Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Punguza hasira Shangazi. Namna nzuri panapo wezekana unajibu na pasipo wezekana hujibu. Yes yako iwe Yes na No yako iwe No, sio kila mtu anachotaka lazima akipate weka mipaka kwenye mawasiliano tu
Kweli ananitia hasira hasa Yan nikiona sms kutoka kwake nahis kupata kichaa lkn nitajitahidi shangazi
 
Kweli mwanawane. Kumbe hawa warembo ukiwa na hela unaweza ukawa wajilia utamu tuu bila ata kumuoa. Sii umeona mwengine hapo kasema jamaa alikuwa anakula mbususu miaka saba
Nimeet nae alivotoka chuo tu hata kazi alikuwa Hana ukiona mwanamke wako anaangalia pesa kajichunguze vizuri unashida mahali au lah hupendwi
 
Mwanaume kbsa aseme mmeachana kwa sababu ya ubaya fkani? Haipo hyo labda akukute umechepuka. Atalazimisha kukueka karb ili apashe kiporo every once in a while.
Tuliza kipele, hasira hua zinaisha. Kwanza it seems bado mdogo, spidi ya nini? Piga mishe pata hela. Mapenz yapo tu.
 
Kweli ananitia hasira hasa Yan nikiona sms kutoka kwake nahis kupata kichaa lkn nitajitahidi shangazi
Shida ipo kwako Shangazi yangu. Maandiko yanasema

Mithali 29:11 SRUV
Mpumbavu hudhihirisha hasira yake yote; Bali mwenye hekima huizuia na kuituliza.

Kuwa mwenye hekima shangazi yangu. Usi ji stress shangazi kwa sababu ya external force. Upo mzuri una akili why Aunt una fail jamanj
 
Mwee kumbe ulikuta nae alivyotoka chuo...ah huyo nyege tuu zilikuwa zinamsumbua. Kubalintuu kuwa ulikuwa kipozeo. Hakukupenda.
🀣🀣🀣🀣Ila kweli bhna lkn x baada ya kujua nipo na tulikuwa hatujaachana akanywa sumu nikaona sio poa aisee mapenz yasitufikishe huko
 
noma sana
😊😊 Jimbo lipo wazi.. Ila kula za maoni tu chaliii
mzabzab..

Ila nimeona mwanamke akiwa kakuzi hela, mapenzi kudumu ngumu sana, utaishia manyanyaso.. Hili nilisha experience, nilikuwa na mdada kanizi pesa nilinyooka, ila kwakua mie maskini jeuri nilikata kamba 🀣🀣🀣 kuliko nadharauu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…