Ushauri: Nahitaji kuchukua mkopo wa milioni 30 kwajili ya biashara ya mahindi

Mkopo unachukua wapi we ni mtumishi au
Hapana sio mtumishi Nimemaliza chuo mwaka juz nikaanz kaz za sokon kuuza vtunguu maji nkapata pesa nkannua kiwanja kikubwa hivyo nafatilia hati kisha nichkue mkopo kiwanja kikubwa sana chenye iyo thaman kw sasa
 
Kila kubwa unaloshauriwa unasema unaelewa, umefanyia research tayari. Sasa kama unaelewa na ushafanya research umekuja kuomba ushauri wa nini mkuu?
Nimesema nimefanyia research na bado naendelea na research na nimeomba ushaur zaidi , elewa ushaur zaidi
 
Kila kubwa unaloshauriwa unasema unaelewa, umefanyia research tayari. Sasa kama unaelewa na ushafanya research umekuja kuomba ushauri wa nini mkuu?
Nimesema nimefanyia research na bado naendelea na research na nimeomba ushaur zaidi , elewa ushaur zaidi
 
Kutoka hapo Dar hadi Kibaha haizidi elfu 10, nimesikia nimesikia zitakupoteza
 
Kuna watu wanakopesheka million 30 mie hata buku nakopeshwa kwa masimango
halafu wanakopesheka huku hawajui hata wafanyie nini hizo hela mkuu🥲🥲😔
 
Kutokana na maelezo yako kaka ambayo ni "yakusikia" nakushauri achana na hiyo biashara maana kama
Unavyoswma "umesikia" kisha unakuja tena JF ili uambiwe "usikie tena"

Kama unataka kufanya hiuo hiahsara tenga mda wa kurosha ingia field kwa kuifanyia research nenda huko kwa wachina pata taarifa kutoka kwao wanataka mahindi gani..

rudi shamban fanyia study kuanzia shambani usafirishaji hadi sokoni.. hakikisha unajipa Mda wa kutosha kisha kama utaanza anza na "pilot" yaan wewe unataka kujilipua na kukunua tani nyingi kwa habari za kusikia.. ndio kweli umaskini wetu wabongo unaanzia kwa kutokuwa na Elimu ya "money managment" na biashara... wabongo tunafikiri pesa ni kwa ajili "kununulia
Bidhaa au mahitaji au huduma" tu.. pesa ni nyenzo ...

ndugu biashara yoyote lazima ianze kwa awamu.. hata viwanda vikubwa wakiingiza product mpya sokoni hawaizalishi kwa kiwango kikubwa
 
shukran kaka
 
Asipokusikiliza,anaenda kutoa chozi.
 
Mkopo kwa biashara ya kusikia huyo ni shetani anataka hela yako.
 
Tafuta mtu mzoefu wa biashara hio akushike mkono usikope anza na tani moja ili kupata uzoefu ukishakuwa mzoefu ndo unaweza kopa nje ya Hapo unafanya betting
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…