Mzee wa Torano
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 519
- 700
Mashine hiyo inauwezo wa kutoa kiasi gani cha chaki,na inahitaji kiasi gani cha material ?samahani kwa maswalisina uakka na figures, llakin kama mashine umenunua ya laki 5.... around 1 m itatosha na kubaki lkn inadepend.
maana utaitaji upige walai kazege sehem magari yatapaki... uvute maji, umeme kwa ajili ya mashine, udesign sehem ya kuelekezea maji machafu!!!
kama ni eneo la magari manne.... kuna cement labda 5 apo na mchanga nusu lori, kokoto/moram...na gharama za ufundiMashine hiyo inauwezo wa kutoa kiasi gani cha chaki,na inahitaji kiasi gani cha material ?samahani kwa maswali
Asante mkuu kwa ushauri wako ntaufanyia kazikama ni eneo la magari manne.... kuna cement labda 5 apo na mchanga nusu lori, kokoto/moram...na gharama za ufundi
pia unaitaji umeme.,,hivyo waya kuvuta umeme hadi kwenye carwash,....sockets za kueka mashine,,, na gharama zingne kutokana na umem
mashine ningekusaidia kwa jina.,,,angalia zinaitwa Kruger.,. za kijerumani, nzuri sana zina presha kali na zinahamishika kwa uraisi....kuhusu chaki sijui.,,
Eneo ndo lipo katika process ya ku acquire nkishapata eneo ntawletea mrejeshoNi biashara nzuri sana ila kabla ya kufikiria vifaa pata eneo kwanza uli design vizuri hatakama utashindwa kununua tanki kubwa hata pipa la debe 12 linatosha kuanzia. Eneo karibu barabara lisiwe uchochororni
Pampu itaanzi labda laki 3 na kuendelea. Muhimu ni eneo. Milioni inawezakubanngaiza ukaanza kwa shida
Upo mkoa ganiNdugu wana bodi nimekuja kuomba ushauri, nna mtaji wa Tsh. Milioni tano na nnataka kufanya biashara, nimewaza sana kuhusu biashara ya Car wash na baadhi ya vifaa nimenunua nje ya hiyo milion tano..Naombeni ushauri wa eneo kama kuna mtu analo liko vizuri aje pm, au kama kuna mtu ana wazo tofauti la biashara namkaribisha tushauriane kulegeleza hivi vyuma..Ahsanteni sana
Nipo hapa DarUpo mkoa gani
Mkuu nenda kwenye vituo vya mafuta kaongee na uongozi ili wakupe sehemu unapega hela vizuri tu.Ndugu wana bodi nimekuja kuomba ushauri, nna mtaji wa Tsh. Milioni tano na nnataka kufanya biashara, nimewaza sana kuhusu biashara ya Car wash na baadhi ya vifaa nimenunua nje ya hiyo milion tano..Naombeni ushauri wa eneo kama kuna mtu analo liko vizuri aje pm, au kama kuna mtu ana wazo tofauti la biashara namkaribisha tushauriane kulegeleza hivi vyuma..Ahsanteni sana
Mwenye eneo na hata mawazo ya kujenga zaidiSasa kama na vifaa vya kazi umeshanunua, na capital umeshaandaa, sasa unahitaji ushauri wa nini tena..??
Hongera mkuu kwa wazo jema na kuthubutu ....naomba nipe bei ya vifaa haswa presure wash na vaccium umepata kwa bei gan umenunulia wap na hitaji sana hivi vitu.Ndugu wana bodi nimekuja kuomba ushauri, nna mtaji wa Tsh. Milioni tano na nnataka kufanya biashara, nimewaza sana kuhusu biashara ya Car wash na baadhi ya vifaa nimenunua nje ya hiyo milion tano..Naombeni ushauri wa eneo kama kuna mtu analo liko vizuri aje pm, au kama kuna mtu ana wazo tofauti la biashara namkaribisha tushauriane kulegeleza hivi vyuma..Ahsanteni sana
Nami pia pleaseMkuu ulifanikiwa kuanzisha hii biashara? Nina uhitaji pia wa kuifanya now.......... Kama hutojali rudi utupe/unipe mrejesho
Acha bange!! Wengi wapi?Wengi sasa hivi wanaosha magari yao wenyewe au watoto wanaliosha jumapili baada ya kanisani!wamebanwa hawapumui,dadadadeki!
sawa mkuu nasubiri wajuzi wa hii kitu waje wanieleweshe kwanzaHongera mkuu. It's good idea, Sina uzoefu nayo lakini Nafikiri ni biashara Nzuri hasa Ukipata vijana waaminifu na wachapakazi hodari.
Hiyo rent ya 20000 kwa mwezi ni km Bure tu aisee, gari mbili tu ukiosha unalipa kodi ya mwezi mzima!