Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Ila wanaume chaaaa, kuna boya mwingine nilidate naye for 3 yrs pia tukahitilafiana likaenda kuoa ex wake ambaye ni baby mama wake cha ajabu family yake wananijia na hizo nyimbo mie ndio chaguo lao. Nikakaza chaguo leo my foot, nikablock wote nikamove on akakaa akarudi eti hawezi kunisahau akanipigia na namba ngeni tuendelee nikakata nikablock mpaka kesho. Move on Dada achana na hizo drama zitakupotezea muda wako.
 
sophy27 Nakaziaaaaaa!!
 
😁😁😁
 
Nyie wanawake mnawatoaga wapi hawa majamaa wanaowla mbususu miaka nenda rudi bila kujitambua?
Aisee kweli uchawi upo. Yaani kabisaa miaka mitatu jamaa anakukojolea burebure tuu.🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ukipata aliyekuzidi kipato shikilia hapo hapo ilimradi utelezi unapata....maana mapenzi ni kizungumkuti tu ,hata tuliowazidi kipato wanatupasua vichwa.
 
Njoo uchepuke na mimi afu tuhakikishe kabisa amejua. Tukipata katoto ketu itapendeza zaidi
 
Nyie wanawake mnawatoaga wapi hawa majamaa wanaowla mbususu miaka nenda rudi bila kujitambua?
Aisee kweli uchawi upo. Yaani kabisaa miaka mitatu jamaa anakukojolea burebure tuu.🀣🀣🀣🀣🀣
Muone ulivyo mwehu wewe ulitaka mahusiano yawe ya miezi 2😁😁😁
 
Wee acha tu sijui tunakuwa vichwa tumepeleka wapi sijui ni ile unajifanya unavuta subira kumbe mwenzio ana lake kichwani 🀣
Nyie wanawake mnawatoaga wapi hawa majamaa wanaowla mbususu miaka nenda rudi bila kujitambua?
Aisee kweli uchawi upo. Yaani kabisaa miaka mitatu jamaa anakukojolea burebure tuu.🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…