Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Vigezo si vikubwa ukiona sehemu kuna au wanaweka vigezo ving wanataka kuwanyima kazi tu sasa udereva na Nanny kuwe na vigezo utadhani unafanya kazi WB au WH vya muhimu kujua unachokifanya na kuwa na hofu ya Mungu
Asante sana Kaka. Taarifa nzuri sana hii.
 
Mkuu izzo usinisahau na mie hapo
 
hiv mkuu admision umepata bila kulipia admision fee?, hiki ni kikwazo kingine
Nimepata jamaa yangu. Sikila chuo wanataka admission fee, vyuo vingi havina utaratibu huo japo vingine wanao huo utaratibu. Unaweza kutana na admission fee ya pound 100, ukichenchi na madafu inagusa 350, daaaa naishiwa nguvu ghafla.
 
Mkuu Izzo kwa hii taarfa hiyo kazi nyingine ya nanny inataka jinsia gani na jinsi ya kuomba hizo kazi husika.



Cc Lizy na binti kiziwi njooni kuna taarifa muhimu hapa ya kazi new Zealand
 
Vigezo si vikubwa ukiona sehemu kuna au wanaweka vigezo ving wanataka kuwanyima kazi tu sasa udereva na Nanny kuwe na vigezo utadhani unafanya kazi WB au WH vya muhimu kujua unachokifanya na kuwa na hofu ya Mungu
Mkuu izzo stay blessed naulizia viph Kuna uwezekano wa sponsorship za postgraduate
 
[quote uid=292773 name="izzo" post=20030142]ninazo scholarship za Sweden,Canada,Denmark , Australia ,Austria ,Germany , Finland, NZ lakini nying ni Masters na PhD[/QUOTE]<br />Mkuu Izzo Nami pia naomba hii opportunity. Nilishaulizaga post za Mwanzo huko
 
If you set out to be liked, you would be prepared to compromise on anything at any time, and you would achieve nothing.
 
Bro stop na habari hii, utakuja kujishushia heshima huko ulipo trust me mimi yameshanikuta wabongo si watu utakuja juta kwa kile unachotaka kufanya ...
 
Do not seduce yourself to temporary person, as you may aware that people doesn't have much time to remember that feeling which you were shared nimejoin JF kukwambia tu mkuu you can take it or leave it.
 
If you set out to be liked, you would be prepared to compromise on anything at any time, and you would achieve nothing.
Naamini katika maisha hakuna mtu ambaye hajawahi kupata msaada hata wewe hapo inawezekana ulishawahi kusaidiwa japo hata Kalamu darasani ilipokugomea. Toa ushauri namna ya kuepusha unachoongelea na sio kunyima watu kupata misaada. Kaveli anatamani japo na yeye asome bachelor maana matokeo anayo tayari leo unakuja kumzibia riziki kwa hoja eti ukimsaidia mtu atakuja kukuaibisha au kukusababishia matatizo duuuh aiseeh umezingua kamanda.
Bro stop na habari hii, utakuja kujishushia heshima huko ulipo trust me mimi yameshanikuta wabongo si watu utakuja juta kwa kile unachotaka kufanya ...
Hivi mkuu kila anayepewa msaada lazima aje azingue baada ya kupata alichokuwa anakitafuta? Binadamu wote wangekuwa na mawazo kama yako hivi hata vilema Wajane au watoto yatima wangepata hifadhi?

Haujiulizi mbona kuna waafrika wanasoma kwa scholarship je wafadhili waliozitoa hawana akili? Wao hawaogopi kuaibika mwisho wa kuwasiadia watoto maskini wa afrika?

Do not seduce yourself to temporary person, as you may aware that people doesn't have much time to remember that feeling which you were shared nimejoin JF kukwambia tu mkuu you can take it or leave it.
Kikubwa ungemwambia/mshauri izzo aset mazingira ya kuepusha haya uliyoyaeleza lakini sio kumwambia asimamishe kusaidia watu.
 
Disappointment is a sort of bankruptcy - the bankruptcy of a soul that expends too much in hope and expectation so najua ninachokisema mm namwambia ukweli izzo kuwa makini sana na watu hasa wa kwenye mitandao It is an occupational hazard that anyone who has spent her life learning how to lie eventually becomes bad at telling the truth.
 
Daah umetisha mkuu aya mambo bado sijayajua vizuri ..lakini kwa hapa umenipa mwanga kimtindo ..shukrani sana mkuu ..sasa ni kipi kina anza kati ya visa na passport?
 
Duuuh kumbe nde ivo. .ahaa ngoja nitajaribu
 
We know he know and I know.
Just scroll my past comments you will see some of us we warned them/him about it.

Njia yako is too harsh. I think You're intention is to block this gift. Stop it bro.

it's will be aversesly and its impingement ideas to stop helping people because of the fear of (disappointment).

Kuna watu wanasaidiwa na wanafanya mazuri bro. Take look at them sio uchukue mifano mibaya tu. Nafikiri toa ushauri zitumike njia gani kuepusha hayo maana hata tusiposaidiana hapa tutasaidiana mitaani.

Mbongo mmoja au wawili wasikufanye uwe na hasira hivyo.
 

Kumwambia izzo astop sijui kama utakuwa umesaidia cha msingi ni tufikirie njia ambayo haita affect yeye na pia wale anaotaka kuwasaidia

Nakumbuka kuna issue ya kijana mmoja alikuwa anasoma chuo Uganda wakatokea watu wanataka kumpeleka nje na alivyoona personalities za wale watu wala hakuwa na shaka akaamini amepata msaada kumbe wao nia yao ni kuchukua vijana na kuwapeleka kwenye madanguro, alipelekwa Nairobi akajikuta kwenye jumba la kubwa la hatari na akalazimishwa kufanya uchafu na makahaba huku wakimchukua picha kwa ajili ya biashara zao, Na vijana wengine aliokutana nao huko mmoja alikataa kufanya vile alichinjwa mbele yao. Baada ya muda walimletea picha za watu wanaotaka wachumba huko ulaya achague alipochagua wakaanza process za kumsafirisha hapo ndio alifanikiwa kutoroka.

Alipotoroka ilibidi apelekwe hosptal ya vichaa maana alikuwa kama amechanganyikiwa baada ya kurudiwa na fahamu zake kijana wa watu akaenda kucheki afya yake alijikuta na magonjwa ya aina zote ya zinaa.

Hivi vitu ni tunahitaji kuwa waangalifu na waaminifu pande zote mbili hasa hawa wanaotaka watu wa kuwaunganishia mimi nafikiri ni bora mtu ukafuata taratibu unazoelezwa kupitia ubalozini

Mimi ninachoamini ukimwomba Mungu atakuweka mikono salama na yule atakaye bahatika asimwangushe izzo please.

Pia kumbuka ukiwa mwoga pia hatukaa ufanikiwe maisha wanaofanikiwa ni wale risk takers.
 
Mkuu Daby Never be afraid to raise your voice for honesty and truth and compassion against injustice and lying and greed mimi nasema ukweli izzo you will be disappointed kwenye inssue hii wabongo wanamatatizo sana kwenye inssue ya kufanya kile kitu mlichokipanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…