Uchaguzi 2020 Ushauri muhimu sana kwa Tundu Lissu tukielekea Oktoba 2020

Kwa kweli kama nayoyaona mitandaoni ndo uhalisia wa kinachoenda kutokea basi Lissu ajipange aisee. Raia hawamtaki kabisa kila hotuba yake ikipostiwa mtandaoni kwenye comment 400, rono tatu zote zinamtukana na kumdhihaki. Lissu komaa mzee baba raia mitandaoni hawakuelewi kabisa sijui mitaani
 
Naona chuma kimewashika mataga wote sasa mnaweweseka kama mmepigwa ngumi na yule WWE SUPER MAN PUNCH... ROMAN REIGNS
 
Lisu hawezi kampeni bila kunshambulia Magufuli sababu hana sera.

Pia tujue hata kwa mtu yeyote aliepata tukio kama la Lisu lazima akili iyumbe kidogo.
 
Mungu ndiyo kaizuia hiyo mikono yako mirefu unayoamini itaua kila binadamu hata kama mungu hajawa tayari kumwita mwanadamu, mungu hayupo CCM hata siku moja na mungu hayupo kwako wewe unayepotosha kuwa Tundu lisu alishambuliwa na watu wengine wakati report ya CIA FBI na wakala zao walipo Tanzania wanasema aliyekwenda kumpiga risasi Tundu lisu ni Bashite na kikundi chake, usifikiri chadema hawajui ni nani walimshambulia Lisu, CCM wakienda ulaya kuomba omba misaada huwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga wa CCM huwaita wanaume wenzao mabeberu utazani CCM ni mbuzi jike
 
Jiwe alizuia siasa miaka 5, akabaki yeye tu anayefanya siasa/vijembe/vitisho

Watu wana nyongo sana, mtoa mada huu ni mwanzo tu subiri kipenga kipurizwe, kina Halima, Lema, Heche watakavyomsurubu jiwe
 
Kweli mkuu, umeongea fact, mi binafsi namkubali sana lisu, sema pia akuongea aache kuongea kama anajazba hivi,
 
Jiwe alizuia siasa miaka 5, akabaki yeye tu anayefanya siasa/vijembe/vitisho

Watu wana nyongo sana, mtoa mada huu ni mwanzo tu subiri kipenga kipurizwe, kina Halima, Lema, Heche watakavyomsurubu jiwe
Ndani ya miaka mitano alipozuia siasa amefanya madhambi mengi mno na mengi anajua ni siri yake lakini hajui kuwa Tanzania hakunaga siri na wale wote watakaochujwa na kamati kuu ya CCM huko Dodoma wataleta vingi zaidi, ajiandae kusikia kila baya alilotenda likianikwa live.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…