Ushauri: Mpenzi wangu ni mkimya kupita kiasi

Ni kawaida hiyo ukitongoza demu ukishampata ndo unaanza kuona mapungufu yake alafu yanakua yanakukera kinoma unaweza tu kujikuta unakerwa hata na mwendo wake
Unajikuta hata akila unamuangalia uyu anatafunaje?? Unaanza kuona hajui kuandika๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ yanii
 
Unajikuta hata akila unamuangalia uyu anatafunaje?? Unaanza kuona hajui kuandika๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ yanii
Yeah inaweza hata ikawa nimekutongozea hapa Jf ila nikikupata tu hata emoji zako naziona mbaya ila za wengine naona ni nzuri wakati emoji ni ileile
 
Kama ni huwa unacomment tu basi ubongo wako uko active kwenye kutengeneza hizo punchline hahahaaa... yeah najua hivyo ndio vipindi vya wasafi ila huo umithirishaji ulioufanya ulikua bomba sana.
Hizi punchline za hivi ni kawaida kwangu
Mimi ni Afisa uchachuaji daraja la kwanza ๐Ÿ˜น
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Si umeona hata shem kacheka kajua km tumewashtukia.!
Hakuna umbea unanoga km wa wapenzi/wanandoa.!!
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
anadai Mimi ndiyo nimemfundisha..!! Kuna muda huwa nasusa najifanya na sikuambii, ananiambia huwezi, na kweli siwezi, raqha ya umbeya ni kushea bhaana..!!
 
Kuongea ongea sana napo sio kuzuri bana. Mtoto hana maneno mengi. Unataka aongee hadi umbea aje kusutwa. Oa mkuu, naungana na wadau kuwa usiongeze single mamas
 
Mkuu mpaka mmezaa mtoto na bado yuko hivyohivyo means ndo yuko hivyo. Ulichukua step nzuri kumuuliza rafiki yake, sasa cha kufanya tafuta ndugu yake wa karibu ambae wamekua pamoja umuulize ikiwa ndivyo alivyokuwa tangu utotoni utapata majibu. ukiongea nae muulize maswali yale yanayohitaji ufafanuzi zaidi ili umpe nafasi ya kuelezea zaidi usimuulize vitu vinavyohitaji majibu ya yes or no, wanawake waongeaji ndo huwa hawana jibu la yes yaan yeye ni yes na maelezo mengi ya kuchosha juu ila wakimya ni yes then kimya
 
Huyo anafanana na huyu wangu. Nataka nimuache ila namuonea huruma hivi. Katoto ka watu kapole kakimya halafu ni kayatima, zazazi wake walikufa same year. Kila ninachokaambia kanafata. usipokatafuta fresh hata kahalalamiki. Ukikapigia simu wewe ndo uongee tu, kazi yake kucheka na kuguna...
 
Mvumilie tu utamzoea, tunavyooana kila mtu anakuwa mgeni kwa mapungufu ya mwenzie inahitaji muda kuzoeana na mkishazoeana utaona kawaida sana

Ndoa huwekwa na uvumilivu tu kwani baada ya kujuana baina yenu kunakuwa hakuna jipya tena hasa kwa wanawake huwa wanakuwa hawaoni jipya tena wanakuwapo tu

Jipe muda ukiona kitu fulani kinakuboa tafuta kingine ambacho hakikuboi kwake deal nacho hicho
 
Shukran mkuu, lakn mimi nimejaribu kuwa talkative kwake ili awe free, lakn wapi.
Kuwa talkative sio tatizo inapidi uanze kumzoeza taratibu,mfanye rafiki yako mbona atafunguka tu.
Alafu kwenye maisha huwezi kupata mtu ambaye amekamilika kila kitu madhaifu mengine yanabebeka mbona?unaweza ukapata talkative ila ukajuta
Mmewangu pia alikuwa analalamika eti mimi ni msiri siwezagi kushea baadhi ya vitu sasa mimi nikiangalia vitu venyewe sio hata vya kuongea,basi ilibidi anizoee na hata ilikuwa inaleta shida kwa kuwa mimi sio mtumiaji mzuri basi amezoea.
 
Vipi kwenye sita kwa sita anamiguno kasuku au pia ni mwendo wa mikaushoo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