Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Iyo ndo shida namba moja naiona sidhani km tungekuwa karibu tungefikia hiv pia mm mwajiriwa kurudi huko ni. Changamoto lkn ndo maisha
Sophy,
Unapaswa kujua kilichosababisha jamaa kukucheat Ni distance, na sio yeye.
(Seems alizidiwa Sana,miez 6 sio mchezo)

Na Hakuna mwanaume utakua mbali eti asikucheat, hiyo haipo.

Solution Ni kuomba uhamisho muwe karibu MDA mwingi,

jamaa yako anakupenda Sana,
Nanupendo wake ulopitiliza umezaa Ujinga akadhani akikiri utamsamehe, kumbe ndo anajikaanga na mafuta yake mwenywe.

Msamehe jamaa muendelee na maisha,
Nmemuonea Sana huruma, ushamba mwingi
 
Kwakweli mm falasana🀣🀣🀣🀣
 
Ni mdada mwenye hiki kisa, mwanaume ndio anazingua.
 
Mbona mpo upande mmoja? Hapa mnatetea upande mmoja hamjui pia shida upande wa pili Bruuu. Hawa wanawake wenye hela na kazi zao ni mateso humu basi tu.. Wanawake wapo busy na hela na kazi kama ndio vime wao, ambavyo vinapelekea sie kutafuta faraja nje huko.. Naona hata huyu bi Aunt nae kuna mahala alikuwa anakosea
 
Hili ni jibu kabisa
 
Pole sana Madam Sophy bila shaka wewe ni mwanamke mwelevu sana hiyo hali unayoipitia sasa ni ya mpito tu InshaAllah baada ya muda utamsahau na ku move On.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…