Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

MAXCENCE MELLO/INVISIBLE

NGOJA NIKURAHISISHIE KAZI KUHUSU JUKWAA LA DIASPORA (WENGINE MNAWEZA KUMTUMIA PM NA HII POST ILI ATUWEKEE SUBFORUM YETU)

Ndani yake kutakuwa na subforums 3 hivi

1. LIVING/MOVING ABROAD (sasa hiumu ndio kila mtu ataangalia wapi anaishi au anataka kwenda kujilipua etc then ataanzisha thread yake) at later stage tutakuwa na sticky ili maswali yasijirudie rudie

AUSTRALIA & NEW ZELAND

CANADA

EUROPE

FAR EAST & ASIA

MIDDLE EAST

USA

LATIN AMERICA

2. WORKING ABROAD
Hii itakuwa ni self explanatory na kutakuwa na sticky threads mbali mbali za profession hivyo hakutokuwa na haja ya kuchanganya maswali ya kazi sticky zitakuwepo za kazi za Accountants, Electricians, Information Technology, Nurses, Doctors, and other Medical/Healthcare occupations, Plumbers, Police, Teaching, Trucking Electrician

Pia kutakuwa na threads za Job offers

na thread maalum kwa watafutaji kazi yaani jobs wanted

3. THE LOUNGE GENERAL DISCUSSIONS
Hapa kutakuwa na threads za kinachoendelea ulipo kuanzia issue za kuoa ili kupata makaratasi, kesi za kuacha mke, kuficha pesa,meet up, connections za wana diaspora na bila kusahau kutakuwa na special thread ya KURUDI NYUMBANI NA CHALLENGES, diaspora wanauza bidhaa zao, nk
 
Hahaha mkuu umenichekesha sana hapo kwenye "kupigwa zongo lakisambaa, host na mgeni wake wote wakavimbiwa". LOL.

Upo sahihi sana mkuu. Wabongo nuksi sana, host waepuke kabsa show off za kijinga.

-Kaveli-
 
Umeeleweka vizuri sana Kaka Izzo. Binafsi ninaweza sema shukrani kwa yote. Pamoja inawezekana, kwangu yote yanawezekana.
 
Umeeleweka vizuri sana Kaka Izzo. Binafsi ninaweza sema shukrani kwa yote. Pamoja inawezekana, kwangu yote yanawezekana.
MTUMIENI MAXCENCE MELLO/INVISIBLE HUU UJUMBE HATA KWA PM ILI TUPATE JUKWAA A LA DIASPORA NA KULE.KWENYE MAONI NA USHAURI PIA.

NGOJA NIKURAHISISHIE KAZI KUHUSU JUKWAA LA DIASPORA (WENGINE MNAWEZA KUMTUMIA PM NA HII POST ILI ATUWEKEE SUBFORUM YETU)

Ndani yake kutakuwa na subforums 3 hivi

1. LIVING/MOVING ABROAD (sasa hiumu ndio kila mtu ataangalia wapi anaishi au anataka kwenda kujilipua etc then ataanzisha thread yake) at later stage tutakuwa na sticky ili maswali yasijirudie rudie

AUSTRALIA & NEW ZELAND

CANADA

EUROPE

FAR EAST & ASIA

MIDDLE EAST

USA

LATIN AMERICA

2. WORKING ABROAD
Hii itakuwa ni self explanatory na kutakuwa na sticky threads mbali mbali za profession hivyo hakutokuwa na haja ya kuchanganya maswali ya kazi sticky zitakuwepo za kazi za Accountants, Electricians, Information Technology, Nurses, Doctors, and other Medical/Healthcare occupations, Plumbers, Police, Teaching, Trucking Electrician

Pia kutakuwa na threads za Job offers

na thread maalum kwa watafutaji kazi yaani jobs wanted

3. THE LOUNGE GENERAL DISCUSSIONS
Hapa kutakuwa na threads za kinachoendelea ulipo kuanzia issue za kuoa ili kupata makaratasi, kesi za kuacha mke, kuficha pesa,meet up, connections za wana diaspora na bila kusahau kutakuwa na special thread ya KURUDI NYUMBANI NA CHALLENGES, diaspora wanauza bidhaa zao, nk
 
Kwakweli mkuu Izzo na wenzako Mungu awape baraka na Afya njema na kilalakheri awaonyeshe kwani kwa msaada huu tuu no maisha mnatoa kwa ndugu zetu wenye kiu hiyo ya kuhitaji kufanikiwa katika maisha kwa kubadilisha maisha huko n'gambo kwani hapa ndani namba zote zimesomeka bado za kirumi tuuu
 
Sawa mkuu izzo vipi hao wageni wanapenda kufikia mkoa gani hapa bongo?
 
Dah mkuu ni kweli ndugu yangu kwani wengi wanatoka kwenye familia za kistarabu dah kunachangamoto nying sana za kujadili dah natamani kama kungekuwa na platform ambayo tungekuwa kama na semina ya kuelekezana Do en don't

Naunga mkono hoja. Kwa jinsi wabongo tulivyo, it necessitates watakaohost wapewe semina elekezi (on DO's & DONT's) ya shuhuli husika... just a pre-hosting sensitization briefing. Hiyo itasaidia sana watu wasifanye mambo ya ajabu.

-Kaveli-
 
Ndugu naomba huu ujumbe uwatumie PM tafadhali... Tuache tulio tayari ku share tulicho nacho hapa tuendelee.... Usitutie majaribuni au anzisha uzi wako ili uwasisitize huko....

Wabongo wengi tuna shida sana kichwani tangu tumeanza hujachangia kwa kutoa wazo lolote zaidi ya kuomba hilo jukwaa tena unarudia rudia hizo posts hapa mkuu tuache tafadhali njia za kuwafikia mods ni nyingi si lazima utumie uzi huu.
 
Dah mkuu ni kweli ndugu yangu kwani wengi wanatoka kwenye familia za kistarabu dah kunachangamoto nying sana za kujadili dah natamani kama kungekuwa na platform ambayo tungekuwa kama na semina ya kuelekezana Do en don't
Ni jambo jema! Ila kwa vile namba za hosts umetumiwa unazo mi nashauri ikifika wakat uwaunganishie group l whatsap kwa jina la Tanzanins hosts, kisha humo wajadiliane na kupewa training hii kirahisi na sio hapo tu kwa wale wa mkoa mmoja kwenda mbele zaidi na kukutana na kushare nini kifanyike na kwa njia zipi na hata wakat hosting ikiwa inaendelea i mean wageni wakiwa field wadau wanaweza kuendelea kushare infos nini kinaendelea pande zao ikiwemo videos, picha, changamoto wanazokumbana nazo...working together ni kanuni ya kushinda.
 
I like jinsi ulivyohitimisha mkuu "work together ni kanuni ya kushinda". Yes bro, that rings more true.

Working as a TEAM... (Together Everyone Achieves More).

Mimi naamini kuwa watakaobahatika kuhost watacheza kama Pele coz naona mzuka wa wadau upo on top kuhusu hosting.

Nawaombeeni sana ndugu zangu wale mtaopata hiyo fursa, Mwenyezi Mungu awafungulie milango ya kupasua anga.

-Kaveli-
 
umeongea point kubwa sana, ningependa tuyazingatie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…