Pre GE2025 Ushauri: Mbowe ajiuzulu mara moja kama Mwenyekiti wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mbowe alikosea sana. Unatoka mahabusu unakimbilia Ikulu. Aondoke tu hajui siasa zinataka Nini.
 

1. Ungekuwa sahihi kama tusingelikoroga mbeya.

2. Hatumjui adui yetu.

3. Hatuna msimamo, falsafa haijulikani.

4. Tunahitaji kwenda shule:

Mbowe, Lissu wafundeni wafuasi Falsafa ya Chama

5. Misimamo yetu haiwezi kuwa Kwa ku bet!
 
Huu ni utumbo mpana...
Wewe ueleze umewahi kukifanyia Nini chama chako au ndohii kudai watu wajiuzulu? Hapo siajabu huna hata uanachama 🤬 Bogus kabisa

Nakuupuuza tu. Mimi ni mwanachama wa CHADEMA tangu 1998. Ofisi yetu ikiwa jamatini Kisutu. Kama huna hoja Kaa kimya. Unataka nikuorodheshee niliyoyafanya?. Nikuorodheshee Kama nani?
 
Wewe chawa wa Mbowe unaongea nini? Anza kufuta hiyo avator kwanza

Huoni aibu kuniita chawa? Mimi simuonei mtu aibu, naita koleo koleo sio Kijiko kikubwa. Hiyo avator nimeweka Kama symbol ya CHADEMA na heshima yangu kwa Mbowe, ila hainizuii kuongea ukweli.
 
YUPO na atakuwepo kama ni kuji huzuru waanze kina katelefone kwanza wametudanganya si mala Moja mtoa maada ondoa hoja zako mfu tupo busy kuusaka uhuru wa pili kutoka Kwa mkoloni mweusi CCM

Mimi naongelea CHADEMA mkuu. Sio watu wa serikalini. Mbowe hawezi kuaminika Tena. Katuingiza chaka halafu anadai anajutia kumuamini Samiah.
 
Kwamba Mo ajiuzulu uenyekiti ndani ya kampuni ya METL?

Napita tu...
 
Huwa nashangaa sana ..eti mbowe ni kiongozi wa chama cha siasa ambaye watu wanamtegemea[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]

Kwenye hata Mimi simuungi mkono. Ni Bora asinge admit kujuta. Anadeclare hadharani kwamba Samiah kamzidi ujanja.
 
Leo machawa wa mbowe wanamnanga mwenyekiti wao? ni jambo la kushangaza Mimi naendelea kuwaambia msipende kuamini hivi vyama mnapoteza muda wenu hakuna Chama chenye nia ya dhati kukomboa hapo ulipo wanawatumieni kutimiza maslahi yao

Unajua maana ya chawa?. Elewa maana ya chawa ndio uache kuropoka.
 

Msimamo wangu hauta yumba. Hatuwezi Tena kumwamini Mbowe. Kama anakiri kaingizwa kingi na Samiah kwa Jambo tulilo mshtua itakuwaje huko mbele.
 

Sawa. Ila hoja yangu Ina mantiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…