Ushauri: Nahitaji kuchukua mkopo wa milioni 30 kwajili ya biashara ya mahindi

It can work ila uwe tyr kufeli..
 
Habarini wakuuu , Bhna Alhamdulillah namshkuru Allah kwa kila jambo nimetimiza nlichokisema kuwa ntarudi na feedback , Kama mtakua mmeona basi tutaendelea na hii thread kama sio basi nd mwisho wa hii thread leo kupost na ushaur mlionipa utawasaidia pia wataokuja badae ,

Nimepambana na mzgo sana tonne 32 na Nimefanikiwa kufkisha mpka mjini na Quality imekaa poa sana moisture 14 na Faida nimepata mzuri sana Alhamdulillah, Kwa yeyote atakayekua interested au ataekua sumbawanga au tunduma anichek tu inbox tutaendelea kuwasiliana.
 
Uliza bei ya gunia ukonuanpoenda kununua mahindi.
Tambua hao wachina wako wanapima kwa kutumia kuliko gani? Hii itakusaidia huko unapoenda kununua unajua utumie kipimo gani?

Take risk kwa akili. Uwezo wako wa kulipa hiyo pesa ukoje?
KAchukue mzigo wachina wakizingua saga uza unga itakulipa tu.
 
Saf sana mkuu na hongera kwa uthubutu naamini kabisa kuna muda tunajichelewesha wenyew kwenye kufanya maamuzi
...Mkuu unaeza kushare hata tange ya profit uliyopata???
 
Mkuu mpaka hapo ushafeli maana mambo mengi kuhusiana na hiyo deal hauna uhakika nayo, vitu vingi unasema UNASIKIA, Sasa pesa ya mkopo hiyo angalia isikutokee puani
Brother nimerud hapa nimefanya na nimeweza ☺️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…