Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Mkuu labda chuo gani Hicho
Hawa nyingi wanatoa sponsorship kwenye masomo mengine unatakiwa ujigharamie kwa hizi walizotoa.
Japo kuna nyingine hutoa full scholarship, tuendelee kujaribu kwanza
Unakuwa busy na kuwa competent kwenye English sababu utakuwa busy kuandika na kuandika.
 
Nataka niende botswana nikaanzishe biashara huko je nifaate utaratibu upi?
Je itanibidi niaandae mtaji kama wa shilingi ngapi za tanzania?
Ni mitaa ipi nitatoboa kwa jiji la gaborone na biashara ipi italipa zaidi?
Je vitu gani niandae kabla ya kwenda?
Utanikuta Francistown
 
Nina mchumba ni mtanzania ila ana uraia wa UK tumepanga tufunge ndoa mwaka huu,nipo TZ yeye yupo UK,tatizo nimepitia spouse/fiance visa za UK nimeona watu wengi wanalalamika kunyimwa visa hadi napata mashaka naweza kukosa.Nahitaji maoni yenu kama yupo ambae alishapitia huu mchakato

mkuu ukitaka usifike mahali angalia wenzako ,,ww nenda kinyako
 
Hizi exams naona inategemea na chuo
Mimi nimeapply scholarship vizuri wakawa wanataka hiyo mitihani nikawa tumia barua ya UDSM,wakagoma.
Ikabidi niwaulize nifanyeje wakasema nitafute agent wa chuo chao hapa TZ,nika search hakuna agent, ni karudi kuwaambia hakuna agent wao tz
Wakasema watanitumia online English test ya lisaa na nusu,kweli walituma nikafanya hiyo test nika submit,wakarudisha majibu mana test walinitumia wengine kabisaa so matokea wakayapeleka chuo nilichoomba,hicho chuo wamenitumia admission form nizijaze zikiwa zinahitaji referee na mwajili aseme kitu kuhusu mimi
Fomu ya mwajiri nimejaza mwenyewe nampelekea J3 assign,kuna fomu ya kujieleza kuhusiana na kozi unayoomba that's all.
Kwahyo tusikate tamaa tuendelee kujaribu kuomba na kuomba siku moja Mungu atasikia.
Hongera sana kaka, mwajiri wako unadhani atakubali kukuandikia hapo panapohitajika? Bila shaka unamfahamu vyema jihakikishie kwanza, ukiona hatapendezewa na hatua yako hiyo, jiandikie mwenyewe, chonga muhuri wa ofisi yako au uibe gonga endelea na mambo mengine.

Mabosi wengine wachuro, hawapendi maendeleo ya watu
 
Nina mchumba ni mtanzania ila ana uraia wa UK tumepanga tufunge ndoa mwaka huu,nipo TZ yeye yupo UK,tatizo nimepitia spouse/fiance visa za UK nimeona watu wengi wanalalamika kunyimwa visa hadi napata mashaka naweza kukosa.Nahitaji maoni yenu kama yupo ambae alishapitia huu mchakato
Kwanini usiende huko kisha ufunge hiyo ndoa? Kama yeye ana uraia kule hutosumbuka kupata hiyo visa
 
Hivi Israeli hii nchi inafaa kujilipua kweli??nafanya kazi za hotel kitambo.mwaka jana na mwaka huu tumepata wageni wengi wa ki israel.

1:ni wasumbufu sana kama warabu wa oman na wana force vitu hata kama vipo nje ya uwezo wetu

2:wanaonekana wana ubaguzi wa hali ya juu.
3:wanabaguana na mataifa mengine.

Kifupi wanatisha kwa tabia zao kwenye nchi zetu sasa sijui huko kwao itakuaje?

Mkuu naomba utuelezee unawafaham vipi kwa kifupi
Kujilipua Israel is the worst idea ever. Wale watu ni wabaguzi na wabinafsi sana. Labda kama una asili ya kiEthiopia ukakomae uende jeshini au kiFilipino ukawe mfanyakazi wa ndani.
 
Uzi mzuri sana,

kuna njia ya kuvolunteer kufanya kazi katika sehemu mbali mbali duniani hii ni njia nyepesi ila inahitaji pesa kidogo.

kuna web ya workaway.info inaungaisha katika ya worakway na host,unatakiwa kujisajili inacost 29 usd unalipia bank au kwa paylal.

Uzuri wake hii ni njia ya uhakika na mara nyingi host inakua juu yake malazi na makazi juu yako wengine wanakupa access ya kufanya kazi manake kujitolea inakua mara nyingi katika ya masaa 3-6 per day mda mwingine unakua free kufanya mambo yako.
pia unaweza kuongeza muda huku ukisoma ramani ufanye vipi utoke.

vitu unavyohitaji kujilipia ni ticket yako ya ndege go and return,visa fees ambayo inategemea na nchi ila sio ghali.

nauli ya ndege ni ghali kama umechagua nchi za mbali kwenda kama Canada,Australia,Japan and Nordic countries.

Nakutakieni mafanikio mema katika kutafuta maisha nje kila kitu kinawezekana.
Nimekuelewa blaza[emoji106]
 
Nimejuelewa blaza[emoji106]
 
Back
Top Bottom