Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Dah rip mwamba, ni ngumu kuamini kuwa muandishi wa comment hii hatunae tena duniani.Apart from each and everything ukisafiri bwana unajifunza mambo mengi sana kwenye nchi za watu, nilisafiri Dubai for almost 3 months just to visit and refresh my mind, kitu nilichojifunza kule watu wanafanya kazi kama hawana akili nzuri, watu wanaenda makazini mpaka jumapili, kitu kingine tofauti na matarajio yangu Kule watu wanaishi kwa kujibana sana tofauti na nilivyofikiria kuwa watu wanakula bata sana, Dubai accommodation is very expensive unakuta chumba kimoja wanakaa watu wanne mpaka sita yani humo humo wasichana na wavulana, in short watu wanajinyima ili wa make money, kitu kingine chakula is very cheap n affordable, ukienda Dubai then ukalala na njaa nitakushangaa sana.
Upweke kama ulivyosema ndo challenge kubwa sana, unakuta sometimes unakaa unakumbuka home mpaka unatamani kulia, though kuna access ya wifi that you can do and watch kila kitu kinachoendelea ulimwenguni but still loneliness is there ,marafiki hakuna kabisa, sema ikifika wakati wa kula bata walahi unasahau kama una familiar nyumbani, Dubai is awesome, kuna na malls ya kutisha in short Dubai is the place you should be but sio kwa kuzamia, utaumbuka mchana kweupeee
Kitu kingine wale watu wana sheria kali sana aiseeh, kule hakuna wizi wa kijinga kijinga, waarabu wanapenda sana na kuheshimu dini, ikifika ijumaa tu saa sita kila kitu kinafungwa, maduka yote yanafungwa wanakimbilia msikitini
Sema ndio hivyo kufa ni njia yetu sote, mbele yake nyuma yetu.