Ushauri: Naelekea kusitisha kuoa

Ushauri: Naelekea kusitisha kuoa

Sihitaji kuolewa kwa kweli marriage to me is not a life achievement, Nita enjoy kutimiza ndoto Zangu, ka ni miti mbona napigwa kwani walio ndoani Wana vitombesho tofauti[emoji23][emoji23][emoji23]
Niliona Dp yako umependeza nikajua , mtu kashakuweka ndani, kumbe bado
 
Ila ujue hujafa hujaumbika, labda ni tatizo tu la kutibika na watoto watapatikana.....je huyu unayemshauri atafute mwingine aoe ana uhakika na afya yake ya uzazi?
Suala ni kila mtu afuate anachotaka kukipata.
Mimi sio muumini wa mambo ya hujafa hujaumbika au Mungu atajalia.
Kama ipo ipo tu.
Kama haipo haipo tu.
Maisha ya kubahatisha ni hovyo kabisa.
Mwanaume naye alitakiwa kujipima.
Kama hazai aachane na habari kutafuta watoto au kuoa mke atakayezaa au mwenye ndoto za kuwa na watoto
 
Age 32 na 30, ase sio kweli. Mi sio muhumini wa age difference fupi kiasi hiki.
Mwanamke wa kuoa unatakiwa umzidi walau miaka 7 hadi 10. Sasa hii ya 30 kwa 32 hii haina afya kwenye mahusiano maana muda si mrefu huyo mwanamke utaanza kumuona bikizee.
 
Habari zenu waungwana!

Mwaka 2019 nilibahatika kupata mwanamke mmoja ambaye ni muajiriwa katika ofisi za umma.Kwa wakati huo alikuwa na miaka 28.

Tulianza rasmi Safari ya mapenzi ambapo kufikia mwaka 2020 mwezi December nilifanikiwa kupeleka barua ya uchumba na baadaye kidogo nikatoa mahari,ndoa ilipangwa kufanyika mwezi wa pili mwaka huu,kwa bahati mbaya nilisafiri ghafla kikazi kwa miezi minne hivyo zoezi likasogezwa mbele mpaka nitakaporudi(katika hili mwanamke alichukia sana kwani alitaka tufunge tu ndoa then nitamkuta nikirudi Ila Mimi sikuona ulazima wa uharaka huo.)

Mwezi wa tano nilirudi salama nikafufua lile Jambo kuwa tufunge ndoa,tukaekea katika mjadala wa tarehe ya harusi ambayo ilikuwa mwezi huo huo wa sita,ajabu siku moja asubuh nilimpigia simu asubuhi akaniambia yupo kwa daktari hosp.nilishangaa kwani sikujua ugonjwa wake kabla akasema akimaliza atanipigia.Baada ya muda kidogo akanipigia kuwa anajisikia vibaya kuwa alikuwa anasumbuliwa na kiuno hivyo ilimlazimu kufika hospital kutibiwa lakini kwa mujibu wake Kuna maswali aliulizwa na daktari.

Daktari alimuuliza kwamba je ana umri gani daktari akamjibu 30, ameolewa?binti akajibu ndio,una mtoto binti akajibu hapana ndipo daktari akamuuliza kwanini hana mtoto binti akajibu hajui shida,kwa mujibu wa yeye daktari akamshauri apimwe hormone levels na afanye ultrasound,kweli binti akafanya hivyo vipimo na kesho yake akapewa majibu kuwa anashindwa kupata mimba kwa kuwa mayai hayapevuki katika ovary zake hivyo Kuna aina ya Kama operesheni afanyiwe ili kutibu tatizo hilo.

Ikumbukwe kwamba haya yalitokea siku chache kabla ya tarehe ya ndoa na wazazi wa mwanamke wakawa wanawasiliana sana na wazazi wangu kuhusu ndoa(binti alifanya haya yote bila kumshirikisha mzazi wake yoyote kwa kigezo kwamba watapata presha sana hivyo akawa anashirikiana na dada yake ambaye amepanga nje ya kwao.

