Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Ila wanaume chaaaa, kuna boya mwingine nilidate naye for 3 yrs pia tukahitilafiana likaenda kuoa ex wake ambaye ni baby mama wake cha ajabu family yake wananijia na hizo nyimbo mie ndio chaguo lao. Nikakaza chaguo leo my foot, nikablock wote nikamove on akakaa akarudi eti hawezi kunisahau akanipigia na namba ngeni tuendelee nikakata nikablock mpaka kesho. Move on Dada achana na hizo drama zitakupotezea muda wako.
 
sophy27 Nakaziaaaaaa!!
 
😁😁😁
 
Nyie wanawake mnawatoaga wapi hawa majamaa wanaowla mbususu miaka nenda rudi bila kujitambua?
Aisee kweli uchawi upo. Yaani kabisaa miaka mitatu jamaa anakukojolea burebure tuu.🤣🤣🤣🤣🤣
 
😊😊 Jimbo lipo wazi.. Ila kula za maoni tu chaliii
mzabzab..

Ila nimeona mwanamke akiwa kakuzi hela, mapenzi kudumu ngumu sana, utaishia manyanyaso.. Hili nilisha experience, nilikuwa na mdada kanizi pesa nilinyooka, ila kwakua mie maskini jeuri nilikata kamba 🤣🤣🤣 kuliko nadharauu
Ukipata aliyekuzidi kipato shikilia hapo hapo ilimradi utelezi unapata....maana mapenzi ni kizungumkuti tu ,hata tuliowazidi kipato wanatupasua vichwa.
 
Nilikuwa kwenye serious relationship miaka 3 hiv na tulipanga tufunge ndoa mwaka huu baada ya kuwa mbali akaamua kurudiana na x wake namwisho akakubali kuwa kweli wamerudiana na kizurizaidi alisema sijawahi mkwaza na hakuwa na sabbu ya msingi ya kunifanyia hivo nikaona Riziki tu kumbe Ilikuwa imeisha maisha yaendelee.

Ila nilikuwa nawapendasana yeye familiayake na hata mtotowake na nilikuwa nawaona km nduguzangu kabisa lakin baada ya hayo sitaki mazoea nae kabisa niishi maisha yangu.

Shida ni kuwa analazimisha tuwe karibu na mm nilishakataa nishamblock mara kadhaa lakin atatafuta namba anipigie mara anitext nikaona nimuunblock tu ndugu zake Bado wananitafuta mara hiv mara hivi, naona wananirudisha nyuma Kila wakat mnipe mbinu mpya sitaki kusikia habarizao kabisa.
Njoo uchepuke na mimi afu tuhakikishe kabisa amejua. Tukipata katoto ketu itapendeza zaidi
 
Nyie wanawake mnawatoaga wapi hawa majamaa wanaowla mbususu miaka nenda rudi bila kujitambua?
Aisee kweli uchawi upo. Yaani kabisaa miaka mitatu jamaa anakukojolea burebure tuu.🤣🤣🤣🤣🤣
Muone ulivyo mwehu wewe ulitaka mahusiano yawe ya miezi 2😁😁😁
 
Wee acha tu sijui tunakuwa vichwa tumepeleka wapi sijui ni ile unajifanya unavuta subira kumbe mwenzio ana lake kichwani 🤣

Back
Top Bottom