Habari natafuta compressor ambayo nitakuwa naitumia kwenye biashara za car wash yenye uwezo wa kujaza upepo, kutumika kuoshea magari na ku spray rangi, inauzwa bei gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dar..TemekeUko wapi?
Ukianzisha nitaarifu uwe Boss wangu, nina uzoefu na huduma za car wash SERIOUSLY.Habari wakuu,
Nina mpango wa kuanzisha car wash hapa Dar
Ningependa kujua mchanganuo wa mtaji unaohitajika na cost za uendeshaji.
Pia ninaomba msaada wa Location ya kukodi.
teh teh!! unajifungulia dirisha la ajira?.Ukianzisha nitaarifu uwe Boss wangu, nina uzoefu na huduma za car wash SERIOUSLY.
Jf raha sana kuna watu wa kila aina humu, hàdi waosha magari tupo humu , NAKUPENDA JF
Mtu anasema hana mtaji mkubwa,sasa unashauri nini hapo? huwezi mshauri mtu kitu kama hasemi ana mtaji kiasi gani maana mtaji ambao si mkubwa n(ndio kiasi gani hicho) unaweza ukajitesa toa ya moyoni weee mwisho wa siku mtu kumbe ana Laki 3.CONTROLA karibu utoe muongozo hapa.
Huyu chalii ni machinoo sana sikutaka ata aje kwenye uzi wanguCONTROLA karibu utoe muongozo hapa.
Mtu anasema hana mtaji mkubwa,sasa unashauri nini hapo? huwezi mshauri mtu kitu kama hasemi ana mtaji kiasi gani maana mtaji ambao si mkubwa n(ndio kiasi gani hicho) unaweza ukajitesa toa ya moyoni weee mwisho wa siku mtu kumbe ana Laki 3.
unapotaka kushauriwa juu ya biashara yyte lazima uweke wazi kila ulichonacho kuanzia mtaji,baadhi ya vifaa (kama unavyo),nk kisha mtu anaetaka kukushauri ndio atajua agusie angle ipi na ipi ili upate kile ulichotaka.
Ni sawa na mtu akwambie nishauri kuhusu biashara ya Pool Table,hana pool table,hajui linauzwaje,hajui location gani inafaa,hajui chochote kile kuhusu biashara anayotaka,huyu mtu unamshauri nini unafkiri?
Nawambiaga watu wakija kwangu wawe wanajua nini wanataka na mostly napenda watu ambao tayari wako ktk game,ashaingia kazini kisha ndio anaomba ushauri (huyu mtu unamuelewa) ila kuna mtu kalala kitandani au kwenye kochi sebleni anakuja anakutafuta umshauri kuhusu biashara flani (mimi sijitoagi kwa watu wa namna hii) maaana mara nyingi ni wapima kina cha bahari kwa kutazama (sio watendaji)
Nisamehewe kama kuna nilipoandika kitu kikatafsiriwa vibaya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu chalii ni machinoo sana sikutaka ata aje kwenye uzi wangu

Hahahahaaaaa
Msiishie kucheka tu wadau. Nipeni hints[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo wale ambao hawajaingia kwenye game wasiombe ushauri? Au mimi niko sayari nyingine sio hii earth🤔🤔Mtu anasema hana mtaji mkubwa,sasa unashauri nini hapo? huwezi mshauri mtu kitu kama hasemi ana mtaji kiasi gani maana mtaji ambao si mkubwa n(ndio kiasi gani hicho) unaweza ukajitesa toa ya moyoni weee mwisho wa siku mtu kumbe ana Laki 3.
unapotaka kushauriwa juu ya biashara yyte lazima uweke wazi kila ulichonacho kuanzia mtaji,baadhi ya vifaa (kama unavyo),nk kisha mtu anaetaka kukushauri ndio atajua agusie angle ipi na ipi ili upate kile ulichotaka.
Ni sawa na mtu akwambie nishauri kuhusu biashara ya Pool Table,hana pool table,hajui linauzwaje,hajui location gani inafaa,hajui chochote kile kuhusu biashara anayotaka,huyu mtu unamshauri nini unafkiri?
Nawambiaga watu wakija kwangu wawe wanajua nini wanataka na mostly napenda watu ambao tayari wako ktk game,ashaingia kazini kisha ndio anaomba ushauri (huyu mtu unamuelewa) ila kuna mtu kalala kitandani au kwenye kochi sebleni anakuja anakutafuta umshauri kuhusu biashara flani (mimi sijitoagi kwa watu wa namna hii) maaana mara nyingi ni wapima kina cha bahari kwa kutazama (sio watendaji)
Nisamehewe kama kuna nilipoandika kitu kikatafsiriwa vibaya.
Huyu chalii ni machinoo sana sikutaka ata aje kwenye uzi wangu
Kimeumana😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]