Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu viwanda vina maana pana sana kuliko ile ya jumla ya mitandaoni.Viwanda vulivyoanzishwa utawala huu vimesaidia vipi kupunguza tatizo la ajira?.
Je mbona sasa hatusikii kwenye kampeni akinadi alivyoifanikisha nchi ya viwanda kama ulivyokua 2015?.
katika suala laviwanda ndani yamiaka hii miatano amefaulu au amefeli?.
Je kama kafeli kipindi ananadi sera yaviwanda ilikua nikutafuta tu njia yakwekda Ikulu?.
kama kafaulu kwa nini hazungumzia mafanikio yaviwanda nyakati hizi kama ilivyo katika ndege au barabara?.
Mkuu samahani, kiwanda cha kutengeneza mita kiko wapi na kinaitwaje?Acha kuwa na akili zilizoganda. Ulifikiri kuwa nchi ya viwanda ndio serikali ijenge kiwanda kila kata. Hii ni sera endelevu ambapo wawekezaji wanaopewa kipaumbele na mazingira rafiki ili wajenge viwanda. Hapo zamani Tanesco walikuwa wanaagiza mita toka nje sasa hivi zinatengezwa hapa Tanzania. Huoni kuna mabadiliko?
The hungry people , the suffering people ,civil servants all of them they want to vote for opposition than bosco , mshuma.Huna impact yoyote, anakubalika anajinadi mwenyewe.
Nadhani hoja ya huyu mtu bado ujajibu!! Kusema sio dhambi au kadanganya?Huna impact yoyote, anakubalika anajinadi mwenyewe.
Uwe unasoma na magazeti sio kukaa unakaririshwa na watu. Au unapiga simu wizara ya viwanda kuulizia.Viko wapi mkuu, mimi niko huku kwetu nanjilinj sijaona kiwanda
Kwa mantiki ili tufikie uchumi waviwanda inatakiwa kuwa sera yakitaifa?. Je huoni kama kunaumuhim raisi aliyeko madarakani kama alifanikiwa kurudi kuanzisha sera yakitaifa kila mwananchi amfaham muelekeo wanchi ndani yamiaka 40 ijayo kuwa Tanzania itakua nchi ya viwanda?.Mkuu viwanda vina maana pana sana kuliko ile ya jumla ya mitandaoni.
Viwanda vinagusa angle nyingi. Kuna masuala ya ufundi wa veta kuna masuala ya ufundi wa kila aina wote hao ni kundi la viwanda.
Ni vigumu kuweza kuchambua faida ya Kiwanis kimoja mpaka kingine. Cha muhimu ni kutambua uwepo wa fursa na kuzitumia kuliko kusubiri matokeo ya kufanikiwa au kushindwa kwa sera nzima.
Viwanda ni mchakato wa miaka na miaka, jiulize mpaka China imefika ilipofika imewachukua miaka mingapi ndio utaielewa dhana ya nchi ya viwanda.
Mkuu acha wewe unaesoma magazeti nakuamini kila kilichoandikwa, mimi nasoma Kisha nachambua kipi sahihi kipi kisicho sahihi .Uwe unasoma na magazeti sio kukaa unakaririshwa na watu. Au unapiga simu wizara ya viwanda kuulizia.
Hoja gani? Mambo yanajulikana au wewe upo Congo?Nadhani hoja ya huyu mtu bado ujajibu!! Kusema sio dhambi au kadanganya?
Nafikiri hufatilii vizuri hotuba za JPM, ukifatilia vizuri utaelewaPombe Magufuli nakushauri usisahau kuwaeleza wananchi kuwa Tanzania ya viwanda kama umeifanikisha, maana 2015 ulipigiwa kura na watu wengi kwa namna ulivyonadi sera zako, hasa iliyonivutia mimi mpaka nikakupa kura ni Tanzania kuigeuza nchi ya viwanda.
Sasa hivi sisikii ukinadi umeifanikisha vipi nchi yetu kuwa ya viwanda, kunaviwanda vipya vingapi, kama viwanda vipya vimeongezeka naamini navijana wengi watakuwa wameajiriwa huko, waeleze watanzania namna ulivyoigeuza nchi yetu kuwa ya viwanda. Maana kwa sasa tangu kampeni zianze sijasikia hata kwa bahati mbaya ukizungumzia unahitaji nchi ya viwanda.
Pia ningekushauri ujikite kwenye hoja mara nyingi, ueleze wananchi ni namna gani ndege 11 zilivyobadili uchumi wa mwananchi mmoja mmoja, Watanzania niwatu wakarimu na niwaelewa naamini watakuelewa ukiwambia nimamna gani umepunguzwa umasikini wao.
Mwisho tunahitaji nchi ya viwanda, Tanzania ya Magufuli tunahitaji nchi ya viwanda kwelikweli.
Hata atakapokuwa ameondoka madarakani bado nchi itakuwa kwenye michakato ya kuwa nchi iliyobobea katika viwanda.Kama aikchaguliwa tena atakua najumla ya miaka 10 tu yakutuongoza Watanzania. Je, kwa adhima yake unaona atafanikisha nchi yetu kuwa ya viwanda (kwa ujumla)?
