Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wengi hamjui matatizo ya kwa nini baba anaweza kufikia maamuzi ya kusalenda kuhusu mtoto, Inahitaji maturity kuyajuwa haya mambo kwa undani.Mtoto alihitaji kulelewa sio kuzaliwa.
Alizaliwa bila kupenda,akapenda apate malezi Bora.
So hapo baba mlezi ndo muhusika na siye mzazi.
Mlivyokuwa hamna akili Alphard mnaona kama kitu cha maana sana, mafuta atakuwa anaweka yeye?Na zawadi ya alphard je kwa Baba mlezi
Hakuna sababu ya mzazi iwe baba au mama, kukacha kumtunza mtoto Kisa ugomvi wao.Wengi hamjui matatizo ya kwa nini baba anaweza kufikia maamuzi ya kusalenda kuhusu mtoto, Inahitaji maturity kuyajuwa haya mambo kwa undani.
Watu kama nyie ndio mnachangia ongezeko LA watoto wa mtaani.Wengi hamjui matatizo ya kwa nini baba anaweza kufikia maamuzi ya kusalenda kuhusu mtoto, Inahitaji maturity kuyajuwa haya mambo kwa undani.
Wewe ni mtoto huna unalolijuwa.Hakuna sababu ya mzazi iwe baba au mama, kukacha kumtunza mtoto Kisa ugomvi wao.
Sababu ya kijinga. Eti kwa baba mlezi sababu ndo alimlea! Mie nikisema kwa baba mzazi maana ndo alimzaa? Acheni upumbavu. Wazazi wote washiriki. Baba mlezi ashirikiane na baba mzazi wapokee mahari ya mtotoAfanye kwa baba mlezi maana ndio aliyemlea. Huyo mwingine ni sperm donor tuu. Uzuri wa watoto wa siku hizi kama baba ulimwacha udogoni ukubwani naye anakupa doubt.
Mimi Nina Watoto na wife Mdogo wake she passed away, naishi na mtoto wake pia na baba yake mzazi yupo hai sijui kama wife huwa anapokea sapoti kwa siri au vipi lakini in short sioni support yoyote lakini sitaki kuvaa ubaba mzazi, nitabaki kuwa mlezi na sitalajii chochote kutoka kwake.Baba mlezi ndio apewe kila kitu na iwe funzo kwa wa baba janja janja wanaodhani kua baba Ni kutoa tu shahawa ,,matunzo jamani hela hela hela mtu katoa hela zake kiroho Safi huyo ndio baba
Acha kumpoteza wewe! Hakuna mbadala wa mzazi. Ndiyo maana huna akili sababu hawazi vyemaHata mwenyewe nimemwambia hivyo.
Wewe huna akili, Mimi Nina extended family Nyumbani kwangu, usidhani kila mtu anaongozwa na mihemko kucomment.Watu kama nyie ndio mnachangia ongezeko LA watoto wa mtaani.
Single mother una shida gani tena just relaxNdo maana singlemom hatuolewi kwa sababu ya wanaume kuogopa kupata mwanamke na mtoto wasio na akili wala shukrani.Cha kujiuliza ni nini hapo sasa? 😏
Na ndio ukweli. Hayo mengine machuki ya kijinga tu. Eti alishiriki kidogo kumlea. Unamzani wa kupima kiasi cha malezi? Jinga kabisa. Mzazi ndiye. Uzazi hauji kwa kulea. Uzazi ni parentage. Huwezi badilisha. Shida mawazo yenu yapo kwenye mali ndo maana mmekosa hata busaraWatu wemgi wanamshauri kuwa Aende kwa Baba mzazi.
Kwa sababu ni mzazi mwenye mtoto.
Huyu binti ana akili. Ndoa yake itadumu kwa furaha na amani. Hata asiwe in doubts. Afanye hivi aendelee na maisha yake. Huu upuuzi wa mtu kujiita mi ndo baba ako mimi ndo baba ako kisa tu biology imekuwa involved ni ujinga. Kuwa baba ni majukumu. Full stop. Aliyekimbia majukumu apigwe chiniBinti yeye anapendelea Baba mlezi ndo ahusike.
Hata zawadi ya gari yeye ndo anataka ampe.
Acha ujinga wewe! Mtoto aende kwa mzaziNdo maana singlemom hatuolewi kwa sababu ya wanaume kuogopa kupata mwanamke na mtoto wasio na akili wala shukrani.Cha kujiuliza ni nini hapo sasa? [emoji57]
Wewe ni matako makubwa sanaNa ndio ukweli. Hayo mengine machuki ya kijinga tu. Eti alishiriki kidogo kumlea. Unamzani wa kupima kiasi cha malezi? Jinga kabisa. Mzazi ndiye. Uzazi hauji kwa kulea. Uzazi ni parentage. Huwezi badilisha. Shida mawazo yenu yapo kwenye mali ndo maana mmekosa hata busara
PoleAcha ujinga wewe! Mtoto aende kwa mzazi
SawaK
Single mother una shida gani tena just relax
SawiaSawa
Kama pilipili hoho.Wewe huna akili, Mimi Nina extended family Nyumbani kwangu, usidhani kila mtu anaongozwa na mihemko kucomment.
Unapoona mtu amekuzidi umri elewa ameona mengi.
Pumbavu wewe! Uzazi maana yake kuchangia mbegu ndiyo! Mbona mnageuza vitu kijinga? Uzazi ni nini sasa? Anakwambia alimlea kidogo! Ana mzani wa kupima kiasi cha malezi. Aende kwa mzazi wake aachane na laana hizo.Wengi watasema ila yeye je?? Na mama yake anamshauri nini?? Mkuu kuwa mzazi wa mtoto its not about kuchangia mbegu za kuzalisha je alimlea mwanae? Hapo kwa mimi naona mzazi wa mtoto ni baba mlezi aliyemlea toka mdogo mpaka kamaliza chuo akamtafutia na kazi. Mwisho wa siku aangalie whats best for her