Ushauri: Mpenzi wangu ni mkimya kupita kiasi

Ghairi , halafu nipasie namba zake,,,usinielewe vibaya
 
mimi ushauri wangu mdogo wangu ni huu 🀣🀣🀣
 
kipindi nimefika daslam 2007 enzi nabeba tofali saidia fundi nilipanga geto nikamvuta toto ya kipwani bomba. aloo uyo demu ana mastori muda wote. alikua na stori zinachekesha sana πŸ˜‚. nimemkumbuka sana yule manzi.
 
The same kwangu mimi, mwanamke wangu analalamika mimi mkimya sana sipigi nae story muda wote nachat na simu hajui kumbe niko jf nasogoa kama sina akili timamu.
kazi imekua nyepesi mfanye mabadilishano na bwana mdogo. umchukue wa kwake na yeye achukue wa kwako
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
anadai Mimi ndiyo nimemfundisha..!! Kuna muda huwa nasusa najifanya na sikuambii, ananiambia huwezi, na kweli siwezi, raqha ya umbeya ni kushea bhaana..!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ umemuharibu shem
Umbea unavyojua kuwasha huwezi kutulia mpk umwambie.!!
Ushawahi kuwa na umbea halafu mmenuniana??
Unaweza kupitisha msamaha ili uumwage roho itulie.!
 
kipindi nimefika daslam 2007 enzi nabeba tofali saidia fundi nilipanga geto nikamvuta toto ya kipwani bomba. aloo uyo demu ana mastori muda wote. alikua na stori zinachekesha sana πŸ˜‚. nimemkumbuka sana yule manzi.
Huyo ungemuoa mkuu, watu km hao kuwapata ni adimu.!!
 
Nipasie namba zake Kama hutojali,,Nadhani huyo anastahili kuwa mpenzi wangu Mimi,,wewe umetumika kama Daraja la kupitisha kilicho beba mtima wangu Kwa kuwa na Mimi ni mkimya kupita kiasi,,achana na mke wangu kaka Una mdhalilisha huku kisa upole wake ambao hajajiumba mwenyewe?Mafii yako
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ umemuharibu shem
Umbea unavyojua kuwasha huwezi kutulia mpk umwambie.!!
Ushawahi kuwa na umbea halafu mmenuniana??
Unaweza kupitisha msamaha ili uumwage roho itulie.!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
uweeeeeh', unanielewa mpaka siyo poa, kuna muda mmenuniana ila unatuma text ya umbeya, mtu anashtuka kheeeh' ndiyo ipo hivyo..??
Mnaanza kuongea hapo hapo..!!
 
Punguza nyege mkuu , huyo ndo mke , hata nje hana umbea , wakwangu utadhani kuna kikombe anashindania cha zoga.
Mara anambie jirani alifanya hiki ,Ohhh flani kashikwa wapi !!!!yaani sometimes nataka nimwambie nyamaza sema naona ataumia siunjua ke zao .
Huyo komaa naye utaja jua mbeleni kizuri wao hao wakimya.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
uweeeeeh', unanielewa mpaka siyo poa, kuna muda mmenuniana ila unatuma text ya umbeya, mtu anashtuka kheeeh' ndiyo ipo hivyo..??
Mnaanza kuongea hapo hapo..!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na ugomvi ukaisha kwa muda kisa ubuyu khaaa.!!
 
Chepuka ajue ndio uje utuambie ni mkimya au vipi.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…mimi mme wangu ndiye Mkimya lakini sio kama hivo πŸ˜…πŸ˜…inatisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…