Uchaguzi 2020 Ushauri: Mgombea Urais kupitia CCM, zungumzia Tanzania ya Viwanda ulivyoifanikisha ili upate kura za kutosha

Tugambile amazima bosco abantu mbashasha muno tibaina ekyokulya. Oyagale power
 
Mkuu viwanda vina maana pana sana kuliko ile ya jumla ya mitandaoni.

Viwanda vinagusa angle nyingi. Kuna masuala ya ufundi wa veta kuna masuala ya ufundi wa kila aina wote hao ni kundi la viwanda.

Ni vigumu kuweza kuchambua faida ya Kiwanis kimoja mpaka kingine. Cha muhimu ni kutambua uwepo wa fursa na kuzitumia kuliko kusubiri matokeo ya kufanikiwa au kushindwa kwa sera nzima.

Viwanda ni mchakato wa miaka na miaka, jiulize mpaka China imefika ilipofika imewachukua miaka mingapi ndio utaielewa dhana ya nchi ya viwanda.
 
Mkuu samahani, kiwanda cha kutengeneza mita kiko wapi na kinaitwaje?
 
Viko wapi mkuu, mimi niko huku kwetu nanjilinj sijaona kiwanda
Uwe unasoma na magazeti sio kukaa unakaririshwa na watu. Au unapiga simu wizara ya viwanda kuulizia.
 

Attachments

  • Screenshot_20200904-092218.png
    66.5 KB · Views: 1
Kwa mantiki ili tufikie uchumi waviwanda inatakiwa kuwa sera yakitaifa?. Je huoni kama kunaumuhim raisi aliyeko madarakani kama alifanikiwa kurudi kuanzisha sera yakitaifa kila mwananchi amfaham muelekeo wanchi ndani yamiaka 40 ijayo kuwa Tanzania itakua nchi ya viwanda?.
 
Uwe unasoma na magazeti sio kukaa unakaririshwa na watu. Au unapiga simu wizara ya viwanda kuulizia.
Mkuu acha wewe unaesoma magazeti nakuamini kila kilichoandikwa, mimi nasoma Kisha nachambua kipi sahihi kipi kisicho sahihi .
 
Nafikiri hufatilii vizuri hotuba za JPM, ukifatilia vizuri utaelewa
 
Kama aikchaguliwa tena atakua najumla ya miaka 10 tu yakutuongoza Watanzania. Je, kwa adhima yake unaona atafanikisha nchi yetu kuwa ya viwanda (kwa ujumla)?
Hata atakapokuwa ameondoka madarakani bado nchi itakuwa kwenye michakato ya kuwa nchi iliyobobea katika viwanda.

Anachoendelea kukifanya ni kuimarisha miundo mbinu ya kimawasiliano ili hao wenye ubunifu na maarifa waweze kuraisishiwa kazi ya ujenzi wa viwanda vipya.

Tunakwenda kuishi maisha halisi ya uzalishaji ambayo ni tofauti na yale ya ujanja ujanja wa ununuzi na uuzaji wa vitu vilivyozalishwa na mataifa mengine.
 
Nafikiri hufatilii vizuri hotuba za JPM, ukifatilia vizuri utaelewa
Hakuna nisichofatilia mkuu, hotuba zake zote licha yakuzifatilia pia ilani ya chama chamapinduzi nimeisoma. Sasa nakuuuliza umemsikia wapi mtukufu akisisitiza anahitaji Tanzania ya viwanda katika utawala wake wa 2020/2025 kama atachaguliwa?.
 
Mkuu acha wewe unaesoma magazeti nakuamini kila kilichoandikwa, mimi nasoma Kisha nachambua kipi sahihi kipi kisicho sahihi .
Sasa kama unaweza kuchambua na kujua unashindwa vipi kujua kuwa kuna viwanda vingi tu vimeanzishwa awamu ya tano? Maana tiles,plastics,sabuni za unga wire za umeme n.k ,vinatengenezwa hapa Tanzania. Na hivi viwanda vimejengwa hivi karibuni.
 
Umeuliza jibu, ameproof failure 5 yrs anapambana na upinzani anapambana na Mbowe badala ya kupambana na umasikini we je ndo tulichomtuma hicho. Je, Mbowe ndio shida za Watz ndio viwanda? October akajiajiri mkataba wake umeisha.
Mbowe mwenyewe hajiwezi, alafu umpambanishe na JPM, c upuuzi huo
 
Muelekeo wa kitaifa upo na umekuwa ukielezewa mara kwa mara na mawaziri pamoja na wasaidizi wao.

Hata maonyesho mbalimbali ya kibiashara yanatumika kuelezea ni wapi tunapotaka kwenda.

Hata msimamo wa wizara ya kilimo wa kumlinda mkulima na mazao yake ni sehemu tu ya muelekeo mpya kitaifa.
 
Maisha halisi ya uzalishaji niyapi mkuu wakati sekta kuu yauzalishaji katika viwanda ni kilimo, nabajeti yakilimo kwa miaka minne iliyopita haijatekelezwa hata mwaka mmoja wa bajeti japo kwa asilimia 50.?.
 
Hakuna nisichofatilia mkuu, hotuba zake zote licha yakuzifatilia pia ilani ya chama chamapinduzi nimeisoma. Sasa nakuuuliza umemsikia wapi mtukufu akisisitiza anahitaji Tanzania ya viwanda katika utawala wake wa 2020/2025 kama atachaguliwa?.
Sera ni kitu endelevu, na ndio maana kuwa taifa la viwanda ni mpango mkakati wa kulifanya taifa lifikie uchumi wa kati 2025. Sio ishu ya miaka mitano tu. Pole sababu mnadanganywa na watsap group za pingapinga group.
 
Unaposema sekta ya viwanda haijaendelea unatakiwa uje na vielelezo, cio unaongea tu kam upo stendi
 
Mkuu Tafadhari naomba uwe muwazi nauweke ukada pembeni, maana angalau wewe naona una substance kidogo ukilinganisha na Lumumba wengine, naomba unieleze ndani yamiaka mitano yamtuku niwapi mkulima kanufaika na kilimo, wakati vitu kama Korosho,pamba,ufuta, dengu,mpunga,katani,mahindi,maharage,choroko, bei zake zimeanguka nawakulima kila siku wanalia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…