Ushauri: Nahitaji kuchukua mkopo wa milioni 30 kwajili ya biashara ya mahindi

Ndio imebidi nianze kwnz ata tani 5 kisha badae nkiwa mzoefu ntaifanya kiukamilifu , swez kuita kujilipua kwsbb saiyo ntakua najua nnachokifanya kwa uhakika mkubwa hata ikifeli ghafla ntajua natakiwa nfanyaje saiyo
hapo upo sawa! Pia usitegemee soko moja mkuu kunakufel soko hilo.. Isije Ikakulazmu utafte wateja hata wa kuwapa mzgo kwa mkopo. Na angalia sample ya zao wanalotaka wateja wako
 
yahh kwakwel bro.. Sina namna ya kuifanya zaidi ya kukopa pesa na ushaur wenu naufanyia kaz kuanza kidg kidg ata tani 5 au 10

Na nlidokezwa kuhusu ufuta ila sa uzoefu huo nd sina kbsaaa amna hata ndg yangu anaejua huko ntapata hasara kubwa napaogopa 😂😂
Njoo kusini(Lindi&Mtwara) tununue ufuta mm nitakuwa mwenyeji wako mm nipo lindi nitakupa ABC zote kabla haujaanza biashara tena kama ukiwa tayari tuanze na milioni mbili,tatu au nne tu kulingana na mfuko wako ila mwezi huu wa tano mwishoni tuanze na ufuta wa bukubuku tupate tani mbili,tatu au nne tuwahi mnada wa kwanza gharani hautokuja kujutia niamini mm kaka halafu mnada wa kwanza ukisoma unaanzia Tsh 3500+hapo utaamua mwenyewe kuongeza mtaji au tuendelee mdogo mdogo ila ufuta una hela sana.Asante
#Tujiajiri
 
NIna swali ....milioni 30 mkopo...kwa wastani unatakiwa kurudisha shs ngapi kwa kila mwezi
Inategemea unauchukua kwa muda gani kama ni benki. Mfano kama unauchukua Wa miezi 12, rejesho linachezea 2.9M mpaka 3M kulingana na riba waliyokupa. Ukilipa miezi 24 rejesho litapungua ila utalipa hela nyingi sababu riba inakuwa mara mbili
 
hapo upo sawa! Pia usitegemee soko moja mkuu kunakufel soko hilo.. Isije Ikakulazmu utafte wateja hata wa kuwapa mzgo kwa mkopo. Na angalia sample ya zao wanalotaka wateja wako
Sawa Nimeongeza hapo ( Kuanza kidogo + Kutafuta Masoko tofaut tofaut) noted Sir
 
Njoo kusini(Lindi&Mtwara) tununue ufuta mm nitakuwa mwenyeji wako mm nipo lindi nitakupa ABC zote kabla haujaanza biashara tena kama ukiwa tayari tuanze na milioni mbili,tatu au nne tu kulingana na mfuko wako ila mwezi huu wa tano mwishoni tuanze na ufuta wa bukubuku tupate tani mbili,tatu au nne tuwahi mnada wa kwanza gharani hautokuja kujutia niamini mm kaka halafu mnada wa kwanza ukisoma unaanzia Tsh 3500+hapo utaamua mwenyewe kuongeza mtaji au tuendelee mdogo mdogo ila ufuta una hela sana.Asante
#Tujiajiri
Kwahio ufuta tunauzia wapi kwenye maghala ya serikali au ?? Na pesa za ghala huwa unalipwa baada ya mda gani??
 
Kwanini upeleke kwa wachina usubiri Siku zote 3?? Mahindi Uza pale Soko la Manzese malipo ni chap Mara baada ya kushusha mzigo na kupimwa kilo!
Kumbe!!! Mbona naskia pale kuna kutapeliwa au ushawai kufanya hapo unipe experience yako??
 
Hapana nimeanza biashara ya vitunguu maji na Alhamdulillah sjakaa na hao wafanyabiashar kuwafanyia kaz na kumbuka ile pia ni mali kuoza na mpk saiv naendelea nayo vzur na nshakua vzur kuliko ata wenyeji , nimejifunz kupitia huko huko makosa nlioanza nayo
Ukipata muda nakuandalia gunia 100 za vitunguu uje uchukue na kwanguu
 
Wakuu nimeorodhesha maoni yenu muhimu mpaka sasa Kama kuna ambalo nimesahau au linafaa basi mnikumbushe:

Ushauri muhimu kutoka kwa wadau jamii forum niliopata mpaka sasa

1 : Kuanza na mzigo na pesa kidogo

2: Kutafuta Masoko tofaut tofaut ili likibuma moja unaend lingine kuepusha hasara.

3: Kuzingatia Quality kwa kununua Vifaa vya kupimia Moisture
 
Kisa umefany Bizznes y vitunguu unaon unauzoef n indstry. Kweny kilimo hmn guaeantee mamb yatanyook. Kil biashar ina changamot zke. Na imani vtunguu ulikuw unalangua n kuuza kw wafany biashar au kw mlaj direct. Ila hii y kuuzia kampun n tofaut.

