Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Nikiwa Uganda chuon kuna rafikiangu alikua bongo nakunijulisha kua kajiunga na hio Bitcoin na kapata mahela kibao, basi kwakua napenda pesa nakwakua nilikua na mwamin sana rafiangu nikamtumia kama laki 3 na nus ili aniunge kutokana na maelezo yake. Kweli baada ya kutuma ile pesa jamaa hakuchelewa akanitumia documents kwenye email address yangu na password kila kitu, nikimaanisha account alinifungulia yeye kwelii nikawa nikiingia kwenye mtandao hela inaonekana inaongezeka lakin ukwel nikwamba hio hela huwez itoa ikaingia kwenye sim yako kama wanavodai wala kumuuzia mtu yeyote kama wanavodai hata ukifanya transaction kwenda kuwauzia wao wenyewe utaambiwa network inasumbua mala lugha kibao mwishowe wanabadilisha mpaka lain za sim. Nahaija nikuta pekeangu nimekuta watu kibao wanalia na hizo biashara za pyramid scheme
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu lusungo asante kwa uzi mzuri,nilikuwa najaribu kupitia maswaibu gani wanayapata wanaopitia libya siliti,kule jangwani hakufai mfano gari ikizingua mnakufa mnakaukia hapo hapo,pia kunyang'anywa pesa ni rahisi,pia wale watu wenye zile gari zinazobeba wanaojilipua(wanaoenda ng'ambo) nasikia ni makatili balaa ukipata tatizo njiani wanakutupa jangwani,pia wanakuwa wamejaa kwenye zile gari kwa hiyo kuna wanaodondoka njiani wanawaacha mfano kwa hili gari hapo chini lilipata hitilafu wote wakafia hapo jangwani
IMG_20170312_230651.jpeg
IMG_20170312_230723.jpeg
IMG_20170312_230759.jpeg
IMG_20170312_230825.jpeg
 
Mkuu lusungo asante kwa uzi mzuri,nilikuwa najaribu kupitia maswaibu gani wanayapata wanaopitia libya siliti,kule jangwani hakufai mfano gari ikizingua mnakufa mnakaukia hapo hapo,pia kunyang'anywa pesa ni rahisi,pia wale watu wenye zile gari zinazobeba wanaojilipua(wanaoenda ng'ambo) nasikia ni makatili balaa ukipata tatizo njiani wanakutupa jangwani,pia wanakuwa wamejaa kwenye zile gari kwa hiyo kuna wanaodondoka njiani wanawaacha mfano kwa hili gari hapo chini lilipata hitilafu wote wakafia hapo jangwani View attachment 480134View attachment 480135View attachment 480136View attachment 480137
Duh mbona wamekaukiana hivyo?
 
Ndio maana tunataka subforum ya diaspora
Hivi kueleza hapa mbinu aliyotumia kupata visa kinazuia nini? Huu ni uzi mahsusi kwa hilo ina maana isubiriwe hiyo forum ya diaspora? Why wabongo tupo hivi?

Nini kinakuzuia kuandika hapa ulichokusudia kukiandika huko sub forum ya diaspora? So watu wanaohitaji huo msaada sasa wasubiri hadi iletwe hiyo sub forum?
 
Mkuu lusungo asante kwa uzi mzuri,nilikuwa najaribu kupitia maswaibu gani wanayapata wanaopitia libya siliti,kule jangwani hakufai mfano gari ikizingua mnakufa mnakaukia hapo hapo,pia kunyang'anywa pesa ni rahisi,pia wale watu wenye zile gari zinazobeba wanaojilipua(wanaoenda ng'ambo) nasikia ni makatili balaa ukipata tatizo njiani wanakutupa jangwani,pia wanakuwa wamejaa kwenye zile gari kwa hiyo kuna wanaodondoka njiani wanawaacha mfano kwa hili gari hapo chini lilipata hitilafu wote wakafia hapo jangwani View attachment 480134View attachment 480135View attachment 480136View attachment 480137
Ina maana izi safari hawakujipanga na vp kuhusu mawasiliano ya Simu hawakubeba spea kama gari ikizingua hawakubeba misosi je???? Ila wamekufa vibaya sana
 