Binafsi nilipinga sana operesheni hiyo kwani Mimi Kama mume mtarajiwa sijawah kuwa na mjadala nayeye kuhusu kupata mtoto nilikuwa nasubir tuzae baada ya ndoa Sasa nikawa namuuliza nini kimekulazimisha kuwa tayari kuingia kufanya operesheni wakati Mimi sijawahi kudai mtoto?majibu hayakuridhisha .

Ukweli tarehe ya harusi ilikaribia zaidi baba mkwe alinipigia simu kutaka kupata mipangilio yetu ya ndoa,kwa upande wangu nilikuwa nimeadhimia kusogeza harusi mbele mpaka amalize hiyo operesheni lakini mwanamke nilipomwambia kuwa akimaliza operesheni ndo tufunge ndoa alikataa sana akaomba Kama vipi akaongee na daktari ili operesheni ifanyike baada ya ndoa,binafsi nilimkatatia Hilo,aliishia kuchukia sana.

Nilipoona hatuelewani ilibidi niwaambie wazaz wangu A to Z ambao nao waliwaambia wakwe Zangu kila kitu,mkwe wangu alichukia sana na akanipigia nifuatilie kuhusu hiyo operesheni Kama kweli atafanya,na ukweli operesheni ilipangwa tarehe 3.6 na ambapo binti aliaga kwao kwamba atasafiri kikaz kwenda Moro goro kumbe ndo ilikuwa aende hosp.bahati mbaya ni kwamba binti akujua Kama mzazi wake tulishamjuza kuhusu Hilo,Ingawa baba mkwe hamkumbishia mwanae akamruhusu tu aende uko Moro then akanipigia simu Mimi nifuatilie Kama kweli ataenda Moro au hospitali,Mimi nikafanya utafiti nikabaini yupo hosp.nikaenda na kumkuta yupo hatua za mwisho za operesheni hiyo Ila bahati mbaya dakika chache wakati anasuburi kuingia kifaa kikaharibika ikabidi iahirishwe mpaka tarehe nyingine,yote haya nilimjuza mkwe wangu ndipo badae akaamuru kuitisha kikao Cha familia yao(mama mkwe,binti,mchumba na ndugu wengine) ili kumwambia anajua kila kitu na Wala hajaenda Morogoro kwa mujibu wa mkwe walimsema sana yule binti na binti akasema basi hatofanta tena hiyo operesheni,mkwe akampigia baba yangu kwamba wamemsema sana binti yao hivyo hatofanya operesheni badala yake tufunge tu ndoa,kiukweli nafsi yangu aikukubali kabisa ilo Jambo.

Nililazimika kumuita binti tujadili kwa kina haswa kuhusu sababu za msingi za yeye kutaka kufanya hiyo operesheni wakati Mimi sijawahi kudai mtoto,yeye aliniambia kuwa kabla yangu alikuwa na mtu Ingawa hajawahi kutafuta mtoto but hajawahi kujizuia kupata mimba na hajawahi kupata mimba,na Mimi nikiri katik miaka miwili niliyekuwa naye tulipima na hatujawahi kutumia kabisa kutumia kondom na hajawahi pata mimba mimba.Kiukweli nilipata msongo mkubwa wa mawazo ya kuamua,kitabia Yuko vizuri sana.

Wakati natafakari hatua za kuchukua nikapata Safari ya miez minne ambapo tunarudi mwezi wa kumi Ila kila nikiwaza ndoa na huyo binti napata kigugumizi sana.

