Pre GE2025 Ushauri: Mbowe ajiuzulu mara moja kama Mwenyekiti wa CHADEMA

Pre GE2025 Ushauri: Mbowe ajiuzulu mara moja kama Mwenyekiti wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sema hivi utaeleweka vizuri
Afrika hakuna utamaduni wa kujiuzulu ili kuwajibika kwa yale uliyoyavurunda
Just as simple as that
Binafsi napendekeza mwenyekiti wa ccm ajiuzulu nafasi moja , achague kuwa Rais au mwenyekiti wa chama inawezekana vipi tumikia nafasi zote mbili kwamba ccm hakina watu wa kushika nafasi ya uwenyekiti, ndo mambo hayaendi
 
Mbowe ana laana ya shujaa JPM
Huo ndiyo ukweli ...hata samia pia ni hivyo hivyo amejaa laana na abduli mzawa watumbo lake kalaani wa na kizazi chote watamwita mlaaniwa.....na laana ya samia itathibiti zaidi kama atang'ang'ania kugombea 2025 na wakisha kuiba kura basi uovu atakao tenda juu ya hii nchi wote mtashangaa
 
Hakuna mkuu, kuna mambo ayahitaji mihemuko, safari ni mwendo au atua moja kwenda nyingine , Maridhiano ilikua sehem ya mwendo , so iyo phase imeisha twende na phase mpya sasa , Uongonzi wa Chadema mpaka sasa wapo sawa kabisa
Mara zote wajanja wakibananishwa huwa wanatumia buying time tactics
Kama wale wa upande wa pili wakishindwa kujua hayo it means kichwani kumepwaya
 
Kuna mtu hapa a anakubali na kuamini kabsaaa kuwa Mbowe anamchukia Samia?
Kazi kwelikweli
Nje ya siasa hakuna kuchukiana, chuki zipo upande wa siasa, ccm wanaona watz wote ni mabwege tukutane 24 ili tueshimiane, ila tukija kitaa au kijamii haina shida
 
Umeombwa na nani ushauri? Mtu yeyote timamu hatoi ushauri hadi aombwe.

Pili anzisha chama chako ili ufanye hayo unayodhani ndiyo sahihi. Kwa nini mambo ya chama kingine yakuume?

Unanireply Mimi au mwingine sijakuelewa. Mimi ni mwanachama wa CHADEMA tangu 1998, nashangaa wewe wakuja unataka nikae kimya. Usipende kudandia gari kwa mbele.
 
Binafsi napendekeza mwenyekiti wa ccm ajiuzulu nafasi moja , achague kuwa Rais au mwenyekiti wa chama inawezekana vipi tumikia nafasi zote mbili kwamba ccm hakina watu wa kushika nafasi ya uwenyekiti, ndo mambo hayaendi
Hiyo ilitengenezwa kama Kifalme falme hivi
Yaani Mwenyekiti wa Chama ndio huyo huyo Mkuu wa Nchi
Kwahiyo ndani ya Chama hakuna mwenye ubavu wa kumpinga
🤣 😂
 
Mwenyeki wa chama hajiteuwi mwenyewe, anachaguliwa pitia vikao halali vya chama, kwa kujinadi na kuomba kura ,siku ambapo hatapigiwa kura za kutosha basi atakoma kuwa mwenyekiti , mbona kitu simple tu

Umekosea njia, Mimi naongelea uwajibikaji sio kuchaguliwa. Naomba Mbowe awajibike kwa kukiri kukiingiza chama kwenye ujinga ambao baadae hukuzaa matunda.
 
Nje ya siasa hakuna kuchukiana, chuki zipo upande wa siasa, ccm wanaona watz wote ni mabwege tukutane 24 ili tueshimiane, ila tukija kitaa au kijamii haina shida
Nje ya siasa wapi? Huko huko unapopaita nje ya siasa ,we wenzako wanapatumia kisiasa kupitisha mambo yao.

Siasa ni mfumo wa jumla wa maisha yetu mkuu. Wewe unafikiri siasa ni Katiba tu au matamko ya kichama?
 
Mbowe Ni mwenyekiti makini

Sikupingi, kafanya mengi na namheshimu sana. Ila kitendo Cha yeye kukiri hadharani alisingizwa Chaka na Samiah of all the people, namuona Kama umakini hana Tena. Akae pembeni, tupate kiongozi amabaye hatarubiniwa na sauti nzuri ya kinafiki ya hiyo Samiah.
 
Back
Top Bottom