Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ahahaaaaa,hela ya "muzungu" ni nouma mkuu.
Mkuu story zako zina furahisha sana hapa jamvini je kupa visa ya kwenda huko ulaya ulifanyiwa mchongo na wadau wanaoishi huko au ulikwenda kimasomo na kufanya kazi kwenye hizo bustani mpaka uwena elimu ya kilimo au mtu yeyote anaeza kufanya hiyo kazi asante.
 
Msifanye haraka wakuu, maisha magumu wengi wanakuwa na mihangaiko ya muda mrefu sana. Izzo na lusungo msije mkaharibu hii mada mliyoiotesha kwa jasho na damu
Nitakuwa mpumbavu kama nitafanya hvyo bt kumuulizia mtu si kitu kibaya mm mambo ya PM nilishakataa so namuulizia hapa jukwaani

Pia unatakiwa kujua muda ni rasilimali muhimu sana je unajuaje kama siku niliyomwambia kulikuwa bado wiki au situ 3 wafunge maombi ya kuomba ufadhili ?
 
 
Wapo wanaojifanya wakimbizi wakifika kambini wanaandikishwa mle wapatapo wafadhili wanapelekwa nje na huko baada ya mda wanarudi kutusalimia :::::mpaka unatamani na wewe ungekua mkimbizi!!!! Jaribu kujilipua labda utafanikiwa!!!
 
Mkuu yote uliyoongea ni by the book bt nataka kukwambia muhamiaji ana akili zaidi ya askari wa uhamiaji

Watu wanapata uraia na ukazi wa kudumu Malta with 0 euro kwenye account ya bank

Euro 200,000 kama unazo Bongo ya nini uje huku wakati unauwezo wa kumake more ndani ya Tanganyika na ukaja huku kama kutembea na kula bata tu

Tatizo fursa za Tanganyika ni kama mpira yule anayecheza ndani awezi ona lakini aliyenje ya uwanja au anayeangalia anaona chance za kufunga magoli zaidi ya mchezaji wa ndani
 
Mkuu tafadhali maelezo kidogo namna ulivyoweza kufika huko ukiwa unskilled laborer. Napazimia sana Ocenia.
 
Hawa Mawakili ni wasomi. Watakachokifanya TAMISEMI ni kushawishi tu kwani kura ni uamuzi binafsi na ni siri ya mpigaji kura.
 
Kuna misemo 2 ambayo huwa inanifanya kujihisi niko hai

1."To be a leader is to suffer for the other's "
2. As you're trying to light a candle for others to see the bright future ahead, your also brighten your own future.

Huu Uzi umenikumbusha mbali sana mwaka 2007 nakumbuka nilienda ubalozi wa marekani mara 2 bila mafanikio, kipindi hicho kuomba visa nilikua ni dola 100 so nilipoteza dola 200 ziliniuma sana japo sikua nimezitoa mimi.

Kipindi icho nilikua najiandaa kufanya mtihani duuu nilijihisi kukosa amani kwani sikuamini kabisa kilichonitokea mara 2 kunyimwa visa, ikumbukwe nilikua under 18 na nina mashetani ya kwenda mbele kwa George W.Bush.

Mpaka naenda chuo akili yangu ilikua haikubaliani na kitendo cha kukosa visa lakini nitafanyaje na ndio ishatokea, niliumia zaidi baada ya mfadhili wangu tokea primary nae alipopata mtoto akiwa na miaka 58 mke na mume 60 huo ni mwaka 2010.

Kwao ilikua furaha nami nilifurah mwanzoni lakini furaha ikatoweka baada ya kunijulisha kuwa hawataweza kuendelea kunizamini masomo ya udaktari katika chuo cha IMTU.

Ndoto zangu za kuwa njia katika kitongoji changu zikazidi kufifia ilinilazimu lubadili course na kuhama chuo ikumbukwe TCU imeanza kutumika mwaka 2010.

