Ushauri: Mdee na wenzake wafungue shauri waombe Mahakama Kuu izuie jaribio la kuwafuta Ubunge

Ushauri: Mdee na wenzake wafungue shauri waombe Mahakama Kuu izuie jaribio la kuwafuta Ubunge

Aisee huoni hata aibu!
Kwa yote yaliyotokea mpk kupata huo ubunge,bado unakuja hapa kuongea ,eti waliteuliwa kwa barua halali?!![emoji848][emoji848]aisee mbinguni mbali sana!
Km watu wazima na akili zenu mnaweza andika ujinga wa hivi
Huyu chinembe anafanya makusudi. Anajua sana kwamba analoandika siyo sahihi.
 
Kama Hangaya atabaliki kufukuzwa kwao basi ndio imeisha hiyo ila kama kinyume chake basi kesi itaenda mahakamani mpaka 2025 ndio uamuzi utatolewa wa kuwavua ubunge.
 
Kama Hangaya atabaliki kufukuzwa kwao basi ndio imeisha hiyo ila kama kinyume chake basi kesi itaenda mahakamani mpaka 2025 ndio uamuzi utatolewa wa kuwavua ubunge.
Ameisha bariki. Unadhani hakuongelea hili alipokutana na Mbowe?

Amandla...
 
Nitaamini wamefukuzwa mpaka watakapoondolewa bungeni, kwasasa naamini hawa ni Wabunge mpaka 2025.
Popote mlipo kina Ester na wenzenu 17,pambaneni mpaka damu ya mwisho.
 
Tena hapo kwa Husna, waliocheza huu mchezo walikosea kuficha nyayo zao. Hili liliwaumbua. Lakini kuna watu wana akili ndogo hawawezi hata kufikirisha bongo zao.

Cc chinembe YEHODAYA
Ukweli pamoja na kwamba mimi sijawahi kua na kadi ya chama chochote cha siasa but naomba Mungu ccm ije IFE tu, inaharibu mno uwezo wa kufikiri wa vijana kwa wazee wengi; imagine kitu kidogo kama hicho mtu bado hawezi kuona, inafikirisha sana. Why haoni, ni kwasababu ya mahaba yaliopitiliza ya chama hiki kikongwe
 
Mchakato mzima wa uchaguzi uliingiliwa kwa madai yao na huo ndio wanauita "uhuni".
Ulitegemea wasiseme chochote? Hao ni wanasiasa lazima waseme kitu. Hata kwenye ngumi, mtu anapigwa KO ya wazi kabisa, lakini akihojiwa lazima aseme kitu.
 
Huwezi kufungua shauri mahakamani kama huna sababu za msingi, je hawakusikilizwa? Je Quorum haikutimia? je katiba na kanuni za chama hazikufuatwa? Kama ni hasira za kufukuzwa zinamuongoza kwenda mahakamani atashindwa mapema sana.
subirini muone nasema mtashangazwa na mengi tumsubiri spika atasemaje haya mengine ni mbwembwe tu za humu mtandaoni.
 
Kamati kuu haijawai kukaa kikao zaid ya jana
Mkuu, kamati kuu ilikaa kikao cha kuwafukuza uanachama. Waliitwa kwenye hicho kikao lakini hawakuhudhuria. Baada ya kuona wamefukuzwa, walikata rufaa Baraza kuu la chama chao ambalo ndilo hili limekaa jana na kutolea maamuzi ya hiyo rufaa. Kamati kuu ilishakaa ndugu, labda wakati huo hukuwa na interest za hili saga.

Kule tu kukataa kufika kwenye kamati kuu baada ya kuitwa, tayari walifanya kosa. Walitegemea kweli Baraza kuu la jana liwaone tofauti na kamati kuu ilihali wajumbe wengine wa Baraza kuu ni wale wale wa kamati kuu!?

Rudi nyuma upate information vizuri za hili jambo.
 
Mkuu Ila Mimi Nina amini Kwamba Decision za Cc pamoja na BK la Cdm Zitakuwa zimejaa Irregularities Kibao. Take it

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hata kama zitakua zimejaa irregularities, hazitatosha kubadili uamuzi wa baraza kuu, wala hazitaweza kujenga foundation mahakamani ya kubadili maamuzi hayo.
 
Tatizo la panya road kama wewe hamjui maana ya katiba ya chama.
Katiba ya Chadema lazima ifanyiwe marekebisho, Ina matatizo makubwa, tunahitaji katiba mpya ya Chadema kwanza, kabla ya katiba ya nchi, hiki chama kina uonevu sana, na kina unyanyasaji wa kijinsia
 
Mkuu Ila Mimi Nina amini Kwamba Decision za Cc pamoja na BK la Cdm Zitakuwa zimejaa Irregularities Kibao. Take it

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kura nyingi zilielekea upande wa akina Mdee, ila zikageuzwa, za kuwaunga mkono akina Mdee zikageuzwa zikawa za kuwapinga
 
Tulia Hawezi Maana atapokea maelekezo Kutoka Kwa Aliempa Uspika

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Aliyempa uspika na hata yeye Tulia, walikuwepo wakati wa kuchezwa faulo hii mwanzoni. Kama hata baada ya kuingia Awamu hii ya 6 hawakuona hilo tatizo na wakaendelea kubariki, itakuwaje leo waone? Katika vitu vya mwanzo kabisa ambavyo Tulia alipopata uspika alitakiwa kufanya ni hili la Covid 19 na hata huyo aliyempa uspika alipoingia tu Awamu ya 6, hili lilikua ni miongoni mwa jambo la ku deal nalo.
 
Kama Hangaya atabaliki kufukuzwa kwao basi ndio imeisha hiyo ila kama kinyume chake basi kesi itaenda mahakamani mpaka 2025 ndio uamuzi utatolewa wa kuwavua ubunge.
Kabla ya mkutano huu wa Baraza kuu la CHADEMA jana, Mbowe alikua Ikulu ya DSM ambako aliitwa na Hangaya. Unataka kusema hawakuongelea hili la Covid 19? Think big mkuu.....
 
Back
Top Bottom