Huyu binti bado anaishi kwa wazazi wake kipindi chote hicho.
IKUMBUKWE MIMI NINA 32YRS NA YEYE 30 YRS.
MAONI YENU TAFADHALI
wewe nawe gari bovu linavutwa na gari bovu, haujaona uliemzidi angalau miaka 6
 
Mwanamke wa kuoa unatakiwa umzidi walau miaka 7 hadi 10. Sasa hii ya 30 kwa 32 hii haina afya kwenye mahusiano maana muda si mrefu huyo mwanamke utaanza kumuona bikizee.
Sio kweli. Kila mtu na mwili wake mimi na umri wangu ukiniweka na age mates hatufanani kabisa. Hata mkioana mliozaliwa mwaka mmoja haimanishi mmoja atawahi kuzeeka. Mifano ninayo mingi na sijaona aliyezeeka kumzidi mwenzie
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Achana na hiyo kondoo ya sufi,inaonekana kapigwa sana na kakojolewa ndani ila mimba hashiki, tafuta mwanamke bikra oa tulia, tofauti na hapo tutaendelea kuwagongea wake zenu mpaka akili ikae sawa, ***** sana
 
Ndugu hivi bado hujagundua tu kwamba huyo mwanamke hakufai!! kwa dalili za mwanzo mwanzo ilishagundulika utakuja kujuta sana baadae, endelea kumsikiliza huyo dada nakushauli kwa wema kabisa swala la ndoa na huyo escape kabisa kuanzia leo si tu kwa sababu ya uzazi laa.

Matatizo ya uzazi kwa wanawake kwa sasa sijambo jipya ama lakutisha sana kiasi huyo mchumba wako a react kiasi hicho tena mapeema kiasi hiki! Tena hajaona hata reaction yako. ndg. Hapo kuna mengi yaliyojificha tena mazito na kiufupi unataka kuuziwa mbuzi kwenye gunia na hao ndugu zake we wachekee tu et wakwe wakwe wakati hawana huruma na wewe huyo dada kasha ula mwingi tena humuwezi hata kwa umri tu.

We kesha anza ouongo mission za uongo uongo mapema kissing hiki mara cjui anaenda wap changamka bro hivi mbona mabint wadogo natural tena wazur hata kwa tabia wapo sana kinacho kupeleka kwa hawa old-school kitu gan! vijana bwana maisha bado tight sana bado ukapambane na matatizo ya mtu tena saa nyingine ni ya kutafuta kabisa acha uzwazwa.
Mtu ulikuwa nae kwenye mahusiano miaka minne hadi mitano uje tu umwache ki hivyo.
 
Kwa Jinsi nilivyosoma Story yako na Jinsi Huyo Mwanamke anavyofanya,kuna uwezekano mkubwa Ndoa Yako ikawa na Migogoro mbeleni. Ingawa Tunaambiwa Ndoa ni sheria Kuzaa ni Majaliwa, ila Kama Umeshakaa naye muda Mrefu bila Kushika Mimba Inabidi Uchanganye akili hapa. Uishi naye hivyo hivyo usisikilize ya Upande mwingine ingawa Ukishaoa tu Hao hao Wakwe watataka Mjukuu baadae na Watasahau kama Walijua Tatizo la Huyo Mwnamke...Binadamu ndivyo walivyo

Ingawa Kumbuka itafika Hatua Mtazoeana Humo ndani kila siku kuonana itafikia Hatua Pia Moyo wako utataka Mtoto(kuna Hisia Kali za Kutaka Mtoto huwa zinakuja)

So mkuu Changanya Akili vizuri hapo
 
Kwangu binafs namuona Kama mwanamke anayejitambua sana maana amegundua tatzo kaamua kulimaza binafs kwangu Sion Kama Kuna xhida
Kumpa Uhuru huo Mwanamke wa Kutatua Matatizo yake mwenyewe kuna Leta shida Baadae, Utashangaa anakaa na Marafiki zake wanamwambia "au Shemeji ndio ana Tatizo" Kwann usijaribu Kwingine ukinasa Ujue Shem ndio shida

Utajuta baadae Na Mwanamke akishaanza Kutaka Kuingia kwney ndoa huwa ajali kama Anaupendo. Yeye anataka Heshima ya Ndoa basi
 
Back
Top Bottom