Ushauri: Mdee na wenzake wafungue shauri waombe Mahakama Kuu izuie jaribio la kuwafuta Ubunge

Wakienda mahakamani itakuwa tamu sn maana mambo yote yatawekwa wazi namna walivyo gushi
 
Waende CCM hakuna namna
 
Halima si mjinga kiasi hicho,hawezi kwenda Mahakamani anajua akienda huko atawaingiza Mkurugenzi wa Tume ya uchaguzi na Bunge mahali pagumu.
Tume na bunge hawajawafukiza uanachama
Wanachoenda kushtaki ni kupinga kufukuzwa uanachama kinyume cha sheria na katiba ya Chadema

Wamefoji matokeo ya kura hadi wakajisahahu kanda nne hazipo kwenye matokeo yaliyotangazwa!!! Huo ni uhuni
 
Kesi ya jambo hili mahakamani lazima itahusisha maswala ya jinsi uteuzi ulivyofanyika.
 
Hawa waliteliwa kwa vikao halali, kwa barua ya CDM, na wakaapishwa, waende mahakamani kesho kwa hati ya dharura!
Naunga mkono hoja, baadhi yao, akiwemo Halima Mdee na Esta Bulaya, hawa ni wanasiasa very good assets kisiasa, Chadema turned these assets into liabilities. Kama hawakutendewa haki, kiukweli kabisa, karma itaitafuna Chadema!.
Karibu mitaa hii A Kangaroo Court Moja, Kutoa Hukumu Kikangaroo, Kisha Kikao cha Rufaa, Kikiyabariki Maamuzi yale ya Kikangaroo. Je, nacho ni A Kangaroo?, dhulma za aina hii, husababisha karma zisizo za lazima kabisa kwa Chadema kama chama, na kwa individual players!.
P.
 
Naunga mkono hoja, baadhi yao, akiwemo Halima Mdee na Esta Bulaya, hawa ni wanasiasa very good assets kisiasa, Chadema turned these assets into liabilities. Kama hawakutendewa haki, kiukweli kabisa, karma itaitafuna Chadema!.
Karibu mitaa hii A Kangaroo Court Moja, Kutoa Hukumu Kikangaroo, Kisha Kikao cha Rufaa, Kikiyabariki Maamuzi yale ya Kikangaroo. Je, nacho ni A Kangaroo?, dhulma za aina hii, husababisha karma zisizo za lazima kabisa kwa Chadema kama chama, na kwa individual players!.
P.
 
Tume na bunge hawajawafukiza uanachama
Wanachoenda kushtaki ni kupinga kufukuzwa uanachama kinyume cha sheria na katiba ya Chadema

Wamefoji matokeo ya kura hadi wakajisahahu kanda nne hazipo kwenye matokeo yaliyotangazwa!!! Huo ni uhuni
unaweza kueleza jinsi walivyofukuzwa kinyume na sheria
 
Mimi naona waende tu mahakamani ili ukweli ujulikane nani yupo sahihi kati ya CHADEMA na wakina Halima. Mimi nimewamiss sana Kibatala, Mtobesya, Mallya, Kihwelo, Matata, Nkungu na mawakili wenzao. Toka kesi ya Mbowe iishe nikiingia mitandaoni sioni zile amsha amsha za mahojiano ya hao mawakili na mashahidi wa upande wa serikali.

Kwa hiyo wakina Halima wakienda mahakamani walau tutakuwa na kitu cha kujifunza kwenye mambo ya "forgery" kama ilivyokuwa kwenye ugaidi mpaka nikajua baadhi ya vifungu vya GPO.
 
Kabla ya kuandika shirikisha kidogo ubongo wako

wao hawaendi Mahakamani kupinga kufukuzwa ubunge bali wanakwenda mahakamani kupinga utaratibu uliotumika kufukuzwa uanachama

kwa hivyo mambo ya ubunge au tume hayatahusika.

mahakama itajikita ktk hoja ya msingi kwamba Je; CHADEMA imezingatia utaratibu wa kuwafukuza uanachama?
 
Wanasiasa Malaya Malaya...Wanaogushi Nyaraka na kununulika kusaliti Chama Chao..wanawezaje kuwa Good Assets!???

Wamepata wanachostahili....
 
😀Hao mawakili wote walimshindwa zitto kabwe alipofukuzwa kihuni
 
Waende mahakamani TU,
Mimi Nina Imani na Kibatala na nduguze.
 
Membe alivyofukuzwa uanachama CCM Mbona hakwenda mahakamani?
 
Wanasiasa Malaya Malaya...Wanaogushi Nyaraka na kununulika kusaliti Chama Chao..wanawezaje kuwa Good Assets!???

Wamepata wanachostahili....
Huyu jamaa uliemquote Nina mdaharau sana.
Anaishi kwa kurukia vijihoja na kujaribu kupindua ukweli.
Waende mahakamani TU,yupo Kibatala na timu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…