Ushauri: Nahitaji kuchukua mkopo wa milioni 30 kwajili ya biashara ya mahindi

Alhamdulillah Nazidi kumshkuru Mungu kupiga hatua Nimekuja kenya na mambo yakaend vzur japo msimu nd unaishia ishia wa ku export , Ila nimependa kufanya nao kazi wako straight , hawana mbambamba na sasampa wanazo 😂 na currency yao kubwa


kama unajua biashara nyingine tofaut na hii ambayo una export kwenda kenya nitaarifu tupeane deals ntakupA percent kidogo kama ni mchele au maharage etc ambao kwa sasa nd msimu na soko uje nalo





 
Mwamba hongera sana u did it home boy

Wanasema ukitaka kutoboa basi pita njia ambayo watu hawapiti,umelidhibitisha hilo

Na umedhibitisha kwamba hofu ya wengi sio ndio hali halisi iliyopo field

Wadau wengi walionyesha hofu kubwa sana ya kupoteza lkn umesimama kama chuma na kusonga mbele

Umethubutu home boy
 
🙂🙂 ndio brother na nliwaahid ntarud ima nkifelo au nkifaulu , thread yangu ipo ingn muendelezo ukitaka kujifunza we fatilia
 
Hatari sana
 
🙂🙂 ndio brother na nliwaahid ntarud ima nkifelo au nkifaulu , thread yangu ipo ingn muendelezo ukitaka kujifunza we fatilia
Nimeisoma nayo pia home boy,nimejifunza kutoka kwako ujasiri hata pale wengi wanapo kukatisha tamaa

Na hata wale ambao walicomment hovyo bado ulikuwa mtulivu na hukuruhusu hisia zikutawale

Hope huko mbeleni ntakutafuta nitapoingia kwenye hizo business kwa ushauri na connection

Stand tall mpaka kieleweke home boy
 
karibu brother
 
Natamani kupata ABC's hapo kwenye kipengele cha kuaandaa vituo vya ukusanyaji wa mzigo.

1. Kama nimekuelewa vizuri maana yake ni kwamba vinakuwa sehemu mbalimbali kwenye uzalishaji mkubwa wa zao husika, je unatumia mfumo upo kulangua hayo mazao kutoka kwa wakulima wa maeneo husika?

2. Itakuhitaji kuwa na main base ambayo itakuwa ni special kwaajili ya kutunza mazao uliyoyapata kutoka vituo hivyo vya ukusanyaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…