Ushauri: Mawazo ya biashara kwa mtaji wa Tsh. Milioni 2

Mtu wa kati kwenye kilimo niliiwaza pia ila kwa Sasa nmechelewa labda msimu ujao maazao yamepanda na unajua naweza kununua saiz kufika sokon unakuta yameshuka bei tena
Huko ndiyo kwenye hela sasa mdogo wangu kwa mtaji wa 2m ulio nao

Angalia jinsi ya kuizungusha hiyo hela sSa hivi isipotee ikifika msimu ingia shamba kawe mtu wa kati
 
Kwasasa nipo Songea ila nimemaliza Chuo juzi Kat hapa udsm pale ila Nia yangu ni kuanza hrkt za maisha Dar
Sawa ila biashara inayolipa kwa sasa ni biashara yamazao ndio utatoka ukipatia sehemu nzuri yenye rotuba na mahindi , maharage yanalipa sana hata karoti, ila mahindi hutofilisika
 
Sasa unataka kwenda dar ukifanikiwa, utarudi kufanya kilimo hiko na kuachana na biashara Yako.
 
Jaribu Hii Boss naweza kukusaidia
 
Kwa mtaji huo, akulipe laki tatu?

Umenifanya nitilie shaka hata mchango wako kwenye mada hii [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…