Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Apart from each and everything ukisafiri bwana unajifunza mambo mengi sana kwenye nchi za watu, nilisafiri Dubai for almost 3 months just to visit and refresh my mind, kitu nilichojifunza kule watu wanafanya kazi kama hawana akili nzuri, watu wanaenda makazini mpaka jumapili, kitu kingine tofauti na matarajio yangu Kule watu wanaishi kwa kujibana sana tofauti na nilivyofikiria kuwa watu wanakula bata sana, Dubai accommodation is very expensive unakuta chumba kimoja wanakaa watu wanne mpaka sita yani humo humo wasichana na wavulana, in short watu wanajinyima ili wa make money, kitu kingine chakula is very cheap n affordable, ukienda Dubai then ukalala na njaa nitakushangaa sana.

Upweke kama ulivyosema ndo challenge kubwa sana, unakuta sometimes unakaa unakumbuka home mpaka unatamani kulia, though kuna access ya wifi that you can do and watch kila kitu kinachoendelea ulimwenguni but still loneliness is there ,marafiki hakuna kabisa, sema ikifika wakati wa kula bata walahi unasahau kama una familiar nyumbani, Dubai is awesome, kuna na malls ya kutisha in short Dubai is the place you should be but sio kwa kuzamia, utaumbuka mchana kweupeee

Kitu kingine wale watu wana sheria kali sana aiseeh, kule hakuna wizi wa kijinga kijinga, waarabu wanapenda sana na kuheshimu dini, ikifika ijumaa tu saa sita kila kitu kinafungwa, maduka yote yanafungwa wanakimbilia msikitini
Dah rip mwamba, ni ngumu kuamini kuwa muandishi wa comment hii hatunae tena duniani.

Sema ndio hivyo kufa ni njia yetu sote, mbele yake nyuma yetu.
 
Unatakiwa uonyeshe ada ya mwaka mmoja, na $10,000

Ada ya mwaka inategemeana na chuo

Wa TZ bado tunakubalika sana

Kwa Nigeria ni lazima ulipe ada kabla hujawekewa Visa
Hey bro I need ur contact nataka kuja canada through study root naomba ushaur wako nimejipanga kidgo
 
Habari ndugu zangu, matokeo ya green card yametoka namshukulu mungu nimefanikiwa kupata first notification ya Dv lottery kwamba nimeshinda hatua ya awali ya green card, naomba msaada Kwa yeyote anaefaham jinsi inavyojazwa fom ya Ds 260, pia naomba msaada jinsi ya kupata host U.s.
Hongera sana mwanakwetu
 
Wazamiaji waliofanikiwa kufanya IELTS General Training waje watupe mbinu.
Niko nafuatilia ila wanasema Listening na Speaking ndio utata kwa wabongo ila Writing na Reading sio tabu sana.

Mm nimeanza kuprocess ECA ( Educational Credential Assessment) report kupitia WES (World Education Service) na nimepata Reference Number. Kwa wale ambao hamjaanza ni kwamba mm nataka vyeti vyangu nilivyopata hapa TZ vitambulike na pia niweze kuvitumia kupata kazi hivyo nimemtumia WES anifanyie assesment na alinganishe na elimu ya CANADA hapa anacharge $240 kisha atanitumia lakini pia atatuma kwenye Ofisi za Uhamiaji CANADA

Baada ya hapo wanahitaji Language Test na nimechagua International English Language Testing System (IELTS) ambayo iko chini ya British Council na malipo ya mtihani ni TZS 689,000 na form ya maombi inapatikana kupitia www.britishcouncil.or.tz

Kwa mliotumia ya Express Entry CANADA mtujuze

Ila nilichobaini inabidi jitihada binafsi za kusoma na kujifunza kupitia watu mbali mbali youtubeView attachment 2339776
Mkuu ulifanikiwa kiasi gani?
 
