Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Nilichelewa kuuona huu uzi time naona leo ulikuwa na comment zaid ya 1000!! Thanx God nimemaliza kuzisoma zote!! It very useful!! Thanx to Lusingo, Izzo na wengine!! Master plan yang Kusaka master scholarships za Malta na nardic country esp.. Sweden na Dernmark!! tutaendelea kupeana update!! Dr. adam tuwe karibu aisee m ni dr. pia tupo field moja! Others ol the best tukutane Malta...!! this year
 
Kila la kheri kwako mkuu.
 
Mkuu inshu ni viza na jinsi gan tukifika huko tutapata PR kwa hilo mwenzang umejipangaje?
 
Wakuu Ni vyema tunaopewa ushauri tuutumie ikiwezekana haraka mafanikio yake yaonekane kwa haraka ili wanaotushauri wapate moyo na wajue watu wapo serious.
Kweli mkuu lakin naimani weng wanania lakini bila shaka changomoto kubwa unazifahamu ambazo hata wewe bila shaka zinakutoa jasho.
1.Wenyewe wanaita hela ambayo itasaidia mchakato mzima kuanzia nauli n.k
2.Njia ipi sahihi na salama ya kutumia kufika kule waendako?
3.Ukifika huko jinsi gan utapata RP? na mengne mengi
tangu uzi umeanza hatujapata mrejesho hata mtu mmoja kama tayari kafanikisha safari au ndo tuseme kila mmoja yupo kwenye michakato?
4.Mkuu izzo aliahidi ataleta njia ya tatu ya kufika US na canada mpaka sasa kalibia wiki inafika hajatokea kuleta nondo ikumbukwe kuna wadau wengi wanania yakufika nchi hizo mwenye kujua huyu mkuu kapatwa na nini atujuze mbona uzi huu kautelekeza ndugu zake bado tunahitaji msaada wake.
 
Dr. Mwalimu yeyote ni njia mbili ndio zinamfanya ajue kuwa kile anachofundisha kinafanyiwa kazi au kinazingatiwa na wale anaowafundisha

1 Wanaofundishwa huwa wanauliza maswali au kusema pale wanaposhindwa kuomba msaada ili waweze kuendelea mbele
hakuna aliyeuliza swali nikashindwa kumjibu

2 Ni Matokeo ya mitihani au kazi wanazopewa kuhusu kile walichofundishwa

Toka tumeanza na Mission ya kwanza changamoto kubwa ikaonekana Malta hakuna ubalozi Tanganyika nikawaletea njia ya kupata visa hata ukiwa Tanganyika yote ni kutatua tatizo liliojitokeza la ubalozi na visa
mpaka leo hakuna mtu aliyeleta mrejesho kuwa hata alikwenda ubalozi wa Italy kuuliza tu na majibu aliyopewa

Mission ya pili mpaka mwezi wa 6 ndio wageni wanakuja huko na wanaanza 5 wapo waliojitokeza kutaka kuwahost lakini waliojitokeza ni watu ambao wanataka kuwahost lakini waliojitokeza kuhost mmoja mmoja nadhani ni wawili tu ndo wamejitokeza sasa unajiuliza mgeni yeye anatoa fedha dola $100 kila siku sawa na laki mbili na kitu just for food en bed tena analala kwako ww kazi yako ni kumtembeza pale anapotaka tena kwa gharama zake lakini mwitikio ni mdogo ni watu wawili tu ndio wameonesha nia ya kuhost je siku ikitokea wakaja wageni zaid ya 10 host wanapatikana wapi?????
Na hii project nilileta kwenu kwa kuwasaidia nyinyi si kwa ajili ya biashara kama ingekuwa biashara yapo makampuni mengi ya kitalii au watu wanafanya kazi hizo

Hatuwezi kujaza saver hapa kwa maproject yasiyo fanyiwa kazi zaid ya story stroy tu hapa kufanya hvyo ni matumizi mabovu ya akili kitu ambacho sipo tayali kutumia akili yangu vibaya na inakuwa hakuna maana ya kupiga story tu hii ni kazi niliwai kusema kumekuwa na tatizo la kutransform Draft to Reality
 
Mkuu inshu ni viza na jinsi gan tukifika huko tutapata PR kwa hilo mwenzang umejipangaje?
Kwa mm nilivyowaelewa wazoefu kama unaenda kimasomo step.ya kwanza ni kupata scholarship then visa na PR vitafuata penye ugumu Lusungo na Izzo wapo so itawezekan tu kwa juhudi thabiti!
 
Mkuu izzo nimechelewa kusoma this thread ... Nimewahi kuwa na wazo la kutaka kuwa host na changamoto ikawa ni namna ya kupata hao wazungu...

Nikuhakikishie kuwa nipo tayari kwa kila kitu kuhakikisha naacha mambo yangu ili nifanikishe hili suala kwa kuzingatia ushauri wako ...


Nipo tayari nipe destination
 
Mkuu naomba kujua age limit ya kujiunga na jeshi Malta kama unafaham kdgo
 
Mkuu naomba kujua age limit ya kujiunga na jeshi Malta kama unafaham kdgo
Kujiunga na jeshi kwa ulaya ni mpaka miaka 32 kwani kwa wenzetu jeshi ni service si kazi kama vile ilivyo Africa na project si kujiunga na jeshi la Malta bt ni kupata uraia wa Malta ili kuweza kupata nafasi ya kufanya kazi na kuishi nchi za Ulaya na kujiunga na jeshi kwenye nchi za Ulaya yani A list za ulaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…