Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Aisee kiukweli tangu huko mwanzo tunapendana sana hta sahiz mtu umwambie tumeachana hawez amini ila uaminifu ni km glass ya kioo kaka ukivunja haiwez kurudi Tena na alikiri kweli lkn Kuna mawil kuwin au kupoteza huwez jua mtu anachowaza n kma hakuna nilichomkwaza maana yake hakuona thamni tu ya upendo ya nn nijifanye kupnda sana
Asingekiri msingefika kote uko,
ungebaki dilemma na maisha yangeendelea

Nyie wanawake huwa mnaamini Zaid mnachosikia kuliko hata kile mnachokiona.

Msamehe na maisha yaendelee,
Hapo ex wake alitumia udhaifu wa distance na nyege za jamaa kumanipulate mahusiano yenu.
 
Wee tulia tuu...huyo Kelsea nae atakuja kulia hapa sii amejidai kunyima kile kitu moyo inapenda kaenda kwa andunje mwenye hela. Ataisoma namba. Tuombe uhai tuu hapa
Kutangaza umeshindwa Jimbo mapema yote Hii Ni fedhea mkuu
 
Nilikuwa kwenye serious relationship miaka 3 hiv na tulipanga tufunge ndoa mwaka huu baada ya kuwa mbali akaamua kurudiana na x wake namwisho akakubali kuwa kweli wamerudiana na kizurizaidi alisema sijawahi mkwaza na hakuwa na sabbu ya msingi ya kunifanyia hivo nikaona Riziki tu kumbe Ilikuwa imeisha maisha yaendelee.

Ila nilikuwa nawapendasana yeye familiayake na hata mtotowake na nilikuwa nawaona km nduguzangu kabisa lakin baada ya hayo sitaki mazoea nae kabisa niishi maisha yangu.

Shida ni kuwa analazimisha tuwe karibu na mm nilishakataa nishamblock mara kadhaa lakin atatafuta namba anipigie mara anitext nikaona nimuunblock tu ndugu zake Bado wananitafuta mara hiv mara hivi, naona wananirudisha nyuma Kila wakat mnipe mbinu mpya sitaki kusikia habarizao kabisa.

View attachment 2370362View attachment 2370363View attachment 2370364

Sasa bibie ulikubali vipi kuwa katika mahusiano miaka mi 3 bila ndoa ? Na nyinyi nyote Waislamu na Uislamu umerahisisha jambo la ndoa.

Haya yanayo kukuta ni machumo ya mikono yako, kwa maana angalia wapi ulikosea Kisha rekebisha ulipo kosea.

Kingine unatakiwa uwe na msimamo kama umeamua kuachana nae, basi fungal milango yote ya wewe kuwa karibu naye.
 
Now namchukia sana yaani

Ananipenda baada ya kujua nimegundua ukweli niliongea sana na hkunjibu zaiid alinambia tu tutaongea hasirazako zikiisha Hadi Leo hazijawah kuisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]pia namba ya msichana alinipa mwenyew nimpigie sema baada kumpigia msichana akatishia kunywa sumu nikaona mapenz Sio vitu vyangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ndo ya kwanza Kwa miaka yote napata na uhakika zingine sijawah kuhis Wala kujua pia tulikuwa kwenye open relation ship yaan ukidate nae uwe na rohongumu sana maana nikiwepo tu lazima upigwe stop Kwa muda
Kwa maelezo yako,

Hivi uyo Jamaa yako ana umri gani?

Mbona Kama anaonekana mshamba mshamba Sana?

Anaonekana Kama ana mapenzi ya kisekondari,

Uyo jama ni mwanaume au mvulana?
 
Pole sana bi mkubwa hiyo hali ni ya kawaida sana na mimi sitakupa ushauri wa moja kwa moja ila ntazungumzia vitu vichache nilivyo note na hasa kutokana na screenshot:
1: from the beginning ni wazi kuwa mnapendana sana...we unampenda na yeye anakupenda ndio maana kila mmoja ni kama hayuko tayari kumpotezea mwenzie...
2: ikiwa ndugu zake na yeye mwenyewe still wanakufatilia basi hata wao wanapenda wewe uendelee kuwa karibu na ndugu yao....(hapa sasa kuna reason ambayo wanaijua wao but probably inaweza kuwa financial services maana naona hata screenshot zako ni kama wewe ni financial supporter wao)
3: kama mwanaume anakupenda lakini akaamua kuoa kwa sababu ya umbali and still anakutafuta na haogopi kukutafuta kuliko kumkwaza mke wake mpya.....there is something strange here ...pengine hampendi kama anavyokupenda wewe, pengine alikuwa forced na ndugu, marafiki au jamaa kuwa na huyo mwanamke etc lakini hapa unayeutesa moyo ni WEWE tu wala sio yeye.
Utafanya nini sasa:
Wote ni waislamu (screenshot zinasema) na waislamu kuoa hakuna ukomo mkalishe chini mwambie akuoe uwe mke halali ikiwa uko tayari na yeye atakuwa huru zaidi lakini utakuwa umeuponya moyo wako na nafsi yako itafurahi maana huwezi kubisha unampenda sana kwa nini uishi kwa stress wakati kupendacho moyo kipo
Naogopa hata kama utaingia kwenye mahusiano mapya hutadumu kwa kuwa bado moyo upo huko na hata hisia zipo huko mwanaume utakayekuwa naye atapata little attention hatimaye mtaachana
Ikiwa itaamua kuachana naye mazima basi usitumie nguvu kuubwa kumblock wala kublock ndugu zake...endelea kuchart naye kawaida sana akikutext mjibu kiroho safi akipiga pokea ongea naye vizuri tu na ndugu zake ongea nao au chart nao vizuuri tu wala usioneshe una ugomvi au hasira nao...but wewe weka msimamo wako kuwa umemuacha taratiiibu ukijicondition utazoea na utaweza
 
Kuwa muislam
Sasa bibie ulikubali vipi kuwa katika mahusiano miaka mi 3 bila ndoa ? Na nyinyi nyote Waislamu na Uislamu umerahisisha jambo la ndoa.

Haya yanayo kukuta ni machumo ya mikono yako, kwa maana angalia wapi ulikosea Kisha rekebisha ulipo kosea.

Kingine unatakiwa uwe na msimamo kama umeamua kuachana nae, basi fungal milango yote ya wewe kuwa karibu naye.
Kuwa muislam haimaniishi mtu hafanyadhambi ndio maana Kuna makosa kuna kutubia pia na na hakuna dini iliyohararisha zinaa ila sie wote vijana makosa hayakosekani
 
30 mwaka huu
Kwa maelezo yako,

Hivi uyo Jamaa yako ana umri gani?

Mbona Kama anaonekana mshamba mshamba Sana?

Anaonekana Kama ana mapenzi ya kisekondari,

Uyo jama ni mwanaume au mvulana?
 
Back
Top Bottom