiende huko kisha ufunge hiyo ndoa? Kama yeye ana uraia kule hutosumbuka kupata hiyo visaNina mchumba ni mtanzania ila ana uraia wa UK tumepanga tufunge ndoa mwaka huu,nipo TZ yeye yupo UK,tatizo nimepitia spouse/fiance visa za UK nimeona watu wengi wanalalamika kunyimwa visa hadi napata mashaka naweza kukosa.Nahitaji maoni yenu kama yupo ambae alishapitia huu mchakato
Kujilipua Israel is the worst idea ever. Wale watu ni wabaguzi na wabinafsi sana. Labda kama una asili ya kiEthiopia ukakomae uende jeshini au kiFilipino ukawe mfanyakazi wa ndani.Hivi Israeli hii nchi inafaa kujilipua kweli??nafanya kazi za hotel kitambo.mwaka jana na mwaka huu tumepata wageni wengi wa ki israel.
1:ni wasumbufu sana kama warabu wa oman na wana force vitu hata kama vipo nje ya uwezo wetu
2:wanaonekana wana ubaguzi wa hali ya juu.
3:wanabaguana na mataifa mengine.
Kifupi wanatisha kwa tabia zao kwenye nchi zetu sasa sijui huko kwao itakuaje?
Mkuu naomba utuelezee unawafaham vipi kwa kifupi
Mkuu kama ni kweli upo Francistown vipi fursa ya biashara na ajira kiujmla pande hizo?Utanikuta Francistown
Nimekuelewa blaza[emoji106]Uzi mzuri sana,
kuna njia ya kuvolunteer kufanya kazi katika sehemu mbali mbali duniani hii ni njia nyepesi ila inahitaji pesa kidogo.
kuna web ya workaway.info inaungaisha katika ya worakway na host,unatakiwa kujisajili inacost 29 usd unalipia bank au kwa paylal.
Uzuri wake hii ni njia ya uhakika na mara nyingi host inakua juu yake malazi na makazi juu yako wengine wanakupa access ya kufanya kazi manake kujitolea inakua mara nyingi katika ya masaa 3-6 per day mda mwingine unakua free kufanya mambo yako.
pia unaweza kuongeza muda huku ukisoma ramani ufanye vipi utoke.
vitu unavyohitaji kujilipia ni ticket yako ya ndege go and return,visa fees ambayo inategemea na nchi ila sio ghali.
nauli ya ndege ni ghali kama umechagua nchi za mbali kwenda kama Canada,Australia,Japan and Nordic countries.
Nakutakieni mafanikio mema katika kutafuta maisha nje kila kitu kinawezekana.
Nimejuelewa blaza[emoji106]Uzi mzuri sana,