Ushauri: Mpenzi wangu ni mkimya kupita kiasi

πŸ˜‚πŸ˜‚
angekuwa ananiboa balaa..!! Imagine mtu kila akikutafuta neno lake ni 'niambie, niambie',
wakati Mimi kila nikikutafuta nina umbeya wa Tanzania nzima, hatuwezi endana akii'..!!
Mtu gani anakuwa kapooza kama uji wa magimbiπŸ™†πŸ™†πŸ™†
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
kuna mtu ananiitaga cherehani, maana nikianza kupiga story nikachanganya na umbeya mnajikuta mmeongea masaa..!!
Mac Alpho
Halafu wanaume waongo wanajifanya hawapendi umbea ila ki-uhalisia wanapenda mfano hakuna.!!
Pale unapompa umbea ukiona kanyamaza ujue kuna point za msingi anachukua, siku jifanye km unamuongelea huyo mtu negative uone atakavyokukumbusha ubuyu uliomsimulia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mi nlishawahi kuachana na binti kama huyo. Kabla hujaoa ni muhimu ujue unahitaji mtu wa namna gani. Mwenzake na penseli ni kifutio bro, 5 na ngumi, shuka chafu na kunguni bro.

Ua mtu mtakayeendana ili kiepusha usumbufu hapo baadae
 
Mkuu una bahati sana kupata mwanamke mkimya huyo oa fasta, hawa chiriku wanaumiza vichwa sana, wanaongea mpaka kero.. kifupi wanaongea kama wamemeza flash, Kuna maneno wanaongea yanachoma kama pasi, ukimuacha huyo utakujuta sana, au niunganishie mm
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mtseeeuuuw', umenikwaza umejuaje..??
Wewe hadi ushasahau mwenzio kumbukumbu anazo zooooote kama mtunza nyaraka wa serikali..!!
 
Long trip yafaa ubaki na huu ushauri ikibidi uucopy uuweke pahala na uzingatie sana hiyo paragraph ya pili kutoka mwisho na hiyo ya mwisho yenyewe. Chukua hii kabla ya vijana wa kataa ndoa hawajaja kukuharibu mindset yako hahaha.
 
Hizi quotes huwa mnazitoaga wapi aisee, maana nimecheka hapo kwenye wasafi fm na tafsiri yake πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna mtu ana mwanamke anaongea kuliko kasi ya cherahani, akimpigia simu kumsalimia basi lazima aongee masaa mawili.

Akianza kuongea mwanamme inabidi awe msikikizaji tu, kwa sababu hatapata hata nafasi ya kuingiza neno.

Huyo vipi, atakufaa?
 
Maana mwanaandamu siku zake za kuishi zimejawa tabu nyingi😁

Mimi mtu sijui anishawishi nini nipende muonekano! Tabia tabia tabia! Yani kama tabia ya mtu huipendi na huwezi kuivumilia huyo mtu usiishi nae! Hutopata amani maisha yako yote
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mkuu wasafi fm ndio vipindi vyao hivyo.!!
Halafu mimi huwa nacomment tyuu na vibe langu.!!
Kama ni huwa unacomment tu basi ubongo wako uko active kwenye kutengeneza hizo punchline hahahaaa... yeah najua hivyo ndio vipindi vya wasafi ila huo umithirishaji ulioufanya ulikua bomba sana.
 
Muhaya lazima ujisifie kidogo yani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…