Achana na wtu wa mtandaoni utatapeliwa fedha.. zako tafuta taarifa sahihi, fanya mwenyewe process kwa kuomba msaada kwa wenye uzoefu
Hii ni kweli kuna member umu tena ktk uzi huu amenipiga pesa akijidai yy ni agent anaitwa JB mpiana
Uwe makini matapeli wapo
 
Kwenye pita pita zangu
Visit visa
 
Attachments

  • Screenshot_20230729-222326_Instagram.jpg
    Screenshot_20230729-222326_Instagram.jpg
    102.8 KB · Views: 48
  • Screenshot_20230729-202353_Instagram.jpg
    Screenshot_20230729-202353_Instagram.jpg
    121.3 KB · Views: 46
Uzi huu ulinipa chachu ya kuja europe.... Mwaka jana mwez wa tisa niliingia rasmi europe... Nmeshatimiza mwaka na ushee sasa...

Nimekuja kwa njia ya masomo na sina mpango wa kurud bongo kiukwel.
Bongo nilikua na ajira ndio ila sikuona future yoyote . Biashara zangu ilifika hatua serikal ilibadili gafla gia angan ikasababisha biashara zangu zote kuingia doa.. sikuona mwanga.. ila pia nilikua mdau wa uzi huu kitambo sana. So nikaamua niufanyie kaz..

Hii ni ID yangu nyingne mpya ofcourse.. ya zaman naona imepigwa ban ya maisha..
Ila fresh tu.

Cha msing nachoweza sema... Njia ya shule kama una documents zoote muhimu .. bas ni njia nzur sana maana visa unapewa fasta sana.. na msing ni kwamba documents zako ziendane tu... Kwa ulaya haina shida unapewa fasta .. kwa US na canada na Australia inabid uwa convince vzur ili wasione kama utaenda zamia.. ila kwa ulaya.. wala hawaangalii sana. Tena kama unajilipia ada ndo kabisaa...
Hakikisha proof yako ya fanancial ipo vzur.. kama una ndugu wa kukusaidia onyesha bank statements bas fanya hvyo etc... Maana hii ndo kigezo namba 1 cha kupewa au kunyimwa visa. Kama utaona ni nchecheme nchecheme ... Kwamba usije ukaenda ukawa omba omba bure mitaan.

All in all.. lifw huku ni zuri mnoo.. hakuna uonevu wa kijinga. Ubabaishaj na maudh.. husikii watu wameiba mapesaa serikalin wala husikii kelele za ki chawa...

Huku kila kitu utashangaa siku za kwanza.. ni kuzur mnooo..
Nmezaliwa dar nmekulia dar.. naweza sema tandale ya huku kwa huko hata masak haion ndan *****... Ni kuzur kwel..

Mim nasoma.. napiga kaz za kunipa kahela pia ni artist so naingiza pesa kupitia njia hiz.. maana watu wa huku wanathamin sana art...

Uzi tayar.
sahivi uko wapi
 
after submitting preliminary how long it's takes to receive the link to continue with full application of poland working visa?
 
Wazamiaji waliofanikiwa kufanya IELTS General Training waje watupe mbinu.
Niko nafuatilia ila wanasema Listening na Speaking ndio utata kwa wabongo ila Writing na Reading sio tabu sana.

Mm nimeanza kuprocess ECA ( Educational Credential Assessment) report kupitia WES (World Education Service) na nimepata Reference Number. Kwa wale ambao hamjaanza ni kwamba mm nataka vyeti vyangu nilivyopata hapa TZ vitambulike na pia niweze kuvitumia kupata kazi hivyo nimemtumia WES anifanyie assesment na alinganishe na elimu ya CANADA hapa anacharge $240 kisha atanitumia lakini pia atatuma kwenye Ofisi za Uhamiaji CANADA

Baada ya hapo wanahitaji Language Test na nimechagua International English Language Testing System (IELTS) ambayo iko chini ya British Council na malipo ya mtihani ni TZS 689,000 na form ya maombi inapatikana kupitia www.britishcouncil.or.tz

Kwa mliotumia ya Express Entry CANADA mtujuze

Ila nilichobaini inabidi jitihada binafsi za kusoma na kujifunza kupitia watu mbali mbali youtubeView attachment 2339776

Kwaiyo izo test unafanya kwa video au ni njia gani hasa
 
Back
Top Bottom