Huwezi amini nilibidi kwenda ofisini kwao na kujifanya chizi ili nihamishwe chuo. Vingine ni kama masihara nakumbuka ilikua majira ya sa 8 mchana ndio niliruhusiwa kuingia ndani kumwona anaehusika na data base, kabla ya kumwona nikakutana na mama 1 akanihoji sana, ikabidi nijitoe ufahamu, niigize wa vijijini chuo nilisaidiwa kuapply na shangazi na hakujua kama zile 4500$ ni dola..Asee usiombee, ila akili ni Mali. Basi ofisi nzima wakaanza kunicheka na kushangaa, mimi wala siogopi KAMA ZOMBIE tu nilikua. Basi mama akanichukua mpaka kwa jamaa wa database then wakanibadilisha kwenda vyuo vya watoto wa wakulima aka vya TSH.

Ikumbukwe waliokua wananidhamini na kunifadhili naenda USA ni professors mke na Mme wrote ni profs mwenye sekta ya Afya, hivyo nilikua nina imani kwamba pesa ya kuendelea kunifadhili ilikuepo lakini wamegoma baada ya kupata mtoto tena wa uzeeni hata ivyo bahati haikua upande wangu mwaka 2007.


Baada ya mambo mengi nimekua nikipambana kuhama hii nchi kwa kutumia mipango hafifu lakini kupitia huu uzi nimejikuta najihisi bado niko hai tena. BIGUP wrote mnaozidi kutoa mlicho nacho. THROUGH SHARING KNOWLEDGE & SKILLS WE ARE SHARING LIFE.

Kupoteza na kupata ni kama 1_2, ukweli kufatilia kila comments mwenye huu Uzi kisha unakaa kimya bila kuchukua hatua yeyote sio jambo LA kiungwana kabisa, natamani kila atakaesoma huu Uzi abadilike ama abadilishe wengine kwa namna ingine.

MREJESHO.
NIlifungia accounts couch surfing na air bnb pia kujiunga home stays, hivi vitu ni kweli vinaganya kazi yaani ukiwa na nauli ya tickets go & return kuna host wana kupata offer ya kukupokea airport na free meals & accommodation in exchange of 0.00 coins kwa miezi 1-12 hapa ni wewe tu. Huwafanyii kazi yeyote.

Nimejaribu Leo kutumia host stays nchi za China 3, Japan 3, korea, Finland, Malta.

Pia kuna host unachangia dola MF. 500$ kwa mwez wanakupa chakula na malazi kwa mwezi, kwa walioko serious na nauli mkononi jipange then jua kwanini unaenda uko, utapataje RP, kisha jisogeze mbele. Muhimu ni kujipanga tusiende tu kisa umesikia kuna green pasture, lazima uwe na ramani na Dira ya unakotegemea pia PLAN B

MWISHO.
Naomba kuwa coordinator wa host kwa Tz, sio kazi nyepesi lakini naimani, nina uwezo wa kufanya kwa kiwango kinachotakikana#izzo
Ila kama unaenda south njia salama ni ya ndege tu... Kata return ticket... Ingia booking.com book room then print booking conformation ibebe ukifika huko unawaonesha tuuu unapita!!

Njia ya boda si nzuri sana

Isanga family
 
Mkuu l
Mkuu Izzo. Sijachangia tangu thread imeanza ila nilikua nafatilia na nimeshafanya mambo kadhaa sababu me issue ya kuondoka hii nnchi nnayo taku mzee wangu alipofariki na familia kusambaratika.. Nina bad feelings na hii nchi hasa ukiangalia mzee kabla ya kufariki alikua mtu wa serikalin but after kufariki walichotufanyia i dont want even to remember.. So now nafanya kazi somwhere na nimewekeza some amount so im very serious na hii thread imeniongezea pa kuanzia... Nmeshaenda migration na nmepewa form ya kuomba passport cas nakumbuka nlipokua mdgo nlikua na passport kama nakumbuka vzur but mzee alipofariki sikuiona tena ila wao sijawaambia.. Nilikufata pm pia kukwambia about kuwa host amd that was my plan na nlijiunga na couchsulfing ile ya kutafuta travellers ila skufanikiwa but sikua serious cas at that time nlikua siko stable but now im not much stable ila i have a quit nice place to live japo nmepanga but is a safe place with gate... Pls dont leave me in this issue ya kuhost... I need only a way to go there.. Nkifkisha 7 million takua ok now kuondoka so kwangu mimi kufkia mwez wa 9 mwaka huu tawwza kuondoka japo ikitokea hata wa 6 kama takua ok taweza but please please usiniache... You have my number in your pm....
Guys tuwe serious sijui wengne wanawaza nn lakin lazma tuwe na effort haya ni mawazo tumepew ila inabdi utafte pesa mwenyew hata kidgo kidgo fanya kazi yyte kwa bidii ilimrad upate nauli na hela ya matumiz ukifka huko... Then ukifka tafta kazi harak hata ongea ma watu w huko wakusaidie waambie matatizo yako ikiwezekana waongopee ilimladi wakusaidie uweze kupata working permit au ulaia... Naamin kama una nia y kwenda utaenda no matter what... Mkuu izzo thanx a lot
 
