Unapotoa mada lazima uanze na utangulizi ili upate mtiririko mzuri wa hoja. Huu ulikua utangulizi wa Lissu hoja zinakuja.Ni kweli kabisa, kwa muundo wa serikali yetu kile kinachofanywa na serikali kina akisi moja kwa moja msimamo wa rais. Lakini ni vema kuikosoa serikali ya CCM na kuinadi serikali mbadala ya CDM.
Sasa hivi amekuwa malaika? Mwaka 2015 kipindi anamshambulia Lowasa na afya yake na push up majukwaani ilikuwa ni nini? Acha apate vidonge vyakeNi kweli kabisa, kwa muundo wa serikali yetu kile kinachofanywa na serikali kina akisi moja kwa moja msimamo wa rais. Lakini ni vema kuikosoa serikali ya CCM na kuinadi serikali mbadala ya CDM.
Maamuzi muhimu yote huwa yanajadiliwa kwenye vikao vya baraza la mawaziri. Kwahiyo kumlenga kiongozi mkuu peke yake inaleta picha kuwa una ugomvi binafsi na huyo mtu.Mtoa maelekezo serikslini ni mmoja tu hao wengine wanafuata,wao hawana tatizo ni wenzetu ila wamebanwa.
Kwakweli tunazingoja kwa hamu, sote tunatambua uwezo wa Lissu wa kujenga hoja na kuzipangilia vilivyo. Uchaguzi huu tayari umenoga.Unapotoa mada lazima uanze na utangulizi ili upate mtiririko mzuri wa hoja. Huu ulikua utangulizi wa Lissu hoja zinakuja.
Kujenga uwanja wa ndege Chato pia ilijadiliwa?Maamuzi muhimu yote huwa yanajadiliwa kwenye vikao vya baraza la mawaziri. Kwahiyo kumlenga kiongozi mkuu peke yake inaleta picha kuwa una ugomvi binafsi na huyo mtu.
Hivi baraza la mawaziri lilipitishaje ujenzi wa Chato Airport wakati halikuwahi kujadiliwa bungeni.Maamuzi muhimu yote huwa yanajadiliwa kwenye vikao vya baraza la mawaziri. Kwahiyo kumlenga kiongozi mkuu peke yake inaleta picha kuwa una ugomvi binafsi na huyo mtu.
Magufuli binafsi huwa hataji majina, yes alipiga push up kama njia ya kumdhihaki ndugu Lowasa lakini hakumtaja hadharani.Sasa hivi amekuwa malaika? Mwaka 2015 kipindi anamshambulia Lowasa na afya yake na push up majukwaani ilikuwa ni nini? Acha apate vidonge vyake
Lazima ijadiliwe, hata kama wanafanya as a matter of formality.Kujenga uwanja wa ndege Chato pia ilijadiliwa?
Inawezekana walitaka kumfurahisha mwenyekiti wa baraza, lakini wakitoka nje maamuzi ni yao wote na wanabeba 'collective responsibility'Hivi baraza la mawaziri lilipitishaje ujenzi wa Chato Airport wakati halikuwahi kujadiliwa bungeni.
Yaani nchi hii sijui kama itakuja kubadilika,ina watu waoga kuzidi kunguru!Magufuli binafsi huwa hataji majina, yes alipiga push up kama njia ya kumdhihaki ndugu Lowasa lakini hakumtaja hadharani.
Sasa Lissu anarusha makombora direct kwa Magufuli huku akimtaja kwa jina kabisa.
Sasa basi Tundu Lissu anatufahamisha power ya huyo Mwenyekiti wa baraza kwakua kwa miaka mitano inaelekea alikua untouchable.Inawezekana walitaka kumfurahisha mwenyekiti wa baraza, lakini wakitoka nje maamuzi ni yao wote na wanabeba 'collective responsibility'
Tena ikiwezekana aongeze speed mgonjwa ameanza kuzidiwa.Aendelee na mwendo huu huu apige kote kote.
Hutakuja msikia Magufuli akisema "Tundu Lissu ........", haujiulizi kwanini?Yaani nchi hii sijui kama itakuja kubadilika,ina watu waoga kuzidi kunguru!
Ni muhimu sanaMkuu hongera kwa ujumbe, Lissu atumie umahiri wake katika kushawishi watu ili apate kura, Ni vizuri kumwaga sera nini atakacho kifanya pindi atakapopewa ridhaa ya kuongoza nchi.
Ni kweli kabisaWagombea wasome ustaraabu wa watanzania,saikolojia, desturi na mahitaji yao kisera na nyakati za sasa itawasaidia sana nini cha kusema.
Mwisho wa Magufuli ni 2025.Mkono mrefu mpaka sasa sijasikia waliomshambulia Tundu Lissu,huo mkono mrefu ndo upi?
Mwisho wa Magufuli ndo huu
Baadhi ya wagombea walishasema watawachapa shangazi zetu.Wagombea wasome ustaraabu wa watanzania,saikolojia, desturi na mahitaji yao kisera na nyakati za sasa itawasaidia sana nini cha kusema.