Ushauri: Naelekea kusitisha kuoa

Sihitaji kuolewa kwa kweli marriage to me is not a life achievement, Nita enjoy kutimiza ndoto Zangu, ka ni miti mbona napigwa kwani walio ndoani Wana vitombesho tofauti[emoji23][emoji23][emoji23]
Niliona Dp yako umependeza nikajua , mtu kashakuweka ndani, kumbe bado
 
Ila ujue hujafa hujaumbika, labda ni tatizo tu la kutibika na watoto watapatikana.....je huyu unayemshauri atafute mwingine aoe ana uhakika na afya yake ya uzazi?
Suala ni kila mtu afuate anachotaka kukipata.
Mimi sio muumini wa mambo ya hujafa hujaumbika au Mungu atajalia.
Kama ipo ipo tu.
Kama haipo haipo tu.
Maisha ya kubahatisha ni hovyo kabisa.
Mwanaume naye alitakiwa kujipima.
Kama hazai aachane na habari kutafuta watoto au kuoa mke atakayezaa au mwenye ndoto za kuwa na watoto
 
Age 32 na 30, ase sio kweli. Mi sio muhumini wa age difference fupi kiasi hiki.
Mwanamke wa kuoa unatakiwa umzidi walau miaka 7 hadi 10. Sasa hii ya 30 kwa 32 hii haina afya kwenye mahusiano maana muda si mrefu huyo mwanamke utaanza kumuona bikizee.
 
wewe nawe gari bovu linavutwa na gari bovu, haujaona uliemzidi angalau miaka 6
 
Mwanamke wa kuoa unatakiwa umzidi walau miaka 7 hadi 10. Sasa hii ya 30 kwa 32 hii haina afya kwenye mahusiano maana muda si mrefu huyo mwanamke utaanza kumuona bikizee.
Sio kweli. Kila mtu na mwili wake mimi na umri wangu ukiniweka na age mates hatufanani kabisa. Hata mkioana mliozaliwa mwaka mmoja haimanishi mmoja atawahi kuzeeka. Mifano ninayo mingi na sijaona aliyezeeka kumzidi mwenzie
 
Reactions: Cyb
Achana na hiyo kondoo ya sufi,inaonekana kapigwa sana na kakojolewa ndani ila mimba hashiki, tafuta mwanamke bikra oa tulia, tofauti na hapo tutaendelea kuwagongea wake zenu mpaka akili ikae sawa, ***** sana
 
Mtu ulikuwa nae kwenye mahusiano miaka minne hadi mitano uje tu umwache ki hivyo.
 
Kwa Jinsi nilivyosoma Story yako na Jinsi Huyo Mwanamke anavyofanya,kuna uwezekano mkubwa Ndoa Yako ikawa na Migogoro mbeleni. Ingawa Tunaambiwa Ndoa ni sheria Kuzaa ni Majaliwa, ila Kama Umeshakaa naye muda Mrefu bila Kushika Mimba Inabidi Uchanganye akili hapa. Uishi naye hivyo hivyo usisikilize ya Upande mwingine ingawa Ukishaoa tu Hao hao Wakwe watataka Mjukuu baadae na Watasahau kama Walijua Tatizo la Huyo Mwnamke...Binadamu ndivyo walivyo

Ingawa Kumbuka itafika Hatua Mtazoeana Humo ndani kila siku kuonana itafikia Hatua Pia Moyo wako utataka Mtoto(kuna Hisia Kali za Kutaka Mtoto huwa zinakuja)

So mkuu Changanya Akili vizuri hapo
 
Kwangu binafs namuona Kama mwanamke anayejitambua sana maana amegundua tatzo kaamua kulimaza binafs kwangu Sion Kama Kuna xhida
Kumpa Uhuru huo Mwanamke wa Kutatua Matatizo yake mwenyewe kuna Leta shida Baadae, Utashangaa anakaa na Marafiki zake wanamwambia "au Shemeji ndio ana Tatizo" Kwann usijaribu Kwingine ukinasa Ujue Shem ndio shida

Utajuta baadae Na Mwanamke akishaanza Kutaka Kuingia kwney ndoa huwa ajali kama Anaupendo. Yeye anataka Heshima ya Ndoa basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…