Mitchell
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 904
- 1,036
Ila wanaume chaaaa, kuna boya mwingine nilidate naye for 3 yrs pia tukahitilafiana likaenda kuoa ex wake ambaye ni baby mama wake cha ajabu family yake wananijia na hizo nyimbo mie ndio chaguo lao. Nikakaza chaguo leo my foot, nikablock wote nikamove on akakaa akarudi eti hawezi kunisahau akanipigia na namba ngeni tuendelee nikakata nikablock mpaka kesho. Move on Dada achana na hizo drama zitakupotezea muda wako.