ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
salaam aleykum waugwana....nataka nifungue car wash business..sasa naomba wazo la location ambayo ni nzuri waungwana ambapo baadae nitaweka na tyre fitting pia asanteni..naombeni mawazo kidogo....happy christmas and new year
Hi to everyone,and hope you do fine.
Nimefikiria kuwa na mradi wa uoshaji magari sambamba na huduma ndogondogo nyingine kama pressure n.k badala ya kutojishughulisha kabisa.
ni mradi mdogo ila nimeupenda kwani is a free risk and have low operating cost as generally nahjtaji kuwa na
1.compressor machine
2.stand by generator in case of Tanesco power off
3.water tank 250ltr kwa kuanzia
4.site/rental
kwa estimate naweza kusanya zaidi ya 30 thousands per day kwa capital kama ya 2.4millions.
haya ni mawazo yangu ktk pasua kichwa yangu.
kwa hiyo basi nawaombeni ushari wenu kuhusu hii idea ya huu mradi kama inamanufaa,vilevile nitafurahi sana kujua maeneo
ambayo ni mazuri/location kwa hii shughuli ubungo,kimara,Dar es Salaam.
natanguliza shukrani.
Wakija na majibu naomba unitag mkuu
Poa mkuuWakija na majibu naomba unitag mkuu
Ya kawaida ikoje hioUsiwe na chini ya milioni 5 kwa car wash ya kawaida
Shade moja ofisi mashine mbili jukwaa kodi na vitu vingine vidogo vidogoYa kawaida ikoje hio
Oh sawasawa ila inabidi nitafute ambae anapiga hii kitu nijue zaidiShade moja ofisi mashine mbili jukwaa kodi na vitu vingine vidogo vidogo
Sahihi kabisa japo Inategemea na ukubwa wa eneo na locationOh sawasawa ila inabidi nitafute ambae anapiga hii kitu nijue zaidi