Kimasomo Uholanzi iko vizuri. Shida kubwa ya huko ni kazi zisizo za kitaalamu hazilipi vizuri sana. Pia, ukimaliza masomo unapewa miezi michache kutafuta kazi inayoendana na ulichosomea, ukishindwa unatakiwa kurudi kwenu. Ujerumani nayo ni hivyo hivyo. Kinachotakiwa ni kupambana kutengeneza ndoa na mwenyeji.
Kuhusu scholarships za Uholanzi angalia hapa Find a scholarship — Study in Holland

Australia ni tofauti sana, km unasoma kwa miez18 au zaid ukimaliza unapewa 18months to find a job na visa inakua (bridging visa) so unapata muda wa kusaka job. Most paying jobs ni hospitality mpk $56/hr
 
Denmark ni nchi ya scandinavia... Ni nchi yenye maisha ya raha na amani sana japo ni nchi ndogo... Njia rahisi kwenda huko unaweza kwenda as tourist then ukifika huko unapambana upate wa kumwoa hata kwa makaratasi tu ili upate kibali cha ukaazi.

Mbona husemi ukweli? Kuna ubaguzi wa rangi, kuna ugumu wa lugha, Europe nzima Sasa kuna tension hawataki wageni, pa kufikia wapi, kuowa kwa makakatasi kunataka pesa za kutosha. Nchi nyingine za uralaya kama Uingereza mgeni haruhusiwi kuolewa ama kuowa mpaka ruhusa kutoka immigration, na hata kama ukipata ruhusa, kupata ruhusa ya kuishi inabidi anayekuowa ama unayemuowa lazima awe anafanya kazi na mushahara wake usiwe chine ya £18,000 kwa Mwaka, kwa hiyo kumpata mtu mwenye kipato hicho nawe lazima uwe umejipanga. Lazima usiwe mvivu, Watanzania wanajulikana kwa uvivu. Maisha sasa ni Afrika ndiko kwenye uchumi unakuwa. Kukimbilia sio solution, Europe Wafrika wengi wana kazi haswa wenye kusoma cha chini na lugha shida. Simkatishi yeyote tamaa, mwenye kutaka kujaribu aendelee, lakini ujuwe kuna shida nyingi sana.
 
Hivi kueleza hapa mbinu aliyotumia kupata visa kinazuia nini? Huu ni uzi mahsusi kwa hilo ina maana isubiriwe hiyo forum ya diaspora? Why wabongo tupo hivi?

Nini kinakuzuia kuandika hapa ulichokusudia kukiandika huko sub forum ya diaspora? So watu wanaohitaji huo msaada sasa wasubiri hadi iletwe hiyo sub forum?

Nimegundua wengi hawana taarifa vyema khs chimbo la Oz nitadadavua baadae
 
Mbona husemi ukweli? Kuna ubaguzi wa rangi, kuna ugumu wa lugha, Europe nzima Sasa kuna tension hawataki wageni, pa kufikia wapi, kuowa kwa makakatasi kunataka pesa za kutosha. Nchi nyingine za uralaya kama Uingereza mgeni haruhusiwi kuolewa ama kuowa mpaka ruhusa kutoka immigration, na hata kama ukipata ruhusa, kupata ruhusa ya kuishi inabidi anayekuowa ama unayemuowa lazima awe anafanya kazi na mushahara wake usiwe chine ya £18,000 kwa Mwaka, kwa hiyo kumpata mtu mwenye kipato hicho nawe lazima uwe umejipanga. Lazima usiwe mvivu, Watanzania wanajulikana kwa uvivu. Maisha sasa ni Afrika ndiko kwenye uchumi unakuwa. Kukimbilia sio solution, Europe Wafrika wengi wana kazi haswa wenye kusoma cha chini na lugha shida. Simkatishi yeyote tamaa, mwenye kutaka kujaribu aendelee, lakini ujuwe kuna shida nyingi sana.
Sijakuelewa ktk hicho ulichoniquote sijasema ukweli kuhusu nini!!
 
Back
Top Bottom