Ten hio y kuchukua mzgo n kuwauzua wachin. Uwa wan wat wao wanao nunua mzgo kwao (cartel) kam sio member inabid ulipie Fee y kujiung ata bodabod wan vijiwe sio kuchukua tu watej

Bdo kun dalali. Bdo kuna ile mchina kashush bei y kununulia mzgo kw sabab supply n kubw n wew umechukua mkopo

Kun kuleta mzgo ukalipw baad y mwezi....
Wa kulim wanategemea mvua lazima ucheze n supply n drmand uhakikixhe mzigo unakua nao wakat wte kwa fair price....

Kuna wafanyabiashr wakubw kula deal l kuuzian wao kwa wao....
captain zaka lower your expectation play yiur Odds/ card smart
 
Kumbe!!! Mbona naskia pale kuna kutapeliwa au ushawai kufanya hapo unipe experience yako??

Kumbe!!! Mbona naskia pale kuna kutapeliwa au ushawai kufanya hapo unipe experience yako??
Hizi biashara anaenda kusumbuana na madalali tu Manzese.Ni biashara kichaa mno.

Unafika unatajiwa bei mbovu, mwenye gari anataka ushushe aondoke, ukicheki mzunguko wote faida Laki..Bora aende kununua ufuta kama mdau alivyomuambia hapo juu
 
Njoo kusini(Lindi&Mtwara) tununue ufuta mm nitakuwa mwenyeji wako mm nipo lindi nitakupa ABC zote kabla haujaanza biashara tena kama ukiwa tayari tuanze na milioni mbili,tatu au nne tu kulingana na mfuko wako ila mwezi huu wa tano mwishoni tuanze na ufuta wa bukubuku tupate tani mbili,tatu au nne tuwahi mnada wa kwanza gharani hautokuja kujutia niamini mm kaka halafu mnada wa kwanza ukisoma unaanzia Tsh 3500+hapo utaamua mwenyewe kuongeza mtaji au tuendelee mdogo mdogo ila ufuta una hela sana.Asante
#Tujiajiri
Kwa galama za kukaa gest wakati wa kukusanya mzigo w milioni 2-3 itakua Bei gani? Na bei za kubeba kupeleka kwenye stoo y mnada bei gani? Na mengineyo.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Kisa umefany Bizznes y vitunguu unaon unauzoef n indstry. Kweny kilimo hmn guaeantee mamb yatanyook. Kil biashar ina changamot zke. Na imani vtunguu ulikuw unalangua n kuuza kw wafany biashar au kw mlaj direct. Ila hii y kuuzia kampun n tofaut.

Ten hio y kuchukua mzgo n kuwauzua wachin. Uwa wan wat wao wanao nunua mzgo kwao (cartel) kam sio member inabid ulipie Fee y kujiung ata bodabod wan vijiwe sio kuchukua tu watej

Bdo kun dalali. Bdo kuna ile mchina kashush bei y kununulia mzgo kw sabab supply n kubw n wew umechukua mkopo

Kun kuleta mzgo ukalipw baad y mwezi....
Wa kulim wanategemea mvua lazima ucheze n supply n drmand uhakikixhe mzigo unakua nao wakat wte kwa fair price....

Kuna wafanyabiashr wakubw kula deal l kuuzian wao kwa wao....
captain zaka lower your expectation play yiur Odds/ card smart
sawa kaka hapo nimeelewa, ila uzoefu nliomaanishia ni ule wa mashamban na usafirishaji na kutembea chaka to chaka na sio uzoefu wa kwend kwny makampun hio bado maake nlichozoea ni kuuzia wafanyabiashara wenzangu tu kwaiy suala lako nimeelewa na ntafanyia kaz
 
Kwa galama za kukaa gest wakati wa kukusanya mzigo w milioni 2-3 itakua Bei gani? Na bei za kubeba kupeleka kwenye stoo y mnada bei gani? Na mengineyo.
KAZI ni kipimo cha utu
Hizo tani mbili mpaka tani tano unaweza kukusanya ndani ya siku tano tu tena ufuta ukichannganya sana hata siku mbili au tatu unazipata na hata zaidi ya tani hizo tena ukienda kwa wasukuma unaweza ukaishiwa na hela kabisa mana kuna kijiji kinaitwa nambunju huko wengi wasukuma wanauza ufuta mpaka gunia mia moja yaani tani kumi kwasababu hawapendi kupeleka mzigo wao gharani halafu wasubirie hela ziingizwe kwenye account wao hawapendi utaratibu huo wanataka wakiuza mazao yao wanataka hela yao cash sio uwaambie kusubiri sijui mambo ya bank wao Hawataki kabisa.Njoeni kusini msimu wa ufuta hela zipo huku vijana wenzangu.Asante
#Tujiajiri
 
Back
Top Bottom