Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Mkuu, hiyo ni Ulaya siyo hapa kwetu nnapoishi Kwamtogole.

Wazungu wana uwezo wakakukufuatilia kwa miaka, wakiandaa ushahidi.
ha ha haah hatari sana mkuu Richard..,ngoja tujipange kwa kweli tutimke..,vp kwa expert kupractise maana nasikia kwa mfano nchi nyingi za ulaya kuna mlolongo wa procedures hadi upate kibali,hili limekaaje kwa Nordic countries..,binafsi mm ni daktari wa binadamu..
 
Mimi nataka kwenda Denmark. Naomba jinsi ya kuingia na fursa zilizopo huko zisizohitaji elimu.yaani nguvu kazi.
Mkuu kote kugumu huko...now maisha ya ULAYA yamebadilika..baada ya umoja wa inchi za shengen ...kuungana..kwhyo kuna zile inchi ambazo ni masikioni...so now wana fursa ya kutembea inchi zote za shengeni..kama sikosei zipo kama 29 unaingia tu kama chooni...so ..mfano.. Spain...Italy..France.. Greece..Belgium.. Austria..German..Denmark.. Norway..Sweden..Finland.. Holland..Poland...zipo inchi za hovyo hovyo nazo zimo kwenye umoja huo..so watu wa mataifa hayo mabovo nao wamehamia inchi zenye nafuu ya maisha...na wahamiaji nao Bali kadhalika..now maisha magumu mkuu...zipo ulaya ya juu kidogo nafui
 
Mkuu sasa hivi vigezo vya visa vinaangaliwa sana kulingana na status ya nchi kiuchumi...kiulinzi n.k

Hiyo Botswana nchi nyingi wanaitazama kama inayojiweza so wanaona raia wake hawana shida sana za kujilipua...

Ndio maana nchi nyingi zilizoendelea zina visa free kwa mataifa mengi sababu hazina wakimbizi wa kiuchumi...

Mfano Poland iko Europe lkn haina visa free kwa USA unajua why? Sababu ni uchumi coz raia wake wengi wamezamia nje.
Ninakumbuka pia kulikua na Commonwealth visa ambayo ilikua kwa vijana wote chini ya miaka 27 watembelee nchi mama ya Commonwealth kwa miaka miwili hii ilikuwa ni jitihada za kudumisha ushirikiano na kuwapa vijana exposure. Wakenya waliitumia sana hii, baada ya miaka miwili wadada wengi unakuta walishaolewa na wazungu.
 
Ninakumbuka pia kulika na Commonwealth visa ambay ilikua kwa vijana wote chini ya miaka 27 watembelee nchi mama ya Commonwealth kwa miaka miwili hii ilikuwa ni jitihada za kudumisha ushirikiano na kuwapa vijana exposure. Wakenya waliitumia sana hii, baada ya miaka miwili wadada wengi unakuta walishaolewa na wazungu.

Kuna tetesi kwamba baada ya Uingereza kuondoka rasmi kwenye umoja wa Ulaya wataigeukia Jumuiya ya Madola na kuanza kushirikiana na nchi za Jumuiya hiyo ikiwemo Tanzania.

Ni hapo utakapofika huo muda tutafahamu zaidi.
 
Alaf passport. Nilipoona masuala ya cheti cha kuzaliwa cha mzazi.hapo ndo nilichoka.sasa tunafanyaje kuipata.ya 50,000.ila naomba usiwe kama britanicca tu. 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Mkuu [HASHTAG]#britanicca[/HASHTAG] anaogeka kama ukoma siyo?
Mimi nipo Stockholm kwa zaidi ya half decade ntaeleza badae Ni kwa njia gani waweza tumia but briefly Kuna timu ya mpira huku inaitwa Kilimanjaro ipo under Athuman Machupa Na Shekhan Rashid and co wanaweza kusaidia pia kuwaleta wabongo huku. lusungo
 
Kuna tetesi kwamba baada ya Uingereza kuondoka rasmi kwenye umoja wa Ulaya wataigeukia Jumuiya ya Madola na kuanza kushirikiana na nchi za Jumuiya hiyo ikiwemo Tanzania.
Acha utani mkuu.
Ni hapo utakapofika huo muda tutafahamu zaidi.
 
