Ushauri na Mbinu Mbalimbali Kuhusu Uendeshaji wa Biashara ya Kuosha Magari (Car Wash)

Habari natafuta compressor ambayo nitakuwa naitumia kwenye biashara za car wash yenye uwezo wa kujaza upepo, kutumika kuoshea magari na ku spray rangi, inauzwa bei gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,

Nina mpango wa kuanzisha car wash hapa Dar
Ningependa kujua mchanganuo wa mtaji unaohitajika na cost za uendeshaji.
Pia ninaomba msaada wa Location ya kukodi.
Ukianzisha nitaarifu uwe Boss wangu, nina uzoefu na huduma za car wash SERIOUSLY.

Jf raha sana kuna watu wa kila aina humu, hàdi waosha magari tupo humu , NAKUPENDA JF
 
teh teh!! unajifungulia dirisha la ajira?.
 
Habarini wadau, naomba mnipe ushauri/maelekezo etc. ni muda sasa nimekua nafikiria kuanza hii biashara, lakini sijui nianzie wapi. Sina experience wala mtu wa karibu anaefanya hii biashara na mara nyingi mtu hawezi kukupa ushauri kama anakujua personally sababu ya ubinafsi na wivu wa kibinadamu.

Naombeni mnipe maelekezo hii biashara inahitaji mtaji wa bei gani? Je natakiwa nianze na nini? Vitu gani vya muhimu kuzingatia wakati wa kuanzisha na hata kuendesha hii biashara.

Angalizo sina mtaji mkubwa, so itakua vizuri kama mki simplify mambo.

Ahsante.
 
CONTROLA karibu utoe muongozo hapa.
Mtu anasema hana mtaji mkubwa,sasa unashauri nini hapo? huwezi mshauri mtu kitu kama hasemi ana mtaji kiasi gani maana mtaji ambao si mkubwa n(ndio kiasi gani hicho) unaweza ukajitesa toa ya moyoni weee mwisho wa siku mtu kumbe ana Laki 3.

unapotaka kushauriwa juu ya biashara yyte lazima uweke wazi kila ulichonacho kuanzia mtaji,baadhi ya vifaa (kama unavyo),nk kisha mtu anaetaka kukushauri ndio atajua agusie angle ipi na ipi ili upate kile ulichotaka.

Ni sawa na mtu akwambie nishauri kuhusu biashara ya Pool Table,hana pool table,hajui linauzwaje,hajui location gani inafaa,hajui chochote kile kuhusu biashara anayotaka,huyu mtu unamshauri nini unafkiri?

Nawambiaga watu wakija kwangu wawe wanajua nini wanataka na mostly napenda watu ambao tayari wako ktk game,ashaingia kazini kisha ndio anaomba ushauri (huyu mtu unamuelewa) ila kuna mtu kalala kitandani au kwenye kochi sebleni anakuja anakutafuta umshauri kuhusu biashara flani (mimi sijitoagi kwa watu wa namna hii) maaana mara nyingi ni wapima kina cha bahari kwa kutazama (sio watendaji)

Nisamehewe kama kuna nilipoandika kitu kikatafsiriwa vibaya.
 
Huyu chalii ni machinoo sana sikutaka ata aje kwenye uzi wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe kama unaingiaga kwenye biashara kwanza then unaomba ushauri ni wewe.
 
Kwa hiyo wale ambao hawajaingia kwenye game wasiombe ushauri? Au mimi niko sayari nyingine sio hii earth🤔🤔
 
Back
Top Bottom