Hakuna nisichofatilia mkuu, hotuba zake zote licha yakuzifatilia pia ilani ya chama chamapinduzi nimeisoma. Sasa nakuuuliza umemsikia wapi mtukufu akisisitiza anahitaji Tanzania ya viwanda katika utawala wake wa 2020/2025 kama atachaguliwa?.Nafikiri hufatilii vizuri hotuba za JPM, ukifatilia vizuri utaelewa
Sasa kama unaweza kuchambua na kujua unashindwa vipi kujua kuwa kuna viwanda vingi tu vimeanzishwa awamu ya tano? Maana tiles,plastics,sabuni za unga wire za umeme n.k ,vinatengenezwa hapa Tanzania. Na hivi viwanda vimejengwa hivi karibuni.Mkuu acha wewe unaesoma magazeti nakuamini kila kilichoandikwa, mimi nasoma Kisha nachambua kipi sahihi kipi kisicho sahihi .
Mbowe mwenyewe hajiwezi, alafu umpambanishe na JPM, c upuuzi huoUmeuliza jibu, ameproof failure 5 yrs anapambana na upinzani anapambana na Mbowe badala ya kupambana na umasikini we je ndo tulichomtuma hicho. Je, Mbowe ndio shida za Watz ndio viwanda? October akajiajiri mkataba wake umeisha.
Muelekeo wa kitaifa upo na umekuwa ukielezewa mara kwa mara na mawaziri pamoja na wasaidizi wao.Kwa mantiki ili tufikie uchumi waviwanda inatakiwa kuwa sera yakitaifa?. Je huoni kama kunaumuhim raisi aliyeko madarakani kama alifanikiwa kurudi kuanzisha sera yakitaifa kila mwananchi amfaham muelekeo wanchi ndani yamiaka 40 ijayo kuwa Tanzania itakua nchi ya viwanda?.
Maisha halisi ya uzalishaji niyapi mkuu wakati sekta kuu yauzalishaji katika viwanda ni kilimo, nabajeti yakilimo kwa miaka minne iliyopita haijatekelezwa hata mwaka mmoja wa bajeti japo kwa asilimia 50.?.Hata atakapokuwa ameondoka madarakani bado nchi itakuwa kwenye michakato ya kuwa nchi iliyobobea katika viwanda.
Anachoendelea kukifanya ni kuimarisha miundo mbinu ya kimawasiliano ili hao wenye ubunifu na maarifa waweze kuraisishiwa kazi ya ujenzi wa viwanda vipya.
Tunakwenda kuishi maisha halisi ya uzalishaji ambayo ni tofauti na yale ya ujanja ujanja wa ununuzi na uuzaji wa vitu vilivyozalishwa na mataifa mengine.
Unatakiwa uchambue kwa hoja ss, sio ushashiba ugali wako unaanza kuwaza negative tuMkuu acha wewe unaesoma magazeti nakuamini kila kilichoandikwa, mimi nasoma Kisha nachambua kipi sahihi kipi kisicho sahihi .
Sera ni kitu endelevu, na ndio maana kuwa taifa la viwanda ni mpango mkakati wa kulifanya taifa lifikie uchumi wa kati 2025. Sio ishu ya miaka mitano tu. Pole sababu mnadanganywa na watsap group za pingapinga group.Hakuna nisichofatilia mkuu, hotuba zake zote licha yakuzifatilia pia ilani ya chama chamapinduzi nimeisoma. Sasa nakuuuliza umemsikia wapi mtukufu akisisitiza anahitaji Tanzania ya viwanda katika utawala wake wa 2020/2025 kama atachaguliwa?.
Unaposema sekta ya viwanda haijaendelea unatakiwa uje na vielelezo, cio unaongea tu kam upo stendiPombe Magufuli nakushauri usisahau kuwaeleza wananchi kuwa Tanzania ya viwanda kama umeifanikisha, maana 2015 ulipigiwa kura na watu wengi kwa namna ulivyonadi sera zako, hasa iliyonivutia mimi mpaka nikakupa kura ni Tanzania kuigeuza nchi ya viwanda.
Sasa hivi sisikii ukinadi umeifanikisha vipi nchi yetu kuwa ya viwanda, kunaviwanda vipya vingapi, kama viwanda vipya vimeongezeka naamini navijana wengi watakuwa wameajiriwa huko, waeleze watanzania namna ulivyoigeuza nchi yetu kuwa ya viwanda. Maana kwa sasa tangu kampeni zianze sijasikia hata kwa bahati mbaya ukizungumzia unahitaji nchi ya viwanda.
Pia ningekushauri ujikite kwenye hoja mara nyingi, ueleze wananchi ni namna gani ndege 11 zilivyobadili uchumi wa mwananchi mmoja mmoja, Watanzania niwatu wakarimu na niwaelewa naamini watakuelewa ukiwambia nimamna gani umepunguzwa umasikini wao.
Mwisho tunahitaji nchi ya viwanda, Tanzania ya Magufuli tunahitaji nchi ya viwanda kwelikweli.
Mkuu Tafadhari naomba uwe muwazi nauweke ukada pembeni, maana angalau wewe naona una substance kidogo ukilinganisha na Lumumba wengine, naomba unieleze ndani yamiaka mitano yamtuku niwapi mkulima kanufaika na kilimo, wakati vitu kama Korosho,pamba,ufuta, dengu,mpunga,katani,mahindi,maharage,choroko, bei zake zimeanguka nawakulima kila siku wanalia.Muelekeo wa kitaifa upo na umekuwa ukielezewa mara kwa mara na mawaziri pamoja na wasaidizi wao.
Hata maonyesho mbalimbali ya kibiashara yanatumika kuelezea ni wapi tunapotaka kwenda.
Hata msimamo wa wizara ya kilimo wa kumlinda mkulima na mazao yake ni sehemu tu ya muelekeo mpya kitaifa.