Ninakumbuka pia kulika na Commonwealth visa ambay ilikua kwa vijana wote chini ya miaka 27 watembelee nchi mama ya Commonwealth kwa miaka miwili hii ilikuwa ni jitihada za kudumisha ushirikiano na kuwapa vijana exposure. Wakenya waliitumia sana hii, baada ya miaka miwili wadada wengi unakuta walishaolewa na wazungu.
Siku hizi hamna tena... Ndo maana waingereza hawaitaki tena EU wanaona fursa zao zinakimbia.... Zamani hawakuona coz changamoto za ajira hazikuwepo... Sasa now wanajionea waromania... Wapoland... Waitaly wakijazana kwao....

Ndio maana nikasema vigezo vya uchumi huangaliwa sana maana raia wa Denmark hawezi zamia UK kutafuta maisha coz kwao kuna raha ila sio wabongo... Leo tukipewa visa free entry tutahamia wote.
 
Kuna tetesi kwamba baada ya Uingereza kuondoka rasmi kwenye umoja wa Ulaya wataigeukia Jumuiya ya Madola na kuanza kushirikiana na nchi za Jumuiya hiyo ikiwemo Tanzania.

Ni hapo utakapofika huo muda tutafahamu zaidi.
Kama Lusingo alivyosema hapo juu, wanazingatia sababu za ki-usalama na ki uchumi katika mashirikiano. Ile two year Commonwealth visa iliondolewa kwa nchi za Africa tu, Canada, Australia na South Africa vijana wao bado wana uwezo wa kwenda kukaa nchi yeyote ya Commonwealth kwa miaka miwili.
 
Haha mkuu kama waingereza hawawataki wazungu wenzao wenye nafuu kuliko sisi kiuchumi watatutaka sisi? Zaidi ya kutunyonya kama mkataba wa EPA hamna lingine....
 
Kama Lusingo alivyosema hapo juu, wanazingatia sababu za ki-usalama na ki uchumi katika mashirikiano. Ile two year Commonwealth visa iliondolewa kwa nchi za Africa tu, Canada, Australia na South Africa vijana wao bado wana uwezo wa kwenda kukaa nchi yeyote ya Commonwealth kwa miaka miwili.

Wanataka zaidi wazungu wa kutoka Australia, Canada, New Zealand na South Africa ambao wote hao kwa asili ni wajomba zao.
 
Ninakumbuka pia kulikua na Commonwealth visa ambayo ilikua kwa vijana wote chini ya miaka 27 watembelee nchi mama ya Commonwealth kwa miaka miwili hii ilikuwa ni jitihada za kudumisha ushirikiano na kuwapa vijana exposure. Wakenya waliitumia sana hii, baada ya miaka miwili wadada wengi unakuta walishaolewa na wazungu.
Msaada nina ndoto ya kwensa news land au Finland.
 
Siku hizi hamna tena... Ndo maana waingereza hawaitaki tena EU wanaona fursa zao zinakimbia.... Zamani hawakuona coz changamoto za ajira hazikuwepo... Sasa now wanajionea waromania... Wapoland... Waitaly wakijazana kwao....

Ndio maana nikasema vigezo vya uchumi huangaliwa sana maana raia wa Denmark hawezi zamia UK kutafuta maisha coz kwao kuna raha ila sio wabongo... Leo tukipewa visa free entry tutahamia wote.
Kuna wakati tukiwa wanafunzi walitupa work-permit ya kufanyia kazi, baadae walikuja kuriport faida kubwa kutokana na cheap labour ya wanafunzi, walituondolea work-permit ikawa kupata kazi uwe tu na valid visa. Walianza kuingia wa-Romania na wa Croatia ambayo ndiyo ilikua Bulgaria zamani, kazi ya £5 kwa saa yeye anaipiga kwa £3.50 tena anaomba overtime. Wale jamaa wamepelekana sana ulaya na imepelekea matatizo makubwa ya huduma za msingi kama nyumba, shule na huduma za afya. Shuleni mwalimu ana watoto 10 ambao hawaongei ki-Ingereza ni matatizo. Ninadhani hii ni moja ya sababu ya Uingereza kujiotoa EEU.
 
Wanataka zaidi wazungu wa kutoka Australia, Canada, New Zealand na South Africa ambao wote hao kwa asili ni wajomba zao.
Mkuu wanajua fika hao watu nchi wanazotoka hazina shida za kuwafanya wazamie huko... Hata leo tunapoomba visa huangalia sana economic status yako.... Ukiwa vizuri kiuchumi visa unapata in a minute but ukiwa mbugila utapata visa refusal kila siku!!
 
Back
Top Bottom