Ushauri: Mawazo ya biashara kwa mtaji wa Tsh. Milioni 2


Unataka kulipwa kamishen yote mkuu [emoji28]
 
Vip kuhusu Lipa namba nayo

Lipa ilkua ina pesa zaman ikiwa ndio inatoka,sasahv haina maslah sababu makato yanakarbiana na kutoa kawaida

Mfano zaman ilkua kutoa kwa lipa 50000 ada ilkua 600 sasahv n 1700 inakuwa ngumu kugawana na mteja

Wamepandsha fee kuwabana mawakala baada ya kujua kuna mawakala wasio waaminifu kama mm wanafanya udanganyifu huu

Kifupi imekua na vikwazo vingi sana hasa tigo ambapo max kutoa kwa siku n 500,000

Lipa imepoteza mvuto

Zaman kabla mambo hayajachanganyana ilkua kukunja 20,30,50 kwa siku n kawaida tu

Sina hakika kama ile neema inaweza kurud tena [emoji28]

Wateja wa laki nilkua nawalamba 2500 had 3000
 
Kwel we ni gwiji
 
Mjuzi wa kilimo cha nyuki, kwanini usifanye kilimo hiko?
Inatakiwa kuwa na Kaz Inayoweza kuzalisha Pesa ya kujikim maana nkisema nianze saiz ad kuanza kupata maazao yake ni kuanzia miez minne na kukaaa nyumban kusibil miez minne ntakukuta nikiangukia mule mule kuwa tegemez mpango wa Maswala ya nyuki nnao ila natafta kitu cha kuniwezesha kujikim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…