Mkuu tuombe Mungu tu lakini kwa hii pln itawatoa wengi sana kila mwaka 20 - 30 wageni

Kama kweli mtafanyia kazi Project hii trust me wengi mtaondoka tena wengine kwa kuto gharamika hata sh 100 coz mgeni anatoa dola 100 kila siku asubuhi zaidi ya laki 2 then kama utamfanyia wema mgeni wako na yeye hato sita kukufanyia wema pale utakapo kuwa na ww unaitaji wema wake na yeye

Pia ktk Project zote nilizo leta au zitakzo kuja hakuna hata mtu atakayeombwa hata sh 10 na kama itatokea njooni jukwaani mseme yote ni 100000% free kuanzia kuhost na msaada mwingine wowote kutoka kwangu
 
Peoples of this zone have never been serious on serious matters (just kidding ma people)

Ukweli wengi wanashindwa kwa kukosa maarifa ata kwenye bible imeandikwa. Sijui ni nani ngapi ngapi (watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa).

Yote yaliyosemwa kwa hii thread sio mapya ni mbinu za zamani lakini tatizo hatuna taarifa " tumepungukiwa hayo maarifa""

Old wining tricks in a new fashion to new peoples.

Mpaka dakika hii nimeshapata host wa 2 kutoka Japan na nimeanza leo sa 8-10 jion kucheki kwenye mtandao.

Kuna host wa kulipia na free so unabidi uangalie anapatikana mji gani na kama unaendana na vigezo vyake.

Yote haya nimepata mwanga kupitia huu Uzi. Vijana wa mtaani kwangu hutumia msemo ,NJE ni NJE tu, na huo ndio ukweli.

Narudia tena kuna host wanakupa free meals & accommodation just for you to exchange your culture & learn their culture.

Usimdanganye host wako kuhusu chochote kuanzia background yako mpaka ELIMU ama familia apa ni kwa wale wenye wake then wanasema wapo SINGLE akigundua uaminifu wote kwishney.
 
Yes mkuu Kuna mtu yupo Canada ndiye aliniunganishia deal,ilikua niende CA kwenye co la uvuvi but ikatokea hiyo ya kilimo nikaidaka.By the way sikwenda kama professional,nilikwenda kama unskilled woker.
 
Mkuu tafadhali maelezo kidogo namna ulivyoweza kufika huko ukiwa unskilled laborer. Napazimia sana Ocenia.
Kuna mtu aliniunganishia deal mkuu.
But Kuna jamaa yeye Ni dreva tulienda nae still tupo CA,but mziki wake Ni balaa,maana Ana drive from CA to USA kupeleka viazi na magari ya mizigo.
 
Tatizo letu wabongo hatusaidiani,kuna jamaa tulikua nao Australia walikua kila mwezi wanamchangia mwenzao kuruka mtoni,na niliiona sana kwa wagana na wanaijeria.Ila kuna mbongo yupo australia siku moja namuulizia inshu anajifanya hanijui wakati tulikua tunalala wote geto....nyambafu zake ipo day.
 
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜› mkuu mate yamenitoka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…