USHAURI: Nani asimame kati ya Baba mlezi na Baba mzazi kwenye send off na harusi!!

USHAURI: Nani asimame kati ya Baba mlezi na Baba mzazi kwenye send off na harusi!!

Baba mlezi ndio apewe kila kitu na iwe funzo kwa wa baba janja janja wanaodhani kua baba Ni kutoa tu shahawa ,,matunzo jamani hela hela hela mtu katoa hela zake kiroho Safi huyo ndio baba
 
Afanye kwa baba mlezi maana ndio aliyemlea. Huyo mwingine ni sperm donor tuu. Uzuri wa watoto wa siku hizi kama baba ulimwacha udogoni ukubwani naye anakupa doubt.
Sababu ya kijinga. Eti kwa baba mlezi sababu ndo alimlea! Mie nikisema kwa baba mzazi maana ndo alimzaa? Acheni upumbavu. Wazazi wote washiriki. Baba mlezi ashirikiane na baba mzazi wapokee mahari ya mtoto
 
Baba mlezi ndio apewe kila kitu na iwe funzo kwa wa baba janja janja wanaodhani kua baba Ni kutoa tu shahawa ,,matunzo jamani hela hela hela mtu katoa hela zake kiroho Safi huyo ndio baba
Mimi Nina Watoto na wife Mdogo wake she passed away, naishi na mtoto wake pia na baba yake mzazi yupo hai sijui kama wife huwa anapokea sapoti kwa siri au vipi lakini in short sioni support yoyote lakini sitaki kuvaa ubaba mzazi, nitabaki kuwa mlezi na sitalajii chochote kutoka kwake.
 
K
Ndo maana singlemom hatuolewi kwa sababu ya wanaume kuogopa kupata mwanamke na mtoto wasio na akili wala shukrani.Cha kujiuliza ni nini hapo sasa? 😏
Single mother una shida gani tena just relax
 
Watu wemgi wanamshauri kuwa Aende kwa Baba mzazi.
Kwa sababu ni mzazi mwenye mtoto.
Na ndio ukweli. Hayo mengine machuki ya kijinga tu. Eti alishiriki kidogo kumlea. Unamzani wa kupima kiasi cha malezi? Jinga kabisa. Mzazi ndiye. Uzazi hauji kwa kulea. Uzazi ni parentage. Huwezi badilisha. Shida mawazo yenu yapo kwenye mali ndo maana mmekosa hata busara
 
Binti yeye anapendelea Baba mlezi ndo ahusike.
Hata zawadi ya gari yeye ndo anataka ampe.
Huyu binti ana akili. Ndoa yake itadumu kwa furaha na amani. Hata asiwe in doubts. Afanye hivi aendelee na maisha yake. Huu upuuzi wa mtu kujiita mi ndo baba ako mimi ndo baba ako kisa tu biology imekuwa involved ni ujinga. Kuwa baba ni majukumu. Full stop. Aliyekimbia majukumu apigwe chini
 
Wengi watasema ila yeye je?? Na mama yake anamshauri nini?? Mkuu kuwa mzazi wa mtoto its not about kuchangia mbegu za kuzalisha je alimlea mwanae? Hapo kwa mimi naona mzazi wa mtoto ni baba mlezi aliyemlea toka mdogo mpaka kamaliza chuo akamtafutia na kazi. Mwisho wa siku aangalie whats best for her
Pumbavu wewe! Uzazi maana yake kuchangia mbegu ndiyo! Mbona mnageuza vitu kijinga? Uzazi ni nini sasa? Anakwambia alimlea kidogo! Ana mzani wa kupima kiasi cha malezi. Aende kwa mzazi wake aachane na laana hizo.
Kwa kuwa na mlezi yupo ashirikiane na mzazi wapokee mahari. Kwisha!!
 
Back